Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 9  Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
Gonga94 · Stories

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ilinibidi nicheke kwanza na kwa jinsi nilivyochangamka nilijikuta napiga story nyingi jamani na yule mama mhh niimzoeea alijikuta mpaka nasahau sasa kuhusu amekuja kufanya nini akawa anawaza kunisikiliza mimi nilikuwa nikamaliza lakini akabaki na vyombo mkononi huku story zinaendeleaa hhhh ila mimi naongeaa sana, tulikuja kushtuka baada ya Raphael kurudi alirudi majira ya jioni

"Habari, Mama Salma shikamoo" nilikuwaa nacheka hadi nikaaa kimya mimi yaani nilikuwa nina hasira nae "marahaba mwanangu, naona niwapishe maan nilikuwa nimekuja kumpa kampan madam hapa" alisema mama Salma " bora maan alikuwa kaboeka sana, asante mama alisema Raphael, mama Salma aliondokaa na vyombo sisi tukabaki wawili wenyew, nikageuza shingoo pembeni sikutaka kumuona, alinifata kule kule ambapo nimegeuzia shingoo aliacha mfuko kwenye kiti akaja huku nilipo mimi, nilimtizama tu sikuwa na jibu la kumpaa

"Mama yangu nakuomba nisikilize basi, najua nimekukosea sana, mke wangu nilishtuka nikatoa macho" wee unajikuta eeh sasa wewe endele mkeo huyoo vipi umenioa mimi tena ishia hapo hapo, si umeshapata ulichokuwa unataka au kuna mengine?" Alinitizama akaja kunikumbatia "niache nikasemaa niachee ntakutemeaa mate ujuee wewe sitaki kushikwa na wewe mbaba mkatili wewe" hakuniachia na mimi nguvu za kumsukuma sikuwa nazo ikabidi tu nitulize komwee maan ukihere here usije ukaniponza hapa, alinitizama ikabidi nituliee nikakumbuka alivyosema jana usiku nikatulia tu

"Unanichukiaa naelewaa Rahma ila mimi nakupenda, najua kuna sifa nyingi umesikiaa kuhusu wanajeshi ila mimi siko hivyoo mimi nimekuwa mwanajeshi japo sio kzi yangu kwahyo mimi sina nafsi ya uwana jeshi, huoni hata nilivyoo ni vile tu nilisomeaa jeshi na kwa ajili ya baba kwasababu kila mtoto kwetu lazima apite huko alikaaa kimya "sasa si ndio uendelee kujielezeaa mimi nakusikilizaa" alinitizama akatabasamu

"Mimi hapa nina biashara zangu hukoo na hapa jeshini nipo kwa mkataba tuu, baba alisema nikajiandikishe baada ya kusomeaa na karibuni uishe, mimi kwanza kuvaa magwanda sipendi" nilimtizama akaendeleaa kuongeea huku bado kanikumbatiaa vilivyoo mimi nina hospital yangu, na nina miliki hotel jeshi ni basi tu na sasa hivi vipo chini ya usimamizi wa mdogo wangu Stephan hukoo hivyoo namalizia huu mkataba niende nikasimamie mwenyew maan yule ni bangi ndio zipo kichwani" nilijikuta nacheka ninavyopenda kusikkia story za matajiri basi mimi naona kama movie ila ni kweli huyu hana sura hata ya jeshi, mwanajeshi gani anasura soft hivi yaani mzuri lakini enhee endelea" alinitizama tu hajanizidi akaanza zake kucheka maan kajua kama mimi namuona kama vile yeye story taller

"kwetu tupo wawili tu mimi na Stephan, wazazi wetu wapo hukoo Canada baba anafanya kazi hukoo kwnye ubalozi wa nje ya nchi nchini Canada nikajikuta nasema " kweli mhhh usiwe unanipanga ujue mimi muda wote nilikuwa naona kam utani yaani mimi hata mtu anambiee kapanda ndege nambishiaaa yaani kwanini inakuwa ngumu sana sasa huyu kuanza kunambiaa na watu kuishi Canada nikaonaa kama vile ananipanga tu hana lolote....

Itaendeleaa

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh

ilinibidi nicheke kwanza na kwa jinsi nilivyochangamka nilijikuta napiga story nyingi jamani na yule mama mhh niimzoeea alijikuta mpaka nasahau sasa kuhusu amekuja kufanya nini akawa anawaza kunisikiliza mimi nilikuwa nikamaliza lakini akabaki na vyombo mkononi huku story zinaendeleaa hhhh ila mimi naongeaa sana, tulikuja kushtuka baada ya Raphael kurudi alirudi majira ya jioni

"Habari, Mama Salma shikamoo" nilikuwaa nacheka hadi nikaaa kimya mimi yaani nilikuwa nina hasira nae "marahaba mwanangu, naona niwapishe maan nilikuwa nimekuja kumpa kampan madam hapa" alisema mama Salma " bora maan alikuwa kaboeka sana, asante mama alisema Raphael, mama Salma aliondokaa na vyombo sisi tukabaki...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-9-hhhhh-nilicheka-maan-alikuwa-kanichekesha-sasa-jamani-mhhh

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*      *Chapter 14&15*  Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 12  Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*    Chapter 10  Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 10 Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA*    *Chapter 19&20*  Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 19&20* Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
 *MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18  Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 13  "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*  Chapter 7  "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 8  Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 8 Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

795
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

570
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

485
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

333
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

293
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

90
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest