Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
112 views
VYOTE NDANI GONGA94
KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
KITUMBUA CHA PACHA
EPISODE 6
?Basi baada ya kusikia sautu ya dada yake akimuita alimwambia mlinzi
?" tutafanyaje tutafumwa leo"
?" madam mi hata sielewi yaani"
?" baki humu humu " alikuwa akisema huku akipandisha kanga yake na kuivaa tayari kwa ajili ya kutoka alijifanya kama alikuwa anasafisha stooo
?Alitoka " kheee dada , kumbe wahenga sio waongo"
?"kwa nini mdogo wangu"
?"unauliza vumbi stooo na kweli stoo kuna vumbi kama hakai mtu hivi "
?"si unjua dada yako nina mambo mengi"
?" usafi ni muhimu mama ,mwanmke usafi"
?" khee makubwa umemuona wapiNZUNGU"
?" unamaanisha mlinzi au "
?"ndiyo huyohuyo "
?"kooooh nimemtuma akaninunulie vocha si unajua mitaa siijuwi "
?Muda huo mlinzi anajibana bana tu kwenye chemba ili asifumaniwe maana mambo yashakuwa mengi sana . Huko ndani anatetemeka kijasho chembamba kina mtiririka kwa woga .
?Akikumbuka ugumu wa maisha ya alikotoka na wangapi wanamtegemea ndo jasho linazodi kumwagia kama mtu anayenyeshewa na mvua ........
?
?Lakini dada unatokaje nje na hiyo kanga ukibaaaaaaa????????????????aliuliza nasra kwa nasma alisema na wewe dada nitaba..... Humu ndani ???
?Ndio humu ndani humuoni mlinzi"
?"acha utani wako twende ndani"
?Basi waliondoka na kuingia zao ndani hapo ndipo mlinzi akapata fursa ya kutoka njee alishukuru maana angekutwa ingekuwa ni hatari kwa afya ........
?Alirudi getini na kushika kirungu tayari kuendelea na lindo na hiyo ilikuwa pona pona yake la sivyo angerudi kwao isigimbi akalime mihogo ...
?
?
?Basi nasra aliingia ndani walau ajiandae atoke na mumewe lakini nasma yeye alikuwa tu yupo zake tu nyumbani sasa kipindi nasra kaingia ndani yeye alibaki kasimama na shemeji yake rashidi akawa anakilama kidole cha kati kama mtoto anayejilamba baada ya kula nyama ....
?Alimsogelea Rashidi karibu na kumshika kwenye suruali sehemu yenye kipande cha gogo ....na kukiminya .......
?Aaaaaagh nasma nini tena wewe !!!
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke har...
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame — Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
. Harivansh Rai Bachchan, one of India’s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh sta...
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6
KITUMBUA CHA PACHA
EPISODE 6
?Basi baada ya kusikia sautu ya dada yake akimuita alimwambia mlinzi
?" tutafanyaje tutafumwa leo"
?" madam mi hata sielewi yaani"
?" baki humu humu " alikuwa akisema huku akipandisha kanga yake na kuivaa tayari kwa ajili ya kutoka alijifanya kama alikuwa anasafisha stooo
?Alitoka " kheee dada , kumbe wahenga sio waongo"
?"kwa nini mdogo wangu"
?"unauliza vumbi stooo na kweli stoo kuna vumbi kama hakai mtu hivi "
?"si unjua dada yako nina mambo mengi"
?" usafi ni muhimu mama ,mwanmke usafi"
?" khee makubwa umemuona wapiNZUNGU"
?" unamaanisha mlinzi au "
?"ndiyo huyohuyo "
?"kooooh nimemtuma akaninunulie vocha si unajua mitaa siijuwi "
?Muda...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kitumbua-cha-pacha-episode-6
Maoni