Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* *1-5* **   *SEHEMU YA KWANZA*  "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine
Gonga94 · Stories

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *1-5* ** *SEHEMU YA KWANZA* "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tunazaa magugu maji" Mama yangu aliongea tu maan ana mdomo huyu khaa, nilikuwa najiandaa naenda kumpitia rafiki yangu anaitwa aika kwenda huko kwa rafiki wa kaka yake mwanajeshi maan tulikuwa tumealikwa hukoo jamani, tukamuone alisema nimsindikize maan kasema hawezi kwenda peke yake mama yake atamzuiaa jamni hta kama anatoka na kaka yake ila etty lazima aende na wakike mwenziee mhh hawa watoto wa kishua hawa hapana jamani etty ana hisi eti ataenda kwa mwanaume etty wanaweza wakapanga njama huko za yeye na kaka yake mimi sasa ndio wa kumlinda jamani huyu hapana🙌 , by the way mimi naitwa Rahma ni mtoto pekee wa mama yangu ambae ni single mother , maan baba alifarikigi bado nipo mdogo sana kwahyo nakaa na mama yangu tu hapa, na sio kwamba nilisoma sana hapana , niliishia o level kutokana na ugumu wa maisha , ila huyu Aika kwao ni wana pesa na si unajua ukiwa na urafiki na wakishuaa afu wewe ndio hivyoo unakuwa kama chawa vile mhhh na huyo rafiki

"Sawa harakisha wewe jamani , mhh tupatage sisi hata chochote kitu jamni wewe mtoto sijui upoje yaani muda wote wewe unajiandaa tu mhhh hapana " Mama alizidi kuongea jamani "Mama jamani nakuja mimi unataka niende huko kama vile mtumishi naenda ushuani ujue wee haya huko" nilisema " wee bwana wee hebu harakisha hukoo mwenzio anakusubiri bhana , mimi mwenyew nataka zangu niwahi nikafunguwe hako kamgahawa nipate hata hivyoo vimiambili miambili vya kuendesha maisha" mama alikuwa ana kimgahawa chake ambacho kinampa vimia mbili mia mbili "sawa mama natoka naenda mimi jamani" nilitoka nimevaa zangu kisuruali changu pambee balaa kilijua kunikamata ilikuwa ni cargo na shati moja hii tunayo sare mimi na Aika ndio tulipanga tuvae. Nikavaa na kimtandio changu jamani mhh hapana nilijuaa kupendeza na jinsi nina shepu dodo nilinoga hatarii na kimtandioo kilikaa mahala pake jamani , na vipoda poda kwa mbali
"Haya shangingi langu sasa lishapendezaa hapo linajiona lenyewe ndioo top in town , mwanamke mzima hata mchumba wa kusingiziwa huna dash ila wewe jamani hapana" nilimtizama sana maan alikuwa anaongea ukweli sina hata wa dawa jamani huyu mama hapana mara simu yangu ikaita alikuwa ni Aika anapiga
Aika: hivi unajua kama huku tunakusubiri ni wewe tu?
Me: sawa nakuja nishajiandaaa jamani
Aika: haya chukua hyo boda ntalipia mimi sawa kipenzii?
Me:Jamani tajir wangu hapo pekee ndipo ninapokukubal mhhh haya nafika hapo chap shga angu


"Mama baadae tutaonana shga anguu byee" nulimuaga mama angu , maan nikichelewa hata dakika kumi akuu ntamkwaza rafiki yangu maan ni makasiriko isivyo kawaida
"Haya nirudiee maa usiku hapa utalala njee , me sitaki upuuzi kabisaa kwangu , uwahi tu kurudi na utapitia pale funguoo sawa na kam itatokea emergency ya wewe kulala huko huko kwa akina Aika uniambie mapema sawa?" Nilijibu sawa huku naondoka niliita boda boda maana nilikuwa nina namba yake...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho...

Itaendeleaa......🔥

Ep 02
Nilifika salama tu nikamkuta tayari yeye na kaka yake washajiandaa nilifika getini nikampigia simu akaja kunikaribisha akalipia na nauli tukaanza kupiga story sema huyu ni ana asili ya kujishauaa sana siunajua watu wenye nazo jamani sisi wasafisha njia tukae kimya tuu , maana tunakuwaga tunajisifiaa na kujichangasha ila hawa sasa wenye nazo wanaishia tu kutudharau maan mhhh ni hatari na nusu , ila tunavumilia maan mimi nishamzoea

"Jamani Rahma umechelewa wenzio wamekusubiria kitamboo ujueee?" Alikuwa ni mam yake na Aika "Jamani mama shikamoo , mama yangu mhh nilichelewa si unajua tena kujiandaa kwetu mhh hatunaga hata cha haraka haraka" nilimjibu kwa heshima na mama yake na Aika alikiwa ananipenda sana , maan alikuwa anasema eti nina adaabu na mchangamfuu sana , ndioo maana nimeweza kuwezana na Aika japo yeye kashafikaga chuoo na yupo chuo sasa mpaka sas na leo ilikuwa ni weekend tu " marahaba mwanangu , mhhh ila nyiee nao kama mnaenda kwenye party kumbee ni hapo tu kurefresh mind tu jaman haya , muwahi sasa ili muwahi kurudi sasa" niliitika tu

"Haya mrembo wangu umependeza ila jamani maneno yote haya nimemaliza hata kukuambiaa hongera zako sijakwambiaa umependeza sana mama yangu" nilitabasamu tuu nilipenda jinsi alinisifiaa jamni na vile ninavyopenda sifa sasaa kha " asante mama" nilisema huku nacheka alidakia Aika " mimi sasa cheusi nisifiwe niotee meno ya dhahabu , wanasifiwa wenye rangi tuu haya tuondokee" alisema Aika , yaaani kinginee ni ana wivu huyu jamani hapana yaana hata shule nililkuwa ikimshinda maksi anavyolalalmika jamani utasema kashindwa nini yaani hapana " mbona na wewe umependeza sana, tena hata kunizidi jamni shga anguu Aika " nikamtizama huku nampandishiaa nyusi , alitabasamu tuu akanitizam " haya twendeni sasa warenbo wangu wazuri wazuri sawa" alisema kaka yake anaitwa Swaleh , yeye ni mchangamfu mnoo afuu mzuri kuliko hata dada yake mishauoo ,ni mwnajeshi kam rafiki yake tunaeenda kumuona

"Haya muwahi kurudi sasa sawa eeh?" Alisema mam yake na Aika na tukaondoka tulipanda gari la kaka yake Aika hapo , maan kaka yake Aika ana kaa kwake ila leo alikuja kutembeaa kwao coz ilikuwa ni weekend na ndio ikatokea huoo mtoko sasa tukaondoka hadi kwa rafiki yake na kaka Swaleh, namuita kaka coz ni kaka wa rafiki yangu

Tulifika tukapokelewa jamani hii nyumba ni nzurii mhhh hapana yaani ni nzuri kuliko hata ya kaka yake na bi shgaaa hapa mama kupenda kusifiwa mhhh nilipapenda buree huku ndani full ac , jamani , kwanza njee kuna swimming pool na kulikuwa na wafanyakazi watatu mule ndani yaani inshort ni pazuri mnoo palikua ni ghorofa moja mhhh ni pazuri ,yaani ningekuwa na simu kubwa ningeparekodi kabisa ila ndio hivyoo kiswaswadu gang wenzangu ni wana kazi ya kujiphotoaa tuu , nilitamani ila sikuoneshaa kabisaa...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho..



Itaendeleaa...🔥

Ep 03
Walikuwa wakiendeelea kujirekodi na simu zao nilitamani ila nilikuwa sina mbele , nyuma wala kati kati mimi nikawa nawshangaa tu maana sina llolote na kiswaswadu changu"jamani wewe nae si upige picha na mwenzio khaa sijui ukoje wewe hapana" alisema kaka swalehe namuita kaka coz ni kaka yake na Aika "hee we naee mimi sitampa tu kwani simpagi jamni hapana hata kama hee mimi nikonapiga picha za kupost " alisema Aika kwa nyodo kwelli ila haikuniuma coz nishaozeaa mimi hizo kero zake ni za kawaid kwangu " hee ukimpa mara moja kwani ataimezaa?" Alisema kaka Swalehe hakumjibu wala nini alimtizma tu akamsonya

"Jamani kak Swalehe yey kasema anapiga picha za kupost why mimi nijiweke hapo hata kama ni ukijherehere hapana " nilisema kukatisha maneno" mhh hapo ndio umwambiee huyu mwanaumee" alisema Aika na hapo ndipo walipoanza kuzozana basi kelele tupu sikushangaa coz wamefuatana ni kitu cha kawaida wao kugombana mara kwa mara, mara anakuja yule rafiki yake kaka

Jamani ni mzuri khaa alikuja kavaa pensi na vest na hivi kapanda huu na anarangii mhh alipendezaa sana , plus ni mzuri jamni hapana mara ya kwanza nashanga mwanaume ni mzuri jamani huyuu mhhh nikae kimyaa tutalizungumzia hili baadae , " wageni karibuni naona mnazozana sasa mhh nini shida hapa?, aliongea huku anatabasam jamani na yake meno meupee mhhh alizidi kunivutiaa afu ni anavishimo kwenye mashavu jamani mhh huyu mkaka, wale walishtuka jamani wanaojuana walisalimiana , mhh hadi Aikaa mam nyodo nilionaa anamshangaa huyu mkaka jamani ni mzhri " Karibuni jamni nilikuwa najimwagia maji" alisema. Yule mkaka mzuri namuita hivyoo coz jina lake nilikuwa silijui hata "tushakaribiaa bhana huon tulikuwa tushanz ana kugombana " alisema kaka swalehe

Jamani chakula kimechelewa coz nilietoa delivery hajafika mpaka sasatunaweza tukahave a nice drinks huku tunapiga story tu mbali mbali au vipi? , etty si tuapata wine au vipi? " aliuliza yule mkaka mzurii mi namuona hivyoo sikuwa nishamjua jina tayarii " okay haina shid aunaweza jitambulisha kwanza mimi hawa wote ni wadogo zangu na hawakufahamu vizuri" alisema kaka Swaleh

"Okay naitwa Raphael nice tu meet youu" , alitaka kunipa mkono akaanyoosha Aika"naitw Aika mdogo wake na Swalehe na huyu ni rafiki yangu anaitwa Rahma anakaa Temeke" alikuwa kama ananitenga Fulani ila nishamzoeaa bhana " ooh wow inapendezaa kuwa na rafiki at leat like her" alisema Raphael "Sorry naweza kwenda jikoni maana mimi hivyo vinywaji mimi situmii naweza kwenda kupika bites kam nitaruhusiwa ? , mnielekezee jikoni" niliona nitafute excuse maan panapofuata hapa ni midhaliliko mitupu ni kudhalilishwa alinilelekeza na mimi nikaenda jikoni na kwa upende wa jikoo nipo 🔥 , nilikuwa nakaanga vikokoto, viaktless na vikababu na vibibi lakini mpaka kule wanasikiaa ,

Nilimaliza nikaletaa mezani wakaawa wanapiga story huku wanatafunaa hiili ilikuwaa kam chombeza ya story na walipenda wakawa wanasifiaa kasoro Aika yani yey ndio rafiki yangu lakini usiombee akutoe out jamani mhh akifika hukoo anaaanza kukutelekeza jamni mhhh inabidi ushtukee mapema unaweza hata ukaachwa muda wa kurudi ndivyo alivyoo huyu mwanadada , tulikaa na chakula kikaja tukala wakaawa wanacheza game mhh sasa huyoo Aika kujifanya shuhuda hapana ety anamshangiliaa Raphael mimi nikawa namshingiliaa Swaleh , ilaa baada ya muda simu ya Aika iliita na alienda kupokeaa pembeni akamaliza akarudi

"Kaka naomba twende kuna notice naenda kuchukuaa kwa Zulfa za kesh Jumatatu, naomba twende ili twende wote nyumbani , ili mama asije akasema " alisema Aika bila hata kujali na mimi nipo "na vipi kuhusu Rahma ?" Aliuliza Swaleh " jamni huyo kwao ni anapajuaa atenda afu mama yao sio mbabaifu atamuelewa akaniwekeaa shilingi 20k akaondoka zake na kuniacha mimi nashanga. Yaani ananiacha na mtoto wa kiumee

"Usijali nitakupeleka" alisema Raphael " maan wameondoka bila kuaga utanielekeza nitakupeleka usijali madam" nilishukuruu nikasema sawa...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho...


Itaendeleaa.....🔥

*Ep 04*

Nilimshukuru tu kwa msaada wake "Sorry unaweza nisubiri hapa naenda kuvaa nguoo ndefu nakuja siwezi kudrive nipo hivi " nilisema sawa , yaani ni mchangamfu balaa mhh basi alibadili hizo nguoo akaja tukapanda gari kwenda nyumbani mimi nilikuwa namuelekeza ila alikuwa ananitizama sana " unajua kupika madam nimekupa sifa zako" alisema Raphael nilimtizama tu sikumjibuu kitu nilitabasam tu kwa vile napenda sifa balaa ila ni vile tu sisifiwagi " yule ni rafiki yako kivipi?" Aliuliza tena Raphael nilimtizma tu nikabadili mada " mhh kwani jeshi mkienda kusoma kuna mafunzoo makali eeh ?" Alinitizama tu " nan kakwambia?"

"Mimi nilikuwa nataka nikajifunze hukoo saa anikaanza kutishwa jamani hhh ila mimi hapana nitengwee" nikanza kucheka " wamekudanganya ni ya kwaida kama ukizoea mwanzo utaona ni mateso" nilijikuta nacheka kwa nguvu yaani naleta uswahili wangu sasa bado mapema " mhh mimi waliniambiaga hivyoo basi nikasema siendii mimi mama nilikuwa mpak naliaa nikiambiwa habari za jeshi basi mama alikuwa akinichokoza kila wakati kuhusu hiyo jeshi mpaka nilikuwa nakomaa mimi jamani khaa mama naee hapan" tulijikuta tunapiga story nyingi za uongo na kweli jamani mhh hapana me naee nilizidi uongoo sana sasa sijui aliamini sielewi hta atajua mwenyew alinifikisha mgahawani kwa Mama, kwa maan mama alisema nipite huku kuchukua funguoo sasa " asante umenifikisha nyumbani" nilimshukuru " sawa usijali kwani hapa ndio kwenu?" Aliuliza

"Hapana hapa ni kazini kwa Mama yangu , na mimi huwa nafanya hapa" alinitizma akasema sawa sasa naomba namba zako ili kukiwa na shida yoyote tutawasilina nilicheka tu nikamwambia "sasa namba jamani ya nini kwni mimi na wewe tutaonana tena?" Hamna binadamu huwa tunakutana hutaki kuwa rafiki yangu Rahma, mimi sio wa hovyoo namna hiyoo" nilimtizama nikampa aandike kwenye kisimu changu akaandika tukaaagana zetu sisi yeye akaondoka sasa , yani hata sijaingia ndani ya mgahawa nasikia sms kuangalia hivi nakuta ni yule yule mkaka Raphael tena katuma umeionaa? Me nikajua ni namba kuiona nikasema ndioo ,nikaingia zangu ndani mgahawani kwa Mama yangu "Mama yangu kipenzi nimerudi" nilimwambia nikimkumbatia Mama kwa nyuma " nilikuwa nataka nikupigiee simu maan saa 10 hio shga angu mhh , vaa nguoo hii uondoke uende ukahudumie wateja, maan hapo unahisi unajiona tajiri kwasababu etty umepewa hako kaelfu 10 yaani wewe hela ndogo zinakupumbaza akili mhh we mtoto" Mama kwa kuongea jamani hapana mhh ningerithi huu uongeaji sijui ningekuaje maana vya kurithi vinazidi sana mhh 🙌 nilijianda nikaendaa kuwahudumia wateja kama ilivyo kawaida ni kuwahudumiaa wateja

Tulimaliza sasa na tukafunga tukarudi nyumbani hee si ndio kuangalia simu nakuta text ya umethibitishwa eety 50k mhh nilijua mwanzo bi Aika maan yeye ndio huwa ananipa pesa ndefu kidogo nilimpgiaa akasema sio yeye " mhh shga angu au umepata mchumba huko unanificha?" Niliona na yey mzinguaji tu maan mimi nipo serious yeye analeta matani nilikasirika kweli nikakata na simu , mimi masihala na hela sitaki kabisa ndio maan navumilia dharau zake najua kuna kitu napata pale kwake ndio akil ikaja itakuwa ni Raphael ndio kumpigia simu akapokea simu yeye " Asante nimeiona , ila kwanini umenipa hii jamani" nilimwambiaa Raphael alicheka " jaman kampani yako tu nimeipenda na hyo ni shukrani ya kuniamini na kunipa namba yako rafki yangu , haya lala mimi kesho naenda kazini sawa mam yangu?" Nilimsikiliza tu nikamwambia usiku mwema nikawa nawaza acha nianze kumuuliza Mama kuhusu tabia za wanajeshi🙌
" etty mmaa Wanajeshi huwa wapoje yaani tabiaa zao wanakuwaga jee eety Mama nambie " nilimujliza Mama maana yey ni mtu mzima anelewa " wewe naee mhhh wanajeshi. Mhh hamna watu malaya kam hao , mhhh yaani Izrael akikushinndwa kukutoa roho kwa kukuua mapema anakupa mwanaume mwanajeshi au daktari ni malaya hao watu, sasa wewe kama umepata mwanaume mjeda hukoo we jipangee upo bibi " nilimtizama Mama sikummaliza yaani " mimi nimekuuliza tu maama ushaanza kutafsiri mengine , naenda kulala mimi:" nilinyooka chumbani kwangu kujiandaa kwa ajili ya kesho kazini nililala unknown maana huyu mzee khaa, nilikuwa na chumba changu coz ile nyumba ilikuwa kubwa na ni ya kwetu hatujapanga kabisa ni kwetu maan marehemu baba aliniacha hii nyumab japo ni ya kawaida sana...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho...

Itaendelea....

*Ep 05*

Asubuhi ilifika salama kabisa niliamka salama namshukuru Mungu, niliaamkia kuchota maji mimi mdada wa watu maana pale nyumbani maji shida hatari na bombani hakuna wala nini tunafuata huko chini wondering, basi nilifuata maji nikaleta zangu nyumbani nikafanya usafi , nikajiandaa kwenda kazini kwa Mama sasa , maan mama yey alitangulia mapema , nilijiandaa nikaendaa kazini

Mida ya saa sita hivi aliiingia mteja mwenye magwanda ya jeshii , niliinuka kumuhudumiaa hee namkuta ni Raphael 🙌 hee wewee umekuja kufanay nini hapa jamni ? Nilimuuliza alinitizama " mimi ni mteja hebu nihudumie na ninataka ulichopika wewe jamani" nilicheka nikajuaa tu huyu mkaka mzuri bangi tupu nilimpa chakula chake haya hicho hapo boss " nilikuwa nina adabu sana kwenye kazi hata iwe nakujua vipi siwezi kukuletea masihara kazini hata robo " upo makini na kazi yako etty boss" nilicheka nataka nijibuu tu Mama akaniita kwa sauti ya juu kweli " wew mjinga hebuu njoo huku kuna mteja mwingine" sawa mam nakuaj , nikaondoka kumuelekeaa mama yangu sasa nikahudumiee wateja wenginee sasa , mgahawa wetu japo ulikuwa mdogo lakini ulikiwa msafi muda wotee na hap ndipo upo tu uswazi je ungekuwa hukoo osterbey wee ogopa matapeli, nilimaliza kuhudumiaa naangalia alipokuwa ameekaa Raphael simuonii nilipotezeaa tu nikarudi kwa mam nishamaliza kuhudumia tauri wote napita kutoa vyombo

"Wee mjinga mbona yule mwanajeshi kaacha elfu 30 na amechukuwa chakuala cha elf 4 tu , auua unakopeshaga wewe mjinga afu huandiki angekuwa sio mwanifu " jamani mma bhan always anawaza ujingaa nilisema tu sijui " nyoko sijuii wewe we haya utakamatwa kabisa kam unaona etty ni mjeda ana hela umeyatimba taur wenyew tu hao omba omba kam sisi ana hela angekuja kula uswahili hay ww endelea tu kukopesha" eeh mma yangu yaishe ngoja nikakusanyee vyoonboo nikaoshe " haya ndio ufanye haraka sasa wee bichwa" yaani mama mhh 🙌

Siku zilipita na ndio ikawa tabia ya Raphael mchan kuja kula nyumbani kwetu , kwenye mgahawa wetu na kuna wakati alikuwa anakuja na wanajeshi wenzie hivyoo tulikuwa tunapiga pesa saana mhh na huku Aika akiwa busy na chuo ni tuna kutana mara moja moja tena weekend tu , na kwa upande wa urafiki wetu mimi na Raphael ulizidi kupamba moto yani hatari tupu , hii siku ilikuwa Jumapili huwa tunachelewa kufunguaa mgahawa sisi nilikuwa bado nipo kitandani , nishamaliza mamb yangu nikakaa kitandani tu nimetulia simu ikawa inaita ni Raphael nikaipokeaa

"Unajua kwamba leo saa sita usiku ni birthday yako Rahma?" Mhh nilishangaa "wee nani kakwambiaa sasa wakati mimi siwambiagi watu" alicheka kweli " kwahyo umesahau kuwa wewe ndiie ulieniambia mwenyew mam cha maneno umesahau" nilicheka maan yawezekana kweli nilimwambia mimi mwenyew ila najifany tu nimevurugwa na maisha tayari " mhh labda mhh nambiee"

"Naomba tutoke mimi na wewe yaani saa sita kamili itukutee pamoja " nilitoaa macho " yaani mimi na wewe" nilishangaa kweli yaani " mhhh kwani kuna shida Rahma mimi kutoka na wewe, mimi si rafiki yako sasa wasi wasi wa nini sasa jamni we njoo bhan nyumbani au kuna shida, me nakuahid usalama wako na nitakurudisha baaada ya saa sita usiku nataka ufurahie siku yako ya kuzaliwa kwan umesahau ulinambia hujawahi kuenjoy siku yako ya kuzaliwa?" Nilikumbuka nishawahi kumwambia hivyoo Raphael " ila Raphael nije nyumbani kwako?" Nilikuwa nasita sita sana " yaani tunatokeaa hapa ila kuna sehemu tunaenda sawa mama yangu?" Nilikubali maan alinishawishi sana , nilimuaga Mama nikasema naenda kwa aikna Aika leo amesema anataka anifanyiee suprise special for my day mama yangu huwa hanaga shida alikubali akanipa na funguo ya ndani ili nikija nisumgongee usiku

Nilifika nyumbani kwa Raphael alikuwa tayar kajiandaa kapendez kinoma alivaaa casual mimi nilikuwa nimevaa kibaubui changu tu kizuri kizuri na mtandio mweusi " wow umekuja kweli , ila sasa vaa hii" alinipa nguo muundo wa abaya sijui mnaita wenyew mimi sijuii niliiivaa jamnni nilinoga uwii nilipendeza na sijawahi kuvaa hyoo nguoo maan hizi zinakuwaga ni leo "nimekununulia hiyo coz najua wewe huwezi kuvaa nguo fupi , ila sipo vizuri kwenye kuchagua" nilitabasamu tu nikamwambia usijali nimeipenda mnoo , na ilikuwa nzuri haionekani kam hizi za 45k ilikuwa pambe hatari ya kijani ya jeshi ,basi tuliondoka tukaenda sehem moja kali kweli imetuliaa haina makelele , palikua pamepambwa hatarii , palionekana ni ufukwenu na ilikuwa ni usiku tayari hivyoo tulikuwa wawili kwenye meza jamni ,meza ilikuwa imepambwa sanaa mhh hpana yaani, ningekuwaga na simu ningerekodi kila tukio niwaonyeshe

"Asante hiii yote kwa ajili yangu?" Alisema ndio akinipa kiboksi kimojaa " unaweza funguaa hii hapa , hii sio zawadi ya birthday ni yako binafsi" basi niliifunguaa jamni nilikuta ni simu , nzuri pale kwenye boks lake kuna picha ya appe lililong'atwa jamni nilifurahi mpaka machozi ya kawa yananilenga mimi "kweli ni ya kwangu kaka Raphael?" Alitikisa kichwa niliruka ruka mimi jamani " usijali utaenda kuiset mwenyew hukoo nyumbani na kam utataka hii video ntakutumia" nilikubali coz kuset simu nafaham nishakaa na wasetiji simuu

Ulipita muda tupo tunakula tuna enjoy sasa nikama nilikuwa nimejichafua Raphael akawa ananielekeza mimi sielewei akainuka mwemyew kuja kunifuta jamani ule ukaribu wetu wa pumzi ulinipa shida sana afuu akawa kaganda ananitizama kwa muda mimi nikaainamisha sura chini , hee akaniinuaa kwa kidolee ilkuwa ni karibu na saa sita, nilishtukia tu kasogeza mdomo wake akaanza kunipa juice jamani ilikuwa ghafra lakini mmmh 🫣, nilijikuta nashindwa kuvumiliaa nikawa natapatapa tu huyu mkaka duhh nilijikuta tu utamu wa juice unanizidia nilianza kulegea na mimi nikaanza kumpapasa upande wa kichwaa akaonaa wwee usinitaniee akanibeba akanipeleka kwenye hema maana hapo alikua ameshaandaa hadi hema lakini kulikuwa na maboksi ya zawadi humoo jamni , achaa aendeleee kunipa juice muda huo hata haongei ni juicee tu nililegeea mimi mhhh , jamni sijawahi legea hivii huyu mkaka kiboko🙌 siku ya kwnza kupewa juice ni siku ya birthday yangu , maana hapa alarm ililia kumaaanisha ni saa sita kamili afu bado anaendelea kunikunywa tu nilitamani kufanya vitu vya ajabu 🫣...


Itaendelea......🔥

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *1-5* ** *SEHEMU YA KWANZA* "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu wanazaa watoto wengine

tunazaa magugu maji" Mama yangu aliongea tu maan ana mdomo huyu khaa, nilikuwa najiandaa naenda kumpitia rafiki yangu anaitwa aika kwenda huko kwa rafiki wa kaka yake mwanajeshi maan tulikuwa tumealikwa hukoo jamani, tukamuone alisema nimsindikize maan kasema hawezi kwenda peke yake mama yake atamzuiaa jamni hta kama anatoka na kaka yake ila etty lazima aende na wakike mwenziee mhh hawa watoto wa kishua hawa hapana jamani etty ana hisi eti ataenda kwa mwanaume etty wanaweza wakapanga njama huko za yeye na kaka yake mimi sasa ndio wa kumlinda jamani huyu hapana🙌 , by the...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-1-5-sehemu-ya-kwanza-hebu-wewe-harakisha-basi-yaani-wewe-sijui-utakuwa-l

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeda-inauma-siwezi-vumilia
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*      *Chapter 14&15*  Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  "Ujue mpenzi wangu mimi kingine ambachoo kilifanya nikupendee ni ile siku ya kwanza ulivyofika ukaenda
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* "Ujue mpenzi wangu mimi kingine ambachoo kilifanya nikupendee ni ile siku ya kwanza ulivyofika ukaenda
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 12  Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*    Chapter 10  Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 10 Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA*    *Chapter 19&20*  Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 19&20* Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20*    Chapter 17  Nakumbuka Aika alikuna sikioni akaniambiaa kituu" mhh subiri uonee ya kwangu"
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* Chapter 17 Nakumbuka Aika alikuna sikioni akaniambiaa kituu" mhh subiri uonee ya kwangu"
 *MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18  Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 9  Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 13  "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*  Chapter 7  "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 8  Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 8 Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA SITA*  Alizidi kunichanganya vilivyo yaaani nilishindwa kuelewa kwani nililegea hivi maan kumtoaa nilikuwa nataka ila cha ajabu nikawa namshika
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA SITA* Alizidi kunichanganya vilivyo yaaani nilishindwa kuelewa kwani nililegea hivi maan kumtoaa nilikuwa nataka ila cha ajabu nikawa namshika
MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*   *SEHEMU YA  1 na 2  "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu...
MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA 1 na 2 "Hebu wewe harakisha basi yaani wewe sijui utakuwa lini yaani jamani dah, hasara hizi jamani watu...
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* 3 hadi 5 Ep 03  Walikuwa wakiendeelea kujirekodi  na simu zao nilitamani ila nilikuwa sina mbele , nyuma wala kati kati mimi nikawa...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* 3 hadi 5 Ep 03 Walikuwa wakiendeelea kujirekodi na simu zao nilitamani ila nilikuwa sina mbele , nyuma wala kati kati mimi nikawa...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

907
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

635
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

564
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

516
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

338
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

241
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

135
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

101
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.67K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.58K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest