Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 13  "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
Gonga94 · Stories

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mama mimi sasa hivi ni mkubwa nina miaka 26 sasa sio mdogo mama yangu, hivyo basi nimepata boy friend mama ni mtu poa sana na hana longo longo" Mama alinitizama jicho la wee haya shauri yako "enhee mlikutanaje kutanaje?" Nilimtizama mama kwa muda nikamuhadithia vyotee hadi tulivyotoka hadi nikamuelezaa kila kitu, hadi historia yake aliyonipatia Raphael kuhusu yeyena familia yakee, mama alikuwa ananisikiliza

"Wee mtoto mpuuzi kweli kumbe ni yulee aliokuwa anakuja pale na magwanda yake ya jeshi?" Ndio mama ndio yule yule sio mwingine kwahyoo ukaona unifiche sio kwamba nitakufanya kitu gani yaani mhhh mpaka ushindwe kusema wewe mwenyew hivi ujue kam wewe ni mpuuzi sana, haya ushaingia kwa wanajeshi mhh kitakulamba wee haya shauri yako yaani wale ni kujiuaa mapema kabisa hivi hivi unajiona unakufa kweli tena enheee kwahyoo mlikutana naee tyar kimwili " hee hili swali nalo lilinitia aibu mnoo nikaanza zangu kucheka cheka tu kam vile mwenye kuchanganyikiwa nipo busy kweli nacheka vibaya mnoo, mimi siwezi kumjibu hili swali bhana nikazidi kucheka tu kam kachizi flani

"Haya ndio hayoo enhee umesema anaitwa nani sikusikiaa vizuri Mama aliuliza na mimi nikamjibu "anaitwa Raphael" Mama alinitizama kwa jicho kali kweli maan hapo alikuwa serious na uso ulibadilika "Enhee vipi kuhusu dini itakuwaje? Wewe unabadili au yeye anabadili au ndio mnachezeaana mnaishiaa kununuliana simu za WhatsApp hatimaee anakuacha si ndio?" Hili nalo lilinishtuaa maaan hatujajadili lolote kuhusu dini wala ndoaa nilikaaa kimyaa " jibuu huna si ndio sasa nakupa wiki moja tu nijuee ni nani anabadilisha dini na mipango ya ndoa maan wewe sio mwanafunzi hapana sijui unaelewa unipe hayoo majibu mapema na upesii sio hapa nakuwa nafuga wazinifu katika hloo sichekeshi maan kwa mara moja sio mbaya maan najua vijana wa sasa hivi hamuwezi kubaliaana mpaka mkutane kimwili hilo nalielewa vizurii haya mara moja ni sawa tena kakukuta badi mzima kabisaa kwahyo naomba muongee kuhusu hiloo me sitaki kufuga vizinifu, kwa kiwa baba yako hayupo ndio uniletee ujinga hapana Rahma tutagombana kwahyo naomba uongee na huyoo mjinga mwenzio masihala kwenye hili sitaki kabisa sijui unaelewa wewe mtoto?"

Mhhh hili nalo lilinishika na linabidi lifanyiwe kazi haraka sana maan mhhh ni kweli maneno aliyoyaongeaa Mama hayana ukakasi yalikuwa makali yenye ushauri na hekima ndani yake nilifikiriaa sana kuhusu hili kwakwel mhh ,niilingiaa chumbani na kumpigiaa simu Raphaele hakupokeii nilizidi kuchanganyikiwa kabisaa yaani mhhh maan hii haijakaaa sawa kabisaa yaani mhhh, niliamuaa kulala japo kwa shida nilijaribu kukesha hata mtandaoni ili nipoteze kabisa

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue

mama mimi sasa hivi ni mkubwa nina miaka 26 sasa sio mdogo mama yangu, hivyo basi nimepata boy friend mama ni mtu poa sana na hana longo longo" Mama alinitizama jicho la wee haya shauri yako "enhee mlikutanaje kutanaje?" Nilimtizama mama kwa muda nikamuhadithia vyotee hadi tulivyotoka hadi nikamuelezaa kila kitu, hadi historia yake aliyonipatia Raphael kuhusu yeyena familia yakee, mama alikuwa ananisikiliza

"Wee mtoto mpuuzi kweli kumbe ni yulee aliokuwa anakuja pale na magwanda yake ya jeshi?" Ndio mama ndio yule yule sio mwingine kwahyoo ukaona unifiche sio kwamba nitakufanya kitu gani yaani mhhh mpaka ushindwe kusema wewe mwenyew...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-13-mama-nae-jamani-ni-vile-tu-hujui-ngoja-nikwambie-kila-kitu-sa

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*      *Chapter 14&15*  Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 12  Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*    Chapter 10  Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 10 Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA*    *Chapter 19&20*  Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 19&20* Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
 *MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18  Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 9  Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*  Chapter 7  "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 8  Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 8 Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

852
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

608
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

533
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

429
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

313
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest