Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 15* Na 17 Mr's Martin aliniambia I know how you feel sweetheart sorry๐Ÿฅน๐Ÿซ‚โค๏ธakaendelea kunihug na kunifuta machozi..

19th Sep, 2025 Views 38



Muda huo Hemed alikuwa ameinamisha kichwa chake chini kaziba uso wake kwa mikono yake๐Ÿฅน๐Ÿฅนwala sikujua kama analia mpaka pale baba yake alipomuinua juu na kuanza kumfariji kiumee..

Inamaana hukua unajua historia ya mchumba wako?... baba alimhoji Hemed akamwambia sikuwa najua baba๐Ÿฅน๐Ÿฅนnilishawahi kumhoji mara mbili kuhusu wazazi aliishia kulia tu bila kuniambia chochote..

Sikuona kama kuna umuhimu wa kuendelea kumuuliza kuhusu kitu kinachomuumiza๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Hemed alifuta machozi kisha akaondoka pale mzee alimfuata wakaniacha mimi na mama...

Mr's Martin aliniambia maisha aliyopitia mama yako nami nimeyapitia sweetheart ngoja nikuelezee kidogo..

Wakati nipo chuoni nilibeba mimba ya Mr Martin na wakati huo mimi nilikuwa mwislam na mwenzangu ni msabato..

Nilirudi kujifungulia nyumbani wazazi wakakataa mtoto asipewe jina la kikristo wala hawakutaka Mr Martin kukanyaga nyumbani kwetu..

Mwanangu ambaye ni Hemed alipewa hilo jina la kiislam na wazazi wangu... kwa vile mimi nilishazama kwenye penzi na Mr Martin nilikuwa najiiba naenda kumuona nampelekea na mtoto wake anamuona..

Nilikuwa nafanya hivo kila muda mwisho nilichoka mapenzi ya siri nikaamua kubakia hukohuko nyumbani kwa Mr Martin..

Nilibadili na dini kabisa ili tuweze kufunga ndoa... wazazi na ndugu zangu walinitenga๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’” sikujali maana mimi naamini Mungu ni mmoja tunayemwabudu kitakachompeleka mtu mbinguni ni matendo na siyo dini...

Usihuzunike kuhusu mamako kutengwa na ndugu wala usijisikie vibaya wewe na mdogo wako kutengwa na ndugu wa mamako...

Yupo mmoja ambaye yeye hawezi kuwatenga kamwe naye ni Mungu....Mungu hajawatenga na hawezi kuwatenga ndo maana mpaka leo hii mko haiโค๏ธ

Maneno ya mama mkwe yalinipa faraja sanaโค๏ธโค๏ธ nilijiona kama mtu niliyezaliwa upyaโค๏ธโค๏ธnilimshukuru mama kwa kunijenga upya kisaikolojia akaniambia karibu anytime ukinihitaji kwa ushauri I'm here for you...basi bwana kikao kiliishia hivo kule upande wa pili baba alikuwa anampa Hemed madini namimi huku mama alikuwa ananijenga๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Baada ya kumaliza yote tulikutana Sitting room kuna movie fulani hivi ya kifamilia tukaangalia jina limenitoka kidogo..

Sikuwa na majonzi tena at least nilianza kujihisi kama binadamu wa kawaida๐Ÿฅน๐Ÿฅน zamani nilikuaga najiona kama mtu mwenye mikosi mitupu๐Ÿฅน

Nilikuwa najiona kama mtu niliyetengwa na Dunia nzima๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅนhata wanaume nilikuwa nawakataaga๐Ÿ’”๐Ÿ’”Namshukuru Mungu aloniletea Hemed kwenye maisha yangu๐Ÿ™๐Ÿ™

Baada ya movie kilichofuatia ni kwenda kupumzika๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐ŸฅฐHemed alinishika mkono akaniambia twenzetu tukapumzike๐Ÿ˜ฏ๐Ÿ˜ฏ

Wapi๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณukapumzike na nani๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„akasema na wewe๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ nyooo mi silali na wewe๐Ÿฅบ akasema kwa nini???

Naogopa๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ unaogopa nini??? Nikamwambia naogopa kukuona ukiwa uchi๐Ÿ™„๐Ÿ™„ basi sitovua nguo๐Ÿ˜๐Ÿ˜ bado naogopa๐Ÿ™„ akauliza nini kingine?..

Nikamwambia naogopa kulala pamoja na wewe๐Ÿ˜ฐ sitokufanya kitu babe trust me๐Ÿ’‹โค๏ธ hahahaa hutonifanyaaa naijua hiyooo....

maongezi hayo yalikuwa ya chini sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmuda huo Hemed alikuwa amenishikilia mkono tunaenda zetu kulala..

Alikuwa ananitania tu wala hatukulala pamoja๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜‚ ye alilala chumbani kwake mi nikalala chumbani kwa mdogo wake wa kike missa..

Tulilala huo usiku Hemed akawa ananitumia msg za kunifariji dah๐Ÿ˜ฐโค๏ธโค๏ธ kama ni mwanaume kweli Mungu kanipatia๐Ÿฅน๐Ÿ™

Imagine tulikuwa vyumba tofauti lakini ile kubembeleza alikuwa ananibembeleza kwenye msg mpaka nilipata usingiziโค๏ธโค๏ธ..

Siku iliyofuata niliamka mapema nikaenda kusaidia usafi nionekane mkamwana mwenye adabu hahahaaaa..

Tuliosha vyombo mimi na missa then dada wa kazi akadeki mom alikuwa jikoni anaandaa kifungua kinywa..

Hemed alikuwa nje anafyeka na kufagia then baba yeye alikuwa anaosha magari yake nje๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ..

Itaendeleaaaaaaa

JANA TULILUKA KIPANDE CHA KUMI NA TANO
HIHYO LEO TUNAWEKA KIPANDE CHA KUMI NA TANO NA KUMI NA SABA 15,17

SEHEMU YA 17*

Mimi mwenzenu nilikaza kama ni maisha magumu nimeyazoea tangu nilipoondokewa na wazazi wangu๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ

Kama Hemed ni wangu basi atarudi tu mikononi mwangu kama siyo wa kwangu basi ataendelea kuninyamazia vivo hivo..

Sikumwambia yeyote kinachoendelea ilibakia siri yangu moyoni...niliumia na niliteseka sana kihisia lakini nilivumilia..

Nilikuwa nishazoea kuamshwa na ile sauti nzito na makiss kwenye simu nilikuwa nishazoea kubembelezwa kudekezwa..

Nilikuwa nishazoea kupelekwa kila sehemu na gari nanunuliwa kile kitu ninachopenda natritiwa kama malkia alf et leo hii vitu vyote hivo vimekata ghafla..lazima uumwe๐Ÿ˜
Na kwa jinsi nilivokuwa mjinga baada tu ya kunogewa na pesa za Hemed niliacha kazi ya mgahawani๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ baada ya kunyamaziwa ndo nikaanza kuhaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ™„..

Nirudi mgawahani nikaendelee kupika na kuungua mikono yangu??? Nirudi kufubazwa na moshi jikoni???. Hapana siwezi kurudi nilikotoka๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Niliona aibu kurudia ile kazi ya mgahawani nikaomba kazi kwenye hotel moja hivi hapa jijini Dsm๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜žnishazoea raha sirudi tena jikoni nitafubaa kama zamani๐Ÿ™๐Ÿ™..

Kwanza sitakiwi kurudi kule alikonikuta Hemed ataona kama bila yeye siwezi kitu๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’natakiwa nifanye kazi itakayomuumiza na kumtia wivu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜...

Bora nifanye kazi ya hotel hapa nitakuwa napendeza muda wote na nitaomba wanipe shift za usiku ili niendelee kwenda chuoni mchana๐Ÿค—๐Ÿค—...

niliandika barua ya maombi ya kazi nikapeleka katika hiyo hotel ni hotel kubwa sana hapa jijini Dsm๐Ÿ˜very expensive ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ..

Baada ya kutuma barua nilisubilia kuitwa kwenye interview ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐzilipita kama siku tatu hivi nikapokea simu kutoka kwa maneger wa ile hotel

Niliombwa kufika kwenye interview siku hiyo hiyo saa kumi jioni.. nilifanya hivo nilijiandaa nikavaa smart then nikaelekea kwenye interview..

Namshukuru Mungu kazi nilipata na kwa vile niliomba kupangwa usiku pekee niliambiwa sintokuwa na mapumziko yani siku zote saba za week nitakuwa naingia kazini..

Muda ni kuanzia saa moja jioni mpaka saa saba usiku.. oh asanteee Mungu nilimshukuru sana Mungu..

Mshahara siyo mkuubwa but ulinifaa๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐmaneger aliniweka reception hahahaaa akaniambia kisura changu na kishepu ni special kwa ajili ya kuwavutia wageni wanaoingia hotelin hapo..

Sikuwa na kipingamizi nilipewa one week ya kujiandaa ikiwemo kushona sare na kuweka mambo yangu tyr๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜..

Week iliyofuata nilianza kazi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜niliingia pale kazini nimependeza hatari๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—siku ya kwanza tu nimeanza kazi nikapendwa na likaka limoja hivi..

Huyo kaka ndo alikuwa ameingia ni mgeni siyo mtanzania๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nilimpokea nikaenda kumuonesha chumba chake siku hiyo hiyo akaniomba namba hahahaa

Kusema kweli nilikuwa kwenye ile hali ya kuteseka na mapenzi kiasi kwamba ilifikia hatua nikasema nikipata mkaka mwingine wa juu zaidi ya Hemed namchukua ili nimuumize Hemed maana anajiona sana cake๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

Nilikuwa nateseka sana navopiga simu mpaka mara 20 hapokei natuma msg kuanzia asubuhi mpaka usiku hazijibiwi inauma hiyo..

Ili nisiendelee kuteseka nimpe mtu mwingine nafasi alizibe lile pengo la Hemed๐Ÿคจ๐Ÿคจ

Nilimpa yule mkaka namba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnayeye akanipa ya kwake aliniambia anaitwa Romy nami nikamwambia naitwa Bella๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜..

Hatukuweza kuongea sana maana ilikuwa muda wa kazi๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ nilimwambia tutaongea zaidi nikitoka kazini akasema sawa..

kabla sijaondoka Romy aliniomba nimuwekee oda ya chakula fulani then akaomba chakula kikiwa tayari tule wote hahahaaa nyieee๐Ÿ˜ƒ

Nilienda jikoni kwa chef๐Ÿ‘จโ€๐Ÿณ nikamuwekea Romy oda ya chakula alichoniambia yeye muda huo alikuwa room kwake anakoga..

Baada ya muda Romy alishuka chini reception akaomba kinywaji fulani vile vikali๐Ÿ˜๐Ÿ˜nikaenda kumchukulia..

Alikaa tu pembeni pale mapokezi akaanza kunywa..chakula kilipoiva akaomba tuletewe pale nile nayee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜na vile ashaanza kulewa wacha nisifiwe hahahaa alinisifia mpaka kero๐Ÿ˜ƒ

Tumemaliza kula nikapewa pesa nikalipie Bill nyieee siyo pesa za kitanzani ni dollar๐Ÿ’ต nimelipa nimemaliza nikamletea chenji akaniambia keep change ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Chenji nayoambiwa ni keep inalingana na mshahara ninaolipwa pale hotelin halloooh๐Ÿ™๐Ÿ™Œ

Itaendeleaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 15* Na 17 Mr's Martin aliniambia I know how you feel sweetheart sorry๐Ÿฅน๐Ÿซ‚โค๏ธakaendelea kunihug na kunifuta machozi..  >>> https://gonga94.com/semajambo/mrembo-yatima-na-kijana-tajiri-sehemu-ya-15-na-17-mrs-martin-aliniambia-i-know-how-you-feel-sweethea

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest