Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
05 Oct 2025
193 views
VYOTE NDANI GONGA94
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 33*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya kumaliza kupiga picha nilirudi kwenye sit yangu nikamkuta Romy naye yuko pale kaishatoka kuogelea...
Aliniomba kama sitojali nimuite huyo dada tulokuwa tunapiga naye picha aje atuphotoe mimi na Romy picha ya pamoja..
Nilimwambia sawa...wakati huo yule dada alikuwa ameshatoka pale tulipokuwa anaelekea upande wa pili kule walikokuwa wanapamba..
Basi ilibidi nimfuate huko huko wakati huo ni saa 12 na madakika nilisogea mpaka pale watu walikuwa wameshajaa jaa pale..
Nilisogea upande aliokuwepo yule Dada wakati nataka kumwelezea shida yangu nikashangaa kwenye lile eneo inakuja gari ya Hemed😳😳
Gari ilisimama kwa mbali kidogo lakini naijua vizuri ni ya Hemed ile😳😳nilisimama kuangalia kwa umakini kweli nikamuona Hemed anashuka kwenye gari..
Akazunguka upande wa pili akafungua mlango akamshika mkono mwanadada mmoja hivi aliyekuwemo kwenye gari akashuka wakaanza kutembea kuja pale event..
Watu walipowaona walielekeza macho yao yote kwao😳😳😳yule mwanadada alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni alafu Hemed ndo akawa anamuongoza njia..
Walikuja mpaka pale kwenye event watu wakaanza kuwashangilia🥹🥹nilitamani kuondoka lakini nilishindwa💔💔
Miguu iliishiwa nguvu nilibaki nimeganda pale kama kisiki🥹🥹 baada ya Hemed na mwenzie kuwasili pale..
Hemed alimfungua yule mdada kitambaa alafu taa zikawashwa sehemu ile..
Baada ya taa kuwashwa maandishi makubwa yaliyokuwa mbele kwenye bango kubwa yakaanza kusomeka kama ifuatavyo..
"Alaina will you marry me??"
Who is Alaina??? Nilijihoji huku machozi yakiwa yameanza kunitoka machoni🥹🥹🥹...
Wakati nawaza Alaina ni nani??? Nilisikia yes yes yes 🥹🥹 I'm ready...
Ohoo kumbe Alaina ni yule mdada aliyekuja na Hemed😭😭 baada ya yule dada kusema yes...
Hemed alishuka chini taratibu akapiga goti🥹🥹 mkononi alikuwa na kibox chekundu alikifungua akachomoa Pete nyieeee💔💔💔...
Baada ya Hemed kuishika ile Pete mkononi aliinua kichwa chake juu akamtizama Alaina aliyekuwa amechanganyikiwa kwa furaha🥹🥹
Alimuuliza Alaina will you marry me🥹🥹 Alaina alinyoosha kidole kisha akamwambia yes Babe I'm ready to marry you...
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mrembo-yatima-na-kijana-tajiri-sehemu-ya
BINTI MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 38* Kuna muuza magari mmoja hivi ni maarufu sana Dar..nilichukua namba yake Instagram tukamcheki..
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 35* Nilivua nguo zangu zote nikabakia uchi kama nilivozaliwa🥹🥹🥹sijawahi kukaa uchi mbele ya mwanaume yeyote yule Romy ndo mwanaume wa kwanza
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 15
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 15* Na 17 Mr's Martin aliniambia I know how you feel sweetheart sorry🥹🫂❤️akaendelea kunihug na kunifuta machozi..
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 39* Dubai tulifikia katika hotel ya Grand Hyatt🤗🤗kama huijiu hii Hotel jaribu kugugo my friend ni very expensive hotel😴😴
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 24* Nilipokea ile simu mwilini mzima unatetemeka😴😴 nilimwakia mama akaitikia vizuri
MREMBO YATIMA. NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 40* Nilirudi Tanzania nikiwa na huzuni nyingi lakini ndo hivo maisha lazima yaendeleee 😒😒😒...
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 23* That day niliplan ninywe pombe kidogo cha kushangaza kila nikinywa nikimaliza naongeza nilifanya hivo mpaka nikajikuta nimelewa siwezi hata kuona mbele..
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 01
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 02*
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 20* Meneja aliomba nirudi tumalizane ndo niondoke☺️☺️ye ana kichumba chake kule hotelini kumbe ndo unyama anaufanyaga huko chumbani😞😞
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 25* Nilichukua tax nikamwambia anipeleke nyumbani sikutaka kwenda kwa Hemed kabla ya kufika
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 08,09,10
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 12
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 19* Romy aliniambia kwa siku atakuwa ananilipa dollar miatatu
MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 32* Nilimsikiliza Romy maneno yake badae nikamwambia lakini haujawahi kunitongoza kumbuka nilikwambia ile post ya siku ile haikumaanisha kitu chochote🥺🥺
Mrembo yatima na kijana tajiri SEHEMU YA 22* Sasa umalaya wangu ni upi jamani yeye si ndo kaanza mbona mimi sijamtukana😂😂😂
Maoni