Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
Gonga94 · Stories

MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA.......
Mwanzoni wafungwa karibia wote tulijua ni utani ila siku zilizofata tulijionea wenyewe kwani hatukuwa na uhuru tena wa kuoga tukiwa wenyewe bira kusimamiwa, asikari zaidi wa nne walikuwa wakitusimamia kila siku.

Wenzangu na mimi waliokuwa wemezoea kusagana ndiyo walikuwa waathirika wakubwa wa utaratibu ule mpya. Siku moja tukiwa selo Eliza aliongea na wafungwa karibu wote walitega masikio kumsikiliza.
"Jamani naombeni tuwe kitu kimoja!"
"Kitu kimoja kivipi wewe demu wa Monica!?" mfungwa mwenzetu alimuuliza.
"Nyege zitatuua sisi wengine" Eliza alizungua.
"Subiri siku ukitoka gerezani ukatiwe huko nje mpaka utachoka mwenyewe" Mfungwa mwingine aliongea kwa mara nyingine lakini Asha alininisogelea na kuniambia kuwa kitu anachokiongea Eliza ni ukweli mtupu kwani hata yeye alikuwa na nyege na alitamani Teddy amtibu.
"Zoea tu Asha hamna namna!"
"Kwani wewe huna hisia Dora hapo ulipo!?" Asha aliniuliza na mimi nilimkatalia na kumwambia kuwa sina hisia zozote zile za kufanya mapenzi.
"Ni kawaida yako tu kukataa ila angekuwepo hapa Afande basi ungempanulia mapaja Dora!" Asha aliongea na mimi sikutishika na maneno yake maana tayari nilikuwa nimeshamzoea.

Mwaka mmoja ulipita na Teddy alikuwa tayari ameshatoka jela baada ya kumaliza kifungo chake cha mda mfupi alichokuwa nacho, kwa kipindi hicho asikari walipunguza kutusimamia wakati wa kuoga na mara nyingi tulikuwa tukisimamiwa na asikari mmoja tu. Baadhi ya wafungwa waliendeleza michezo yao ya kushikana matiti na kutiana vidole kwa ajili ya kupunguza hamu, Afande aliyekuwa akitusimamia mwanzoni alikuwa mkali na alikataza watu wasifanye michezo michafu ila baada ya mda aliacha kuwazuia na aliwataka wawe makini tu.

Upande wangu pamoja na shoga yangu Asha na sisi tulijikuta tukiwa ni miongoni mwao, kiufupi nilijikuta nikiizoea hali ile ya kufanya mapenzi ya jinsia moja nikiwa na Asha. Mazingira yalinilazimisha na mbaya zaidi sikuwahi kumuona asikari aliyekuwa akipenda kufanya mapenzi na mimi zahanati.
Asha ndiyo alikuwa mme wangu na mke wangu kiufupi tulikuwa kama tumeoana mimi na yeye.
Basi siku zilisogea na mwezi uliofata kuna binti mweupe aliyekuwa na sura nzuri aliletwa kwenye selo yetu. karibu kila mfungwa alitamani kutengeneza urafiki naye ila binti alikuwa na aibu sana, Asha kama kawaida yake alinisogelea na kuniuliza.
"Mme wangu huyo naye kafanya kosa gani mpaka kaletwa huku mbona ni binti mrembo sana!?"
"Asha mimi sijui alafu usiwe unaniita mme wako"
"Lazima nikuite mme wangu maana wewe huwa unatuliza nyege zangu vizuri, unajua kuzibinya vizuri chuchu zangu mpaka raha Dora!" Asha alianza kuongea maneno yake ya chombeza ila mimi macho yangu yalikuwa kwa binti aliyekuwa amezongwa na wafungwa wenzetu wengi akiwemo Monica kama ilivyo kawaida yake, yeye kila mgeni anataka awe demu wake tu hasa akiwa mzuri, cha kushukuru nikuwa Monica aliumbwa mwanamke kama angekuwa mwanaume aaaaah walai nahapa, lazima angekuwa na watoto wa kutosha na huwenda hata magonjwa angekuwa tayari ameshayaokota.

Binti alijitambulisha kwa jina la Tabu na hakutaka kutuambia sababu iliyomfanya mpaka akaletwa gerezani.
Basi siku mbili zilipita huku karibu kila mfungwa akitamani kuwa karibu na Tabu, kipindi hicho pia kilikuwa ni kipindi cha bata gerezani kwani ulikuwa sio msimu wa kulima, kilikuwa ni kipindi ambacho karibu kila mfungwa alikuwa akikipenda.

Hakukuwa na kazi nyingi gerezani zaidi ya vikazi vidogo vidogo tulivyokuwa tukipewa.

Basi bhana karibu kila mfungwa alishangaa kwani Tabu hakuwahi kuoga tangu aletwe gerezani.
Hakuna aliyetaka kujali japo wengi tulitamani kujua sababu iliyokuwa ikimfanya Tabu asioge.

Siku hiyo pia kwa mara nyingine mda wa kuoga ulipofika Tabu alijumuika na sisi kama ulivyokuwa utaratibu lakini hakuvua nguo zaidi ya kutuangalia tu sisi, kama kawaida yetu mimi na Asha pamoja na wafungwa wengine tulianza kufanya yetu tukichonoana hapa na pale kwa ajili ya kutuliza hisia tu.

Uzuri mimi na Asha tulikuwa sehemu ya mafichoni kidogo na tukiwa tunaendelea na mambo yetu ya kushikana matiti tulisikia sauti ya mtu ikituongelesha.
"Mnaweza kunisaidia kitu!?"
wote tuligeuka kumwangalia mtu aliyetuongelesha.
Alikuwa ni Tabu, binti mrembo aliyekuwa nyuma yetu.
"Ndio, sema chochote tu tutakusaidia hata ukitaka kusuguliwa, yupo mtaalamu wangu atakusugua mpaka nyege zitaisha zote" Asha alidakia.
"Hapana nataka mnikinge ili watu wasinione nikiwa naoga" Tabu alizungumza.

Asha alitaka kumuuliza kwanini tumkinge ikiwa wote tuliokuwemo ni wanawake ila nilimzuia asiendelee kumuuliza maswali yake.
Basi mimi na Asha tulikubaliana na Tabu alisogea kwenye kona kabisa akiwa na maji yake na kuvua nguo zake huku akiwa ametutegea mgongo, hatukuweza kumuona vizuri kutokana na kumtegea mgongo.
Tabu alianza kuoga, Asha aligeuka na kuanza kumuangalia jinsi alivyokuwa akionga wakati huo mimi nikiwa bado nimetega mgongo nikiangalia sehemu nyingine kabisa.

Nilishituka kumuona Asha akinipiga akinitaka nigeuke kumwangalia Tabu.
"Kuna tatizo gani mbona unanipiga!?" Nilimuuliza Asha kwa sauti ya chini na uhakika hata Tabu aliweza kuisikia.
Asha hakutaka kuongea zaidi ya kidole chake kukiweka katikati ya mdomo wake akinitaka ninyamaze.

Niligeuka na kuangalia sehemu aliyokuwa anataka nitazame.
Looooh! nilipatwa na mshangao baada ya kumuona Tabu akiwa na mpini pamoja na korodani.
pasipo yeye kujua kila alipokuwa akiinama kwa ajili ya kuchota maji na kujimwagia ndipo mtalimbo pamoja na kengele zake mbili zilikuwa zikining'inia........ITAENDELEA.

OFA OFA OFA, SOMA STORY....
MOJA KWA TSH 900.
MBILI KWA TSH 1500
TATU KWA TSH 2000
NNE KWA TSH 2900

Chagua story uzipendazo hapo chini ????????kisha njoo whatsApp kupitia namba 0613083801 ujipatie story zikiwa full kabisa.

1.MFALME KIPOFU

2.KING'S SON (MTOTO WA MFALME)

3.YOLANDA

4.ZIPPORAH.

5.PENZI LA MHARIFU? ????

6.FARASI MWEUPE

7.SAA7:00 MCHANA ?????

8.POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA)

9.MAHABA YA MZOA TAKA?????

10.UFALME ULIOHARIBIWA NA TSUNAMI.

11.SITASAHAU YALIYONIKUTA MWAKA 2022

12.UFALME WA PAZANI

13.WRONG DECISION.

14.THIS IS MY KINGDOM

15.PAIN AFTER PAIN

16.MISS TANZANIA

17.NANI ALAUNIWE.

18.YALIYOMKUTA MUUZA UJITAKA?????

19.MMMH SHEMEJI HAPANA?????

20.KIJANA WA HOVYO?????

21.STAREHE ZA UJANA WANGU

22.WAKATI SAHIHI

23.ILA BABA MKWE?????

24.CHUMBA NAMBA 6?????

25.KISIWA CHA TABASAMU

26.MAPENZI NDANI YA GEREZA?????

27.MCHUMBA WA PLAYBOY

Namba za malipo ????????????

0613083801 HALOPESA JINA JOHN BUGUMBA

0755271203 M-PESA JINA JOHN BUGUMBA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA.......
Mwanzoni wafungwa karibia wote tulijua ni utani ila siku zilizofata tulijionea wenyewe kwani hatukuwa na uhuru tena wa kuoga tukiwa wenyewe bira kusimamiwa, asikari zaidi wa nne walikuwa wakitusimamia kila siku.

Wenzangu na mimi waliokuwa wemezoea kusagana ndiyo walikuwa waathirika wakubwa wa utaratibu ule mpya. Siku moja tukiwa selo Eliza aliongea na wafungwa karibu wote walitega masikio kumsikiliza.
"Jamani naombeni tuwe kitu kimoja!"
"Kitu kimoja kivipi wewe demu wa Monica!?" mfungwa mwenzetu alimuuliza.
"Nyege zitatuua sisi wengine" Eliza alizungua.
"Subiri siku ukitoka gerezani ukatiwe huko nje...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ndani-ya-gereza-11-umri-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ndani-ya-gereza
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ?? Umri………………..18+
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

143
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

142
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

101
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

63
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest