Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
22 Sep 2025
82 views
VYOTE NDANI GONGA94
CHUMBANI KWETU ๐ 7 oyaah jafe eeeeeeh...!๐ฃ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ chakulalia hichi hapa mpumzishe makomwe na marumumeti wenu adi kesho๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nyieee kibao kile nilihisi kizunguzungu๐๐๐ nikawa natetemekaje mana alikua amekasirika sana ,akawa analia mwenyewe anaiokota Ile picha nikasema duh ana nini?๐
nikamuomba msamaha akawa ananiangalia tu niache siko sawa mmmh nikasema kwahiyo haniomb msamaha๐ณkanitandika kibao๐๐๐ ๐๐ผโโ๏ธ
nikamuacha asije niua bure๐ญ akazoa vile vioo vilivyovunjika mimi hapo nasema dah mbona anajishughulisha sana๐ญ๐ญ๐ญ sipendwi kabisa mimi anapendwa wa kwenye picha๐ญ basi nikamwambia nisamehe kwa kuvunja akasema nisijali picha ataitengeneza tena tu duhhh aseee๐๐
hakuniongelesha tena na mimi sikumuongelesha chochote nikawa kimya nitulize komwe langu๐
tukalala asubuhi yake akaenda kazini lakini mida ya saa nane akanipigia akasema nijiandae anapita hapa nyumbani sikujua tunaenda wapi ila nikahisi itakuwa hospital mana hawa. ukiumwa kidogo tu hospital๐
nikaoga nikajiandaa ,baada ya muda akasema nipande boda mpaka maeneo flan nitamkuta hapo ,ananisumbua mbona mimi nina mihasira yangu๐ซ๐ซ๐ซ
nikaenda nikamkuta basi nikapanda kwenye gari hakuwa anaongea chochote na mimi nikatulia ๐akaendesha mpaka eneo moja akasimamisha akashuka namimi nikashuka lilikuwa ni eneo la makaburi๐
nkawa namfata tu nyuma miee tukafika kaburi moja akasimama nikasema tunakuja kuwanga nini๐au sio mtu wa kawaida uyu kama betty alivyokuwa ananitisha๐๐mawazo yangu yalikuwa ya kitoto๐๐๐
zawadi abeee kwanza naomba unisamehe kwa yaliyotokea jana mchana na usiku khaa sa ndo anakuja niomba msamaha makaburini๐mimi nataka chumbani bhana๐
umenikosea nini nikajifanya ukauzu๐ najua jana ulisikia naongea na mama kuhusu mwanamke mwingine nisamehe sana sijawahi kukwambia chochote ni kwamba uloyasikia jana na Ile picha ndo yeye huyo mwanamke najitahidi kumsahau kiukweli inakua ngumu n nan uyo mwanamke?
alikuwa mchumba angu na alishaniacha na hili ndo kaburi lake amefariki?๐ณ ndio๐ญ najitahidi sana kumsahau kuna muda hadi nilichanganyikiwa na alifariki akaacha mtoto mdogo๐ญ ndo mama akaforce nioe. pengine ntapoza machungu lakini sikua tayar๐ญ๐ญ
dah pole sana nikapata kazi ya kumbembeleza aseee huruma kumbe namuonea wivu mtu ashafariki nikambembeleza sana mwisho wa siku akanyamaza tukafagilia kaburi tukaondoka akasema tupitie hospital nipime anahisi nina mimba, tukaenda pima kweli nilikutwa mjamzito tulifurah tukarudi nyumbani , nikamuuliza mtoto wa marehem sasa yuko wapi akanambia yupo upande wa mama ake ndipo anapolelewa
akanihakikishia kuwa nisihis hanipendi ananipenda na yupo tayari kuish vizuri tu na ukizingatia nina mimba tayari atanitunza vizuri,basi na mimi nkamwambia ntampa faraja asijihisi mnyonge
basi tukaanza maisha mapya nikiwa mama kija๐ basi nikamuuliza wifi zuu kumbe aman alifiwa akasema ndio mama mchumba ake alifariki akiwa anajifungua๐ญ๐ญ๐ญ nikashtukaje ni lini miez tisa sasa ishapita ,
naomba umpe faraja tu kakangu jaman hakuwa sawa kabisa sawa wifi angu mimi nimekuelewa๐.......
sasa ujauzito wangu ukawa umefikisha miezi mitano siku moja tukaamka asubuhi tukakuta kuna ndege kafia mule ndani chumbani kwetu๐ณ๐ณkatokea au kapitia wapi mimi pia sielewi na naanza kupata wasiwasi๐ฅบ
wasiwasi wa nini usinitishe bas sikutishi ila wakati (najma uyo marehemu) alivyokuwa mjamzito vikaanza vituko hivi hivi mara ndege kafia ndani mara tukute nazi zimevunjwa aseee vituko vya kila aina safari hii sitokubali wanichezee aseee nikasema mtuuuuuumeeeeee ๐ณ nisije nikafa mimi kama ndo kuna uchawi jamani jamani๐ญ๐ญ๐ญ
Fb hatutapost wajamen full story ipo whatsapp lipia tsh 2500 kwa airtel 0782781603 RAHEL BOO kisha nicheki whatsapp kwa namba hiyohiyo nikuwekee yoteeeee๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ช
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Kitu ambacho nimekipenda kwa Simba ni kuleta huduma ya Anicet Oura hapa NBC PL kwanini?
Kwasababu Anicet Oura ni kipaji bora cha soka [Potential Player] ambaye Alikuwa anahitaji Simba, ana ufanisi upi? 1: Ni ...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet
ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu... Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimeza...
๐ฅ๐ NIMEMF๐ค..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI ๐๐ฅ sehemu ya tano. ๐ Wewe mke wa shabani njoo hapa nje uje ulale chumbani kwangu. Dah yani...๐
Bahati nzuri kwangu mke wangu aliweka phone masikioni anasikiliza wimbo mpya wa daimond na jux, Sasa sauti ya mama akui...
๐ ZOA ZOA YA BABA KAMLETA MLIWA NDOGO.1..5 KWENYE NDOA๐ Sehemu ya kwanza. ( TAHADHARI NI SIMULIZI YA WAKUBWA TENA WAKUBWA KWELI KWELI) Shabani njoo hapa.
( Ni sauti ya mama wa kambo aliyeolewa na baba siku Saba kuisha anaonyesha kucha zake mapema nikaenda kumsikiliza) " Na...
๐ฅ๐ NIMEMF๐ค..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI ๐๐ฅ sehemu ya pili ( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) ๐ Hapa ndio ukawa mtihani kwangu nimpe mama
kweli simu na mama nimemsikia muda si mrefu anamsema mke wangu vibaya amtaki kwenye ndoa, Dah yani....๐ Mimi nikajionge...
๐ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐ฅ sehemu ya 12. ๐ Baba anaongea uku anaingia chumbani kwake sura amekunja...mimi nawaza itakuwaje sasa hapa...๐
Ndio nampoteza bwana angu au?...wakati nawaza uku nina hamu na simu yangu ila ndio siwezi kumwambia dada nipe...mama ak...
CHUMBANI KWETU ๐ 7 oyaah jafe eeeeeeh...!๐ฃ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ chakulalia hichi hapa mpumzishe makomwe na marumumeti wenu adi kesho๐คฃ๐คฃ๐คฃ
nyieee kibao kile nilihisi kizunguzungu๐๐๐ nikawa natetemekaje mana alikua amekasirika sana ,akawa analia mwenyewe anaiokota Ile picha nikasema duh ana nini?๐
nikamuomba msamaha akawa ananiangalia tu niache siko sawa mmmh nikasema kwahiyo haniomb msamaha๐ณkanitandika kibao๐๐๐ ๐๐ผโโ๏ธ
nikamuacha asije niua bure๐ญ akazoa vile vioo vilivyovunjika mimi hapo nasema dah mbona anajishughulisha sana๐ญ๐ญ๐ญ sipendwi kabisa mimi anapendwa wa kwenye picha๐ญ basi nikamwambia nisamehe kwa kuvunja akasema nisijali picha ataitengeneza tena tu duhhh aseee๐๐
hakuniongelesha tena na mimi sikumuongelesha chochote nikawa kimya nitulize komwe langu๐
tukalala asubuhi yake akaenda kazini lakini mida ya saa nane akanipigia akasema nijiandae anapita hapa nyumbani...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumbani-kwetu-7-oyaah-jafe-eeeeeeh-chakulalia-hichi-hapa-mpumzishe-makomwe-na-marumumeti-wenu-adi-k
CHUMBANI KWETU ๐ 3 basi weekend ikafika,baada ya kunywa chai tukaondoka amani akawaambia wasituhesabu chakula cha mchana tutakula huko huko
CHUMBANI KWETU ๐ 4 basi watu wanaanza kumuonea wivu betty๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,
Maoni