DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.
Nilimkaba, nikaanza kumpiga na ule uzungu wake ata hakunirudishia aliacha nimpige adi nitosheke, hasira ziniishe,P ivi unajua maisha niliyonayo? Mimi sio wakishua naishi kwa kuunga unga, mimi ndio tegemeo la familia, unaamua tu kwa tamas zako kuniharibia maisha kweli? Unajua kwetu nategemewa kiasi gani? Watu wanalala njaa ili mimi mkombozi nisome, leo nawarudia na mimba kweri P, unataka niwauwe wazazi wangu kwa pressure...
Nililia kwa uchungu P alonimbembeleza mno haikusaidia nilimwambia aondoke, au kama anataka tena kunibaka aseme haina haja ya kujificha mimi ni jalala lke la kumwaga taka zake,aliumia nakusema " D sikupanga kukuumiza plz nisamee na niko tayari kulipia kwa hili, nitakupa ile hotel ili uendeshe maisha ya familia yako, wakati huo nakuomba niko tayari ata sasa hivi tukaandikishane mimi nakukabidhi bila hata kutoa pesa yoyote, ilimradi tu unisamee D unipe nafasi ya kukutunza wewe na mtoto....
Nilijibu sitaki chochote kutoka kwako acha niteseke si ndo unavyotaka, umekuja kuharibu maisha yangu kama tu alieanza, akashtuka akavunga tu, alinimbembeleza nipokee ile hotel, lakinj kiburi kirizidi, tulizozana adi nikapitiwa usingizi, asubuhi naamka nikamtimua P, akaniwekea kwenye acount yangu pesa kama ml 50 za kibongo,nilijarinu kurudisha ikagoma, sikutaka kujisumbua nikahama kabisa pale na kumblock, nikaanza kujisomea kwa kulipia, kuna Doctor pale kwrnye hosptal ya P ni wa kike tulitokea kuerewana sana, akawa pia ananisaidia, hakujua japo alikuwa anahisi nina toka na P, hakutaka kuniuliza alikuwa mtu mzima...
Siku moja akaja na kuniambia P hali yake ni mbaya, msongo wa mawazo umepelekea kuugua vibaya sana, sikutaka kuuliza, nikakausha tu, kesho yake kaja anatoa machozi ety P kanywa sumu afe, wameficha ni wachache tu wamejua, na wameficha asije akaharibu jina na kwenda kwenye sheria, kama ni wewe ndie mmegombana nakuomba msamee atakufa huyo mtoto utalea peke yako, na hapo ndio utajutia, ebu myaweke sawa...
Niliishia kulia tu, yule mama alipiga hadi magoti, nimsikirize angalau nikamuone mgonjwa nimpe tumaini, sikujibu kitu, uande wa P alikuwa anawalalamilia kwa nini wamemtibu, hawezi kuishi maumivu ni makari sana, kashindwa kuvumilia,rafiki yake alimhurumia akaanza kunitafuta, mdogo wake pia prisca alikuja kumuona kaka ake, akashangaa kusikia ety anampenda adui yake,alimutizama akiwa haamini kabisa...
Alitoka akiwa na hasira,hawakujua kaenda wapi, yuke mama ilibidi ampe siri Tito wapi nilipo,Tito hakutaka kusubiri alimtia P, ivo ivo mpaka kwangu, alivyofika tu akasema, shem nimemleta afie mikononi mwako kabisa ufurahi vizuri, unamoyo gani wa chuma, mtu anakufa umekaza tu, akwani kuna binadamu asiekosea unataka afe ili uishije lakini, unatambua umuhimu wa wazazi wote wawili? Tuulize tulio lelewa na mama tu tunavyotamani ata tungewaona baba zetu ata kwa siku moja tu, moja tu😭, T aliongea kwa uchungu mimi nikabaki tu nalia ata sijui nini cha kufanya...
Kupata mwendelezo wote
Full 1000
Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni