Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
Gonga94 · Stories

MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Hisia zilipanda na mimi sikuwa mbali, wote tulianza kushikana, kila mtu alikuwa huru kumshika mwenzake anapotaka.

Niwe tu mkweli mapenzi ya jinsia moja huwezi kuyafananisha na mapenzi ya jinsia tofauti, zilikuwa ni raha za kawaida nilizokuwa nikizipata na hata upande wa mwenzangu Asha naye ilikuwa hivyo hivyo, mazingira kwetu yalitufanya tuwe na michezo hiyo ukijumlisha na wafungwa wengine waliokuwa na vifungo vya maisha gerezani ndiyo kabisaaa waliamini njia peke ya kuzuia nyege zao ni kushikana wao kwa wao.
Chonde chonde elimu ya bure kwa wasomaji! kwa wanawake wenzangu kamwe msikubali kuingia kwenye mapenzi ya jinsi moja na hata wanaume pia, hapa nasimulia yaliyonikuta tu ila simaanishi kuwa nahimiza mapenzi ya jinsi moja iyo hapana na haikubalikiiiii! sasa wewe jifanye mjuaji uingie kwenye ulimwengu huo kutoka sio vyepesi????????.

Basi tuliendelea kubinyana weee! mpaka pale mda ulipotamatika na kila mfungwa alitakiwa kurudi kwenye selo yake.

Tulipofika selo ndipo Asha alipoongea.
"Ulitaka kuniuliza nini Dora!?"
Nilimtazama na ndipo nilipoamua kumuuliza.
"Una mtoto!?"
Asha alikaa kimya kwa sekunde kadhaa na kuongea.
"Mtoto ndiyo kanifanya nikawa hapa gerezani!"
"Nini Asha!?"
"Ndiyo Dora, nilimuua mme wangu kwa sababu ya mtoto ndiyo maana nilikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha!"
Nilikaa vizuri ili nimuulize ilikuwaje mpaka Asha akamuua mme wake.
Asha aliniambia kuwa alifanikiwa kujifungua salama na mtoto walimlea vizuri yeye pamoja na mme wake, miaka mitatu ilipita wakiwa bado pamoja.

Maisha yalibadilika ghafla na kuwa magumu na hapo ndipo mme wake alipoamua kufanya maamuzi ya kijinga bira kumshirikisha, alienda kwa mganga na kuambiwa kuwa kama atamtoa mtoto wake kafala basi maisha yatabadilika na watakuwa matajiri.

Mmewe pasipo kumshirikisha Asha alikubali kumtoa kafala mtoto wao.
Mtoto alifariki lakini mambo hayakubadilika, ugumu wa maisha uliendelea kuwa palepale na ndipo mmewe siku moja kwa mdomo wake alipomtamkia Asha mwenyewe kuwa alidanganywa na mganga na kukubali kumtoa kafala mtoto wao.
Alimuomba msahama Asha aliyeigiza kuwa amemsamehe.
Mawazo ya kijinga yalimuendesha Asha na aliamua kufanya maamuzi ya kushangaza kwa kumchoma na kisu mmewe aliyekuwa amelala mida ya usiku.

Asha alimaliza kunisimulia na siku hiyo kwa mara ya kwanza nilimuona akitoa machozi.
Nilimpa pole na baadhi ya wafungwa walikuwa wakisikiliza maongezi yetu.
"Dah, kumbe asilimia kubwa sisi wanawake tumo humu gerezani kwa sababu ya wanaume!?" mfungwa mwenzetu aliongea.
"Hujakosea na huo ndiyo ukweli, ukifatilia lazima utagundua kuwa kesi nyingi za wafungwa wa kike basi kuna wanaume nyuma!"
"Nyie mnanionaga mimi mjinga ninapowachukia wanaume sio!?" Monica naye aliongea na alionesha ana siri nzito iliyomfanya mpaka akawa gerezani japo hakuna mfungwa kati yetu aliyekuwa akijua ni kipi kilichomleta gerezani.
"Kumbe ndiyo maana unapenda kutia dole wenzako ila wewe hupendi!?"
"Acha na mimi wewe!" Monica aliongea na kubadilisha mada.

Siku hiyo ilipita na Tatizo la gerezani kazi huwa haziishi, mfungwa ni mfungwa tu na ni mara chache sana anapata mda wa kupumzika, basi siku iliyofata tulitolewa wafungwa wote tuliokuwa kwenye selo yetu pekee huku wafungwa wa selo zingine wao wakipewa nafasi ya kupumzika.
Tulipelekwa kwenye manyasi ya kutosha na kupewa mafyekeo, kila mtu alipewa eneo lake la kufyeka.
Kazi ilianza huku tukiwa tumesimamiwa na Afande wa kike.

Monica alikuwa kimya huku akifyeka haraka wakati sisi wengine tukipiga story za hapa na pale. Baada ya mda Monica alimaliza na kupumzika.
"Mwenzenu kajituma nakumaliza mapema ila nyie bado mnajivuta tu!" Afande aliongea.

Tuliamua kuongeza speed ya kufyeka ili tumalize mapema kama Monica na kumbe Afande niliyefanya naye mapenzi store alituona, alisogea mpaka sisi tulipo na kumwambia Afande.
"Afande huyu binti na shida naye mara moja naomba niondoke naye!" Afande wa kiume aliongea.
"Afande ondoka na huyu maana ameshamaliza kazi, hao wanategea sana maana mwenzao kamaliza wao bado tu!" Afande wa kike aliongea na Afande wa kiume alimtazama mfungwa aliyeambiwa aondoke naye badala ya mimi.

Alikuna kichwa chake baada ya kumuona ni Monica aliyekuwa tayari amemaliza kazi.
"Aya wewe!, nyenyuka unifate!"
Monica alinyenyuka na kuanza kumfata kama alivyomwambia.

Mimi na Asha tulitazamana na Asha kama kawaida yake alininong'oneza.
"Monica kachukua nafasi yako Dora nauhakika kabisa anaenda kufanya mapenzi na Afande!"
"Nyie mnaongea nini hapo!?"
"Nilikuwa namwambia tufanye kazi haraka Afande!?" Asha alijitetea.
"Alafu wewe unaonekana muongeaji sana wewe ndiyo maana ulihukumiwa kifungo cha maisha gerezani!"
"Sasa Afande mambo ya kifungo cha maisha yanaingiaje tena!"
"Umepata wapi nguvu ya kunikolomea mimi!?" Afande alimuuliza huku akiwa na hasira.

Niliamua kumfinya Asha ili ajishushe mbele ya Afande na asiendelee kuongeleshana naye na bahati nzuri alinielewa kwa kumuomba msamaha.
"Unabahati lasivyo kipigo kingekuhusu leo!"
"Nisamehe bure Afande!"
"Ebhu endelea na kazi huko"
Afande alimwambia Asha.........ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Hisia zilipanda na mimi sikuwa mbali, wote tulianza kushikana, kila mtu alikuwa huru kumshika mwenzake anapotaka.

Niwe tu mkweli mapenzi ya jinsia moja huwezi kuyafananisha na mapenzi ya jinsia tofauti, zilikuwa ni raha za kawaida nilizokuwa nikizipata na hata upande wa mwenzangu Asha naye ilikuwa hivyo hivyo, mazingira kwetu yalitufanya tuwe na michezo hiyo ukijumlisha na wafungwa wengine waliokuwa na vifungo vya maisha gerezani ndiyo kabisaaa waliamini njia peke ya kuzuia nyege zao ni kushikana wao kwa wao.
Chonde chonde elimu ya bure kwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ndani-ya-gereza-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ndani-ya-gereza
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

143
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

140
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

100
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

63
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest