Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
Gonga94 · Stories

MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Story kubwa siku hiyo ilikuwa ni mfungwa kutoroka tu, wafungwa wote tulianza kujadili jinsi alivyotoroka mwenzetu na Asha alinisogea karibu yangu na kuniambia kwa sauti ya chini.
"Na mimi nikipata nafasi ya kutoroka basi lazima nitoroke!"
"Acha kujitafutia matatizo Asha!?"
"Kumbuka mwenzako na kifungo cha maisha sio kama wewe!?" Asha aliongea kwa mara nyingine.
"Mimi mwenyewe sina tofauti na wewe maana siku nikitoka humu tayari mvi zimeshajaa kichwani, sidhani kama nitaenda kuyafaudu tena maisha ya uraiani" nilizungumza lakini Asha alikaa kimya kwa sekunde kadhaa na baadae aliongea.
"Nimepata wazo Dora!"
"Wazo gani!?"

Asha alinisogelea karibu zaidi na kuninong'oneza, macho yalinitoka kama mjusi aliyebanwa na mlango kwa kile alichoniambia, niliangaza na nilishuhudia wafungwa wenzetu walivyokuwa wakituangalia.
"Au mnajua jinsi alivyotoroka mwenzetu!?" Monica kama kawaida yake aliamua kutuuliza.
"Kuwa na adabu Monica sisi tunaongea mambo yetu hapa!" Asha alimjibu maana ndiyo alikuwa akiwezana naye.
"Mambo gani hayo mpaka muambiane masikioni nyie malaya!"
"Mambo ya kutiana dole, aya umeridhika sasa!?" Asha aliongea kwa mara nyingine.
"Asha Asha Asha....
"Nini utanifanya kwani!?"
"Naona umekumbuka kutiwa sio!? yaani ningekuwa na uwezo wa kuwa na jinsi mbili kama alivyokuwa Tabu basi ningekuwa nimeshakugonga mpaka masikioni mpumbavu wewe!?"
"Nyooo!!! unamtisha nani na matako yako hayo kama mawe ya Mwanz...!"
Majibishano yaliendelea kati ya Asha na Monica na wafungwa wengine tulikuwa tukiwasikiliza tu na mda huo huo tulisikia sauti za maafande wakija kwenye selo yetu.
"Mmmmh leo tunalo!" Mfungwa mmoja aliongea kwa sauti ya chini.

Maafande waliingia na kumbe mkuu wa gereza tayari alikuwa ameshafika akiongozana na asikari baadhi akiwemo Afande Cheusi.
Alitamani kuingia ila baada ya kuona selo yetu ni ndogo alitoa amri ya wafungwa wote tutolewe nje.
Tukiwa chini ya usimamizi mkali tulitolewa mpaka nje na kwenda kupigishwa magoti.
"Aya mtuambie mapema kabra hatujaanza kuwapatia adhabu mmoja baada ya mwingine!?" Mkuu wa gereza aliongea na wafungwa wote tulikuwa kimya, hakuna aliyejaribu kukohoa mfungwa yoyote yule kati yetu.
"Ni wapi alipo mfungwa mwenzenu!?" mkuu wa gereza alituuliza na Mfungwa mmoja alinyoosha mkono.

Aliruhusiwa kuongea na ndipo alipoongea kuwa hamna mfungwa anayejua mwenzetu alipo.
"Jiseme wewe sio uwasemee wenzako pumbavu, hatupo hapa kufanya utani!?" mkuu wa gereza aliongea kwa hasira na alitoa amri ya mwezetu aliyeongea atengwe pembeni.
Swali lilirudi kwetu sisi wengine na kila mfungwa alikana kuwa hajui ni wapi alipo mwenzetu.

Hiyo siku sitaisahau, mda huo huo alifika afande mwingine wa kiume na kutoa taarifa kuwa kuna nguo za wafungwa zilizokuwa zimelowekwa kwenye maji na namba ya nguo hizo zilikuwa ni za kwetu mimi pamoja na Asha.
Wote wawili tulitazamana japo tulikuwa tumevaa nguo nyingine.
"Aya wafungwa wenye hizi namba simameni haraka!" mkuu wa gereza aliongea, tulisimama kama alivyotuamrisha.
"Wenzenu walimaliza kufua nguo zao na kuzinianika nyie mlikuwa wapi mpaka mkashindwa kufata utararibu wa gereza na kuziacha nguo zenu sehemu za kufulia!?"
wote midomo yetu ilikuwa mizito na macho yangu yalikuwa kwa Afande Cheuse. hofu ya mkuu wa gereza alihisi kuwa tulishirikiana kumtorosha mfungwa aliyeondoka na ndiyo maana hatukuimaliza kazi yetu.
"Mkuu samahani kwa kuingilia maongezi yako!" Afande Cheusi aliongea, moyo wangu ulipumua kidogo maana nilijua lazima ataamua kututetea tu.
"Hawa tuliwapatia kazi ya kwenda kusafisha store nadhani ndiyo maana hawakumaliza kazi yao ya kufua nguo kama wenzao!" Afande Cheusi aliongea huku kichwa chake akiwa kakiinamisha chini.
"Unauhakika na unachokiongea!?"
"Ndio Afande!"
Baada ya Afande Cheusi kututetea Mkuu wa gereza alituambia tukae chini.

Karibu kila mfungwa alianza kuhojiwa na na kutoa maelezo kwa jinsi alivyokuwa akijua yeye na baada ya hapo wenzetu walirudishwa selo na sisi wawili tuliambiwa tukamalizie kufua nguo zetu ili tuzianike tena tukiwa chini ya usimamizi mkali, yaani hata ile nafasi ya kuongea na Asha sikuwa nayo japo wote tulikuwa pamoja.

Baada ya kumaliza tulienda kujumuishwa kwa wenzetu.
"Mmmh, asingekuwa Afande Cheusi leo kesi ingetuangukia!" niliongea nikimwambia Asha.
"Unishukuru mimi kwa kumpa mambo matamu tena nimepanga kuja kumpa zaidi ya hapo ili niteke kabisa akili yake" Asha aliongea kwa sauti ya chini bira wafungwa wenzetu kutusikia.

Zoezi la wafungwa kuhojiwa halikuishia tu kwenye selo yetu! mpaka kwenye selo zingine nako walihojiwa na kila mtu alijieleza alivyokuwa akijua yeye.

Wiki nzima ilipita kukiwa bado na ulinzi mkali ndani ya gereza, na mfungwa aliyechafua hali ya hewa ya gerezani bado haikujulikana aliwezaje kutoroka. Maisha ilibidi yaendelee na siku hiyo ulipatikana uhuru sehemu ya kuogea.

Weee! Watu walikuwa nahisia kali na kama mtu angetuona siku hiyo basi lazima angekiri kuwa ndiyo jehanamu penyewe. Karibu kila mfungwa alikuwa na mwenzake hasa mabinti, ni wanawake wachache sana waliokuwa wakiwatazama wengine, miguno ya hapa na pale ilizidi kusikika huku watu wakizidi kusagana na kusuguana kwa kutumia vingaja vyao vya mikono.
Asha alinishika chuchu zangu na kuniambia kuwa anataka anichokonoe mpaka niridhike.
"Yote sawa Asha ila kuna swali la mhimu nataka kukuuliza!"
"Utaniuliza baadae Dora" aliongea huku akizidi kuipitisha mikono kwenye mwili wangu......ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA......
Story kubwa siku hiyo ilikuwa ni mfungwa kutoroka tu, wafungwa wote tulianza kujadili jinsi alivyotoroka mwenzetu na Asha alinisogea karibu yangu na kuniambia kwa sauti ya chini.
"Na mimi nikipata nafasi ya kutoroka basi lazima nitoroke!"
"Acha kujitafutia matatizo Asha!?"
"Kumbuka mwenzako na kifungo cha maisha sio kama wewe!?" Asha aliongea kwa mara nyingine.
"Mimi mwenyewe sina tofauti na wewe maana siku nikitoka humu tayari mvi zimeshajaa kichwani, sidhani kama nitaenda kuyafaudu tena maisha ya uraiani" nilizungumza lakini Asha alikaa kimya kwa sekunde kadhaa na baadae...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ndani-ya-gereza-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ndani-ya-gereza
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

143
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

140
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

100
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

63
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest