Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

DADA WA KAZI EPISODE 2

30th Nov, -0001 Views 165

DADA WA KAZI
EPISODE 2

Mvua ilikuwa bado inanyesha kwa mbali, lakini ndani ya nyumba ya Baraka na Neema, radi ya maneno ilishaanza kupiga.

Neema alilipuka kwa hasira.
Alitoka jikoni kwa kasi kama radi, akaufungua mlango wa chumba kwa kishindo.

“Aziza!!” alinguruma kwa sauti nzito, akimuamsha dada wa kazi aliyekuwa bado amejilaza kitandani, akiwa amechanganyikiwa na aliyoyapitia usiku huo.

Aziza alishtuka, akakaa kwa haraka huku akiwa bado na hofu moyoni.
“Madam… abeeeeeeeee...”

“Si nilikwambia ulale kile chumba cha mbele sasa umelalal humu chumbani kwetu na kibaya zaidi umelala na mume wangu "

" Dada samahani sikujua si unajua nimekuja tu leo? Kwa hiyo sikukuelewa vizuri nilichanganya vyumba samahani sana ila hata hatujafanya chochote aliingia na kuja jikoni"
" Mmmmmh kweli mbona kufuri lako liko kitandani ?
" Nililitoa mwenyewe toka kijijini huwaga sivaagi kufur napo lala. Naomba nisamehe dada"

Baraka naye alikuwa tayari ameingia chumbani, kichwa chake kikiwa chini kwa aibu.
“Neema, samahani… ni kosa langu pia. sikujua lakini uzuri wa yote hatujafanya chochote kile .”

Neema alimtazama mumewe kwa macho ya wasiwasi , kisha akavuta pumzi ndefu.
“Sawa. Amefanya kosa. Limetokea. Ila sitaki kurudia. Aziza, nenda kalale chumbani kwako. Maana kama mngekuwa mshafanya ningekutimua haa i.”

Aziza akiwa na macho mekundu ya aibu na mchanganyiko wa hisia, alitoka chumbani bila kusema neno jingine. Akapewa chumba cha karibu yao kizuri.

Na wao wakaingia kula mwishowe wakaenda kulala

UPANDE WA AZIZA alipolala…

Aziza hakuweza kulala. Moyo wake ulikuwa unadunda, akicheka kimoyomoyo.

Akaweka mto chini ya mapaja yake, akaegemea mgongo ukutani.
Akajiwazia…

“Jamani… huyu shemeji... duh! Si mchezo. Lile joka la mdimu limekilamba vizuri kibuyu, kweli dada anafaidi sana mmmh sio kwa kile kirungu.”

Akajiinamia kidogo, macho yake yakidokeza tabasamu.
“Aaah! Kama ndo hivi, basi kazi hii si ya kuikimbia nitabaki hapa hapa .”

Akanong’ona taratibu akiwa peke yake…
“Shemeji… umenionjesha raha nisiyoifahamu. Mbona nalala nikiwa natetemeka? Oooh jamani…”

Akakumbatia mto wake kama vile Baraka yupo bado juu yake.
Akacheka kimahaba, taratibu…

“Ngoja nione kama nitadumu hapa miezi miwili bila kurudia… haya mambo si ya kawaida jamani.”

🎬 Je, Aziza atajaribu tena? Je, Baraka ataweza kujizuia? Na Neema ataanza kushuku tabia za dada wa kazi?

Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE ❤️✋🔥 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DADA WA KAZI EPISODE 2  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/dada-wa-kazi-episode-2



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi dada-wa-kazi-episode
DADA WA KAZI  EPISODE ONE
DADA WA KAZI EPISODE ONE
DADA WA KAZI ‎EPISODE 5
DADA WA KAZI ‎EPISODE 5
DADA WA KAZI   EPISODE 8
DADA WA KAZI EPISODE 8
DADA WA KAZI – 🧨 “EPISODE 6
DADA WA KAZI – 🧨 “EPISODE 6
DADA WA KAZI EPISODE  4
DADA WA KAZI EPISODE 4
DADA WA KAZI  EPISODE 7
DADA WA KAZI EPISODE 7
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in



Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/pages/includes/header.php:83) in /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/core/function.php on line 258