Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
Gonga94 · Stories

MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Baada ya kufila selo karibu kila mfungwa alitamani kujua kile nilichoambiwa akiwemo Asha.
"Hawajaniambia chochote zaidi ya kunirudisha tu selo" niliongea kwa sauti na kila mfungwa alisikia.
"Kuwa makini hiyo mimba yako inaweza kutolewa mda wowote ule" Monica aliyekuwa kimya aliongea kama kunishauri na maneno yake niliyaweka kichwani.
"Bora mwenzetu utapata mtoto, siku na mimi akijerengesha Afande wa kiume tampanulia na nitahakikisha ananitia mimba kabisa" mfungwa mwenzetu alizungumza.

Siku iliyofata nilishangaa wakati wa kula nikiitwa nakupatiwa chakula cha kitofauti kabisa na wafungwa wenzangu, niliyakumbuka maneno ya Monica ya siku iliyopita na machale yalianza kunicheza baada ya kumuona Afande akiniangalia kila mda aliyenipatia chakula.
"Afande mimi siwezi kula hichi chakula!"
"Unapingana na maagizo tuliyopewa!?"
"Hapana sina maana hiyo ila siwezi tu kukila"
"Utakula utake usitake"
Kauli aliyoingoa ndiyo ilinifanya nishituke zaidi, tangu lini mtu akalazimishwa kula tena gerezani, na kingine pia chakula kilikuwa ni cha tofauti kidogo sio kama walichokuwa wakila wafungwa wenzangu.

Niligoma kabisa kula maana niliamini lazima kuna kitu kilichowekwa kwenye chakula ndiyo maana Afande ananilazimisha niweze kukubali kula chakula.

Basi nilienda mpaka alipo Asha nakuanza kula naye huku nikimuacha Afande akinitazama kwa hasira.
Kiukweli kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwangu kwa wakati huo, kwani nilizidi kutengeneza chuki na maasikari ndani ya gereza, kuna mda walikuwa wananipa kazi nzito makusudi tu huku wakijua kabisa na mimba.

Asha aliendelea kunitia moyo na bahati nzuri mimba yangu ilizidi kukua nikuwa gerezani humo humo mpaka pale siku ya kujifungua ilipofika, Nilijifungua mtoto wa kiume tena nikuwa selo pamoja na wafungwa wenzangu na huwezi amini mtu aliyenisaidia alikuwa ni Monica.
Ni Tukio ambalo siwezi kulisahau kamwe kwenye maisha yangu.

Nilitolewa selo nikiwa mimi na mwanangu na kupelekwa kwenye zahanati iliyondani ya gereza.

Nilikaa huko kwa mda mpaka pale hali yangu ilipotengemaa pamoja na mwanangu.
Taarifa zilipelekwa kwa mama yangu mzazi hivyo alikuja kumchukua mwanangu akiwa hivyo hivyo mdogo na kuondoka naye.

Kutokana na mimi kupata mimba nikiwa ndani ya gereza, mkuu wa gereza alikuwa tayari ameshatoa maagizo ya ulinzi kuimalisha zaidi ndani ya gereza, Asikari walikuwa wakifatana wawili wawili yaani tulikuwa hatupati nafasi ya kusimamiwa na Afande wa kiume peke yake.

Miaka ilizidi kwenda na umri wetu wengine ulizidi kusogea, bahati mbaya kwa Monica alifariki akiwa gerezani baada ya kupata tatizo la figo.
Karibu kila mfungwa alihudhunika hasa sisi tuliokuwa tukiishi naye selo moja, utani wa hapa pale wa maneno ya kila aina ya Monica kama kutiana, mchumba wangu, demu wangu na mengineyo yalibaki kama kumbukumbu kwetu.

Niliendelea na kifungo changu na michezo ya kutiana kwa kutumia vidole ndani ya gereza ilikuwa imeshapungua kwa kiasi kikubwa kutokana na usimamizi mkali uliokuwepo.
Mpaka mda wangu unafika wa kutoka gerezani sikuwa binti tena kama nilivyoingia gerezani, umri wangu ulikuwa umeshasogea na mvi kwa mbali zilikuwa kwenye kichwa changu.

Nilimuacha Asha pamoja na wafungwa wengine wakiendelea kukitumikia kifungo chake lakini sikuacha kumtia moyo Asha kuwa lazima aendelea kuwa na matumaini huwenda atapata bahati na yeye ya kutoka gerezani.

Basi nilirudi uraiani kwa mara nyingine na mguu wangu ulinipeleka mpaka nyumbani alipokuwa akiishi mama yangu.
"Shikamoo bibi!"
mtoto mdogo niliyekutana naye njiani alinisalimia.
"Kweli na mda mchache sana wa kuishi!" nilijiwazia mwenyewe baada ya kuitwa bibi.

Nilifika na kumkuta ndugu yangu mmoja na bahati nzuri alikuwa akinikumbuka, mama tayari alikuwa ameshafariki kwa wakati huo na uzuri mwanangu aliyekuwa kijana mkubwa tu alimuacha kwenye mikono salama kwa ndugu aliyekuwa akiishi naye.

Asante sana Zooper kwa kuandika story hii, naamini watu watajifunza mengi kwa kile nilichokipitia.
"Asante pia Dora kwa kupotezea mda wako kunisimulia story ya maisha yako"
"Ivi umeshapost vipande vingapi hapo!?"
"Sikumbuki idadi ni vipande vingapi nilivyopost kwenye group, ila kuna swali nahitaji kukuuliza"
"Niulize tu!"
"Huwa unaenda kumuona Asha gerezani!?"
"Hahahahaha naachaje sasa kwenda kumtembelea mke wangu na mme wangu gerezani hata kesho lazima niende kumuona, mara ya mwisho nilivyoenda unajua aliniambia nini!?"
"Hapana bibi sijui!?"
"Usiniite bibi Zooper niite Dora, nachukia watu wanaoniita bibi!"
"Lakini tayari umri wako umeshasogea!?"
"Hakuna cha umri kusogea hapa lasivyo utatoka hapa nyumbani, nitaacha kukwambia alivyoniambia Asha"
"Basi Dora yaishe niambie kilichotokea baada ya wewe kwenda kumuona Asha!?"
"Mara ya mwisho kwenda kumuona Asha gerezani aliniambia kuwa, amekumbuka sana kufanya mapenzi na mimi na hana mtu tena wa kumfariji gerezani....
"Mbona umenyamaza Dora!?"
"Aaaah samahani Zooper, nimejikuta machozi yakinitoka, natamani nifanye kosa jingeni makusudi ili tu nirudi gerezani nikaishi na Asha kwa mara nyingine tena niumalizie uzee wangu nikiwa huko"
"Unaongea nini Dora!?"
"Kesho jitahidi sana kuja mapema ili twende wote gerezani"
"Basi sawa Dora"
Dora alinyenyuka na kuingia ndani.
"Mmmmh Dora kweli alipitia mambo mengi ndani ya gereza, ngoja nipost hichi kipande cha mwisho kwanza ndiyo niondoke"

"Nadhani tayari kimeshawafikia wapendwa wangu, sina mengi zaidi ya kusema huu ndiyo mwisho wa story hii ya MAPENZI NDANI YA GEREZA iliyosimuliwa na Dora, kwa sasa nipo naenda zangu kwa Tina akaendelee kunisimulia story yake ya CHA WOTE na siku akikamilisha basi nitawapostia.

Imeandikwa na ZOOPER na Kusimuliwa na Dora.

Kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa namba 0613083801.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Baada ya kufila selo karibu kila mfungwa alitamani kujua kile nilichoambiwa akiwemo Asha.
"Hawajaniambia chochote zaidi ya kunirudisha tu selo" niliongea kwa sauti na kila mfungwa alisikia.
"Kuwa makini hiyo mimba yako inaweza kutolewa mda wowote ule" Monica aliyekuwa kimya aliongea kama kunishauri na maneno yake niliyaweka kichwani.
"Bora mwenzetu utapata mtoto, siku na mimi akijerengesha Afande wa kiume tampanulia na nitahakikisha ananitia mimba kabisa" mfungwa mwenzetu alizungumza.

Siku iliyofata nilishangaa wakati wa kula nikiitwa nakupatiwa chakula cha kitofauti kabisa na wafungwa wenzangu, niliyakumbuka maneno...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ndani-ya-gereza-21-final

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ndani-ya-gereza
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

895
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

117
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

24
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest