DADA WA KAZI – 🧨 “EPISODE 6
Usiku ulikuwa umetulia kama mzoga wa samaki uliokwama mtoni. Kimya kilitawala, ila ndani ya moyo wa Aziza, mawazo na maumivu ya kuanguka vyote vilimuandama alikuwa akiwaza afanye nini maaana tayari karikologa bado kulinywa tu . Baraka akiwa bado amevaa kaptula yake fupi aliyotoka nayo chumbani, alichomoka nje kama simba aliyesikia sauti ya swala karibu na pango lake.
“Ni nani huyo?” Baraka aliuliza kwa sauti ya kukandamiza hofu, akiwa ameshika sime kwa mkono wa kulia na tochi kwa mkono wa kushoto.
Neema naye alifuata kwa nyuma akiwa kajifunga kanga tu ikiionysha juu ya mwili wake kalowa jasho maana ile shughuli ilikuwa pambe akisema, “Mume wangu, si uende polepole? Usije ukauliwa mume mwenyewe niliye naye ni wewe tu!”
Lakini macho ya Baraka yalikuwa tayari yameshaona kivuli kilichoanguka upande wa karibu na dirisha la chumbani kwao. Alipokaribia, mwanga wa tochi ulimulika uso uliopauka, macho yaliyojaa wasiwasi, na gauni la pink lililotapakaa vumbi. Ilikuwa ni Aziza.
Mikono kashika dishi na kayamwaga maji ikiwa ni namna ya kutaka kujitetea ....
“Aaaai! Bossi! Samahani jamani…” Aziza alilia kwa sauti ya kutetemeka n kuonyesha wasiwasi, akijifanya kulia huku akiinua gauni lake mbele na kuonyesha goti lililochubuka.
Baraka alishtuka. “Aziza! Unafanya nini hapa nje usiku huu?”
Aziza alijifunika uso, akasema, “Nilikua namwaga maji machafu , nikateleza sikujua kama hapa palikuwa na maji kidogo … Sikujua kama ningewaharibia usingizi wenu samahani sana bossi…”
Baraka alimtazama kwa macho ya udadisi. Kwa akili yake ya kiume, alijua Aziza alikuwa anadanganya. Ila hakutaka Neema agundue chochote, hivyo alimgeukia mkewe:
“Huyu binti ni wa kijijini… si unaona hata kumwaga maji inakuwa shida…”
Neema aliinama kumsaidia, akasema, “Basi usijitese na giza. Toka sasa usiku ukitaka kitu niite mimi au Baraka na ukitaka kumwaga maji washa kwanza taa ya nje usimwage kukiwa na giza . Umeelewa Aziza?”
Aziza alijibu kwa heshima ya bandia: “Nimeelewa Madam.”
Lakini ndani ya moyo wake, alitabasamu kwa ushindi. Hakukamatwa. Na zaidi, alimwona Baraka akyakodolea macho yale madodo yakiwa yamebanwa na sidiria iliyochanika kidogo. Moto wa mapenzi aliupandikiza vizuri, alihitaji tu kuuchochea tena.
Neema aliingia ndani lakini mumewe baraka alikuwa bado akimtazama Aziza aliyekuwa ndio anainuka kwa mapozi lakini aziza baada ya kumuoma anamtazama anavyoinuka alijiangusha tena aaaaaaagh!!! Bossi baraka akamsogelea kumuinua .
Aziza aliupapasa mkono wa bosi taratibu na kumshikisha madodo bossi alishtuka " we Aziza " kwa sauti ya chini...
Aziza akazidisha mikogo na kujitanua mgu na kwakuwa mlango haukuwa na kitu baraka alikiona kitumbua live bila chenga kimenona kimejaa mafuta na kuumuka tayari kwa kuliwa
Mara Neema aliita "we mume wangu njoo huku unafanya nini sasa huko nje?
" Nakuja mama lao " alitoka mbio na kuelekea chumbani maana tayari Aziza ashaanza kuleta mambo meusi
Aziza naye aliinuka na kusema " ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu .Baraka wewe ni wangu chanzo au kosa lako nikutia asali kwenue kidole sasa kilichobaki maliza buyu lote"
Aliinuka na kuelekea chumbani kwake ila Baraka naye akiwa chumbani kwake amelala kamkumbatia Neema akili zilikuwa kwa Aziza na ni baada ya kukiona kitumbua kimenona na akikumbuka siko alivyokila na utamu aliousika mmmmmh alianza kujikuta akitaka kukila tena na hii ni dalili nzuri sana kwa Aziza na mbaya kwa Neema
Kwa sababu anaenda kupoteza mume kizembe sana Baraka usingizi haukuja kabisa msumari umeinuka na mkewe yupo lakini mawazo ni kwa Aziza . Alimtoa mkewe kwenye kumbatio na kutoka nje kuelekea kwa Aziza .....
Alitembea mpaka anakolala aziza kwa bahati nzuri au mbaya hata mlango hakufunga na taa nayo hakuzima lakini cha ajabu zaidi kalala uuuuuuu kabisa na kajitanua Baraka kuiona dawa alikodoa macho .....
🔔 Je, Baraka ataanguka rasmi kwenye dimbwi la tamaa? l
👇
Usikose EPISODE 7
Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE ❤️✋🔥 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46
LEO NI SIKU YA KUMCHANGIA ADMIN HELA YA BANDO
0699286085 KAMA KWELI WEWE NI SHABIKI WA STORY ZA Zamrata LAZIMA UFANYE HIVYO
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi




Maoni