Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
06 Nov 2025
1.17K views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kabisa niliamka mapema sana na kichwa kilikuwa kinaniuma sana kutokana na kuwaza sana usiku mzima niliamua zangu kufanya usafi na mambo menginee yaendeleee sasa maan mhh mama nae aliaamka akanitizama " Unaweza ukapumzika kwa leoo maaan kazi ulioifanya sio ndogoo ila na mimi kazi niliyokupa naomba uniwasilishie majibu umesikiaa wewe, haya mimi natoka zangu nadhani tumeelewana hapao wee biniti wa mie" Mama alitoka zake kwenda hukoo mgahawani mimi nikabaki hapa mwenyew nyumbani mimi peke yangu" nilifanya mambo yangu na kwenda kufungua saa zile zawadi nilizoletewa na Raphael ilikuwa ni maboksi ambayo yalikuwa mule kwenye lile hema ile siku ya birthday yangu, nilifunguaa nilikuta vitu vingii sana kulikuwa kuna nguoo, mikufuu, viatuu na vitu vinginee vingii kam hivyooo nilifurahi sana ila sasa nilikuwa sijaongeaa na Raphael toka alivyonileta jana hapa na gari lake mhhh nilijua ni mambo yake ya kazini nilimtumiaa sms nzuri zana ya kumwambia asante kwa zawadi na nilikuwa nimechoka tayarii, niliamua zangu kulala
Nakuja kushtuka hivi saa 10 tena ni simu ilikuwa ianitaa ni Raphael alikuwa anapiga nikapokeaa maana nilikuwa ninahamu nae vibaya mnoo Me & Raphael: nina kitu cha muhimu nataka niongee na wewe, naomba tukutane mimi na weww (tulijikuta tunaongea kwa pamoja nilijisikiaa tu kucheka maan vinachekesha) Me: ningekuwa karibu yako ningekupiga kofii
Raphael: haya nielekeze sasa hapo ulipo nije nikufuate nataka tupangee sehemu iliyotulia sawa mke wangu, ni jambo urgently sana nakuomba
Nilimuelekeza nilipo nilivaa zangu kigauni changu juu nikaweka mtandio nilijipodoa tafkirii naenda kwenye sherehee aku mwenzangu nilimwambiaa Mama sehem ambayao atakuta funguoo mimi nilikuwa natoka nilivaa moja ya nguo aliizonipa Raphael kwenye zawadi zangu za birthday, nilipendeza inshort jamani nilionekana pambe sana alikuja Raphael tukaenda moja kwa moja hadi kuke maeneo ya palm village kule masaki kulikuwa kumetulia sana yaan afu kule watu wengi ni wazungu wazungu sio waswahili kam mimi cheusi mangala jaman japo nina kirangi ila nilijiona kabisaa mhh hapa sio levoo zangu tuliagiza vinywaji tu, maan Raphael alikuwa anaonekana hayuko sawa kabisa mimi nilimuona kabisa
"Anza kuongea wewe Rahma" nilimtizama tuu nikashusha pumzi "Raphael mama yangu aliniuliza kuhusu wewe na nimemjibu kam inavyotakiwa sasa ila amesema kwamba shida moja hatuwezi kuwa kwenye mahusiano bila malengoo na malengo anayosema yeye ni ndoaa na siokinginee kati ya hichoo jamani mume wangu nadhan hapo utakuwa umenielewa na tatizo sio ndoaa bali ni dini amesema anataka jibu kama haiwezekani kasema tuvunje haya mahusiano Raphael" nilisema nikimwambiaa Raphael alinitizama kwa muda kidogo akameza matee kisha akaniaangaliaa ujuee Rahma mimi nakupenda sana ila tatizo mimi kwangu ni dini nimeshirikisha wazazi wamekubali ila wamesema labda wewe ubadili dini, mimi nikasema nitaongea na wewe na mimi nahisi wewe huwezi na ninaogopa kukupotezaa mke wangu" nilimtizama sana mume wangu kwa hurumaa, nilitamani nimkumbatiee ila pale ni mbele za watu siwezi mimi nina aibu mnoo
"Usijali mume wangu mimi ntabadili haina shida mume wangu ili mradi nikufute wewee hapao usijali" ujue wanasemaga mwanamke hanaga dini alinishanaga akauliza kwa mshangao "ni kwely Rahma?" Nilitikisa kichwa kwamba naaminisha " ila usijali mama yangu ni mtu poaa sana hana tatizo sawa mume wangu kipenzi, hilo limeisha" aliinuka akaja akanikumbatiaa kwa nyuma akanikiss kwenye shavuu nilifurahi
Alimpigiaa pale pale mama yake nikaongeaa nae mama yake na baba yake jamani nao ni watu poa mnoo yaani mhh, nilishukuruu sana yaani nilifurahi walinikaribisha vyemaa
Itaendeleeaa.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
BILLIONEA ALIYENITEKA ILI NIWE WAKE 1 to 5
SEHEMU YA 1 ANZA NAYO..... Dah nimeamini ule msemo ambao moyo hupenda wenyewe bila kuangalia sura au muonekano wa mtu v...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
kabisa niliamka mapema sana na kichwa kilikuwa kinaniuma sana kutokana na kuwaza sana usiku mzima niliamua zangu kufanya usafi na mambo menginee yaendeleee sasa maan mhh mama nae aliaamka akanitizama " Unaweza ukapumzika kwa leoo maaan kazi ulioifanya sio ndogoo ila na mimi kazi niliyokupa naomba uniwasilishie majibu umesikiaa wewe, haya mimi natoka zangu nadhani tumeelewana hapao wee biniti wa mie" Mama alitoka zake kwenda hukoo mgahawani mimi nikabaki hapa mwenyew nyumbani mimi peke yangu" nilifanya mambo yangu na kwenda kufungua saa zile zawadi nilizoletewa na Raphael ilikuwa ni maboksi ambayo yalikuwa mule kwenye lile hema ile siku ya...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-14-15-asubuhi-palikucha-ili-mambo-mengine-nayo-yaendelee-sasa-ma