Nilimuomba Hemed anipe muda nimfahamu yeye ni mwanaume wa aina gani na nikishamfahamu nitampa majibu sahihi..
Alikubali lakini akaniomba nisirudie tena kutoka usiku kama nilivofanya jana.. hahahaa anaamini kweli nilitoka lakini wala tulimdanganya tu..
Hemed aliniambia nikiwa na shida yoyote nimwambie yeye atanisaidia.. nilimwambia sawa asanteee..
Kama mnavoyajua mambo ya kutongozana huwa siyo ya haraka haraka🤣🤣🤣mchana ulitukuta pale pale kwenye ile hotel nzuri Hemed aliweka oda tuandaliwe lunch🥰
Tuliandaliwa lunch fulani hivi very demure 😋🍷tulikula mimi na Hemed hahahaa nilikuwa namuonea aibu sijui kwanini🙈🙈
Tulipomaliza kula Hemed alinirudisha nyumbani nilimbebea mdogo wangu chakula chake ili akitoka shule ale..
Baada ya kufika nyumbani Hemed alinipa pesa akaniambia hiyo utatumia kwenye mahitaji yako dah🥹🥹nilishindwa kuzuia machozi😰😰
Nilimwambia asante sana Hemed asanteee😭😭😭 ye mwenyewe alishangaa alinikumbatia akanifuta machozi akaniambia I am here for you kama kuna kitu chochote usinifiche niambiee..
Nilimwambia sawa nitafanya hivo... tuliagana mi nikaingia ndani nilipohesabu ile pesa ilikuwa laki tano nilimshukuru sana mwenyezi Mungu..
Baada ya kupata pesa niliona bora nikamalizie ada ya poppy maana nikikaa na ile pesa naeza nikaitumia kwa mambo mengine..
Nilichukua boda muda huohuo nikarudi shuleni kwao poppy nilifika nikakuta wanafunzi ndo wamemaliza kutawanyika hata poppy sikumuona
huenda tulipisha huko njiani niliingia ofisini kwa mkuu wa shule nikamwambia nimekuja kumalizia madeni ya poppy.
Mkuu wa shule alishangaa akaniambia poppy hadaiwi... nikamuuliza how??..
Kwani umenisahau nimetoka hapa asubuhi na nilibakiza madeni nikakwambia nitarudi kuyalipa??
Mkuu wa shule aliniambia ndiyo nakukumbuka baada ya wewe kutoka kuna mwanaume alikuja akamalizia kulipa kila kitu cha poppy kwa sasa hadaiwi chochote mpaka anamaliza form four😳
Mwanaume gani??? Mkuu akaniambia hakujitambulisha kwa jina....
Mmhhh nilijaribu kuumiza akili au ni yule jamaa alonibeba kwenye v8??? Lakini kama ni yule mimi mbona simjui😳😳..
Ilibidi nirudi zangu nyumbani nikamkuta mdogo wangu ameshafika yupo anakula...
Poppy aliponiona aliniuliza Dada vipi mbona unaonekana kuchanganyikiwa??...
Nilimwelezea kilichotokea poppy akaniambia huyo lazima ni Hemed tu...
We umejuaje??? Akasema mi nahisi tu na ninahisi hata huyo mtu alokuja kukupa tissue ye ndo amemtuma🤗🤗..
Mbona kama kweli vile🤔🤔 sijui nimuulize Hemed🙁🙁 poppy akasema ndiyo muulize dada..
Ilibidi nimpigie Hemed nikamwambia samahani kuna kitu nataka kukuuliza..
Akaniambia it's okay Bella talk to me?? Kuna kitu chochote umefanya kwa ajili yangu leo???
Hemed akakaa kimya kidogo then akaniuliza kitu gani Bella??
Ni wewe ndo umelipa madeni ya poppy shuleni???
Hemed alikubali akaniambia yes ni mimi samahani kwa kuwa nilifanya bila ruksa yako.
Kwa hiyo hata yule Mr Martin wewe ndo umemtuma anibebe kwenye gari???
Akasema ndiyo Bella ni mimi😔😔...kwanini unafanya hivo Hemed??.
Kwa sababu nakupenda sana Bella🥹🥹 I love you....
Lol ilibidi nikate simu maana poppy anasikiliza Hemed anavonililia kwenye simu😔😔..
Baada ya kukata simu sauti ya Hemed ilibaki inajirudia rudia kichwani kwangu😰 poppy naye akaniuliza unampenda eeh?.
Ops😔😴 hata sijielewi nilielekea chumbani kwangu nikajilaza kitandani nikawa nawaza tu kuhusu Hemed mbona kama vile nimeanza kumpenda🥺
Itaendeleaaaaaaa
*SEHEMU YA 09*
Kila mwanamke ndoto yake ni kupata mwanaume kamili mwenye kujali na kusapoti🥹🥹
Nafikili mimi Hemed ndo wa kwangu❤️❤️kama ameweza kunifanyia hivo bila kumuomba basi bila shaka huyu ni mwanaume sahihi atakae nufaa❤️
Lakini nop wait🤔🤔kwa hiyo inamaana ndo nimeamua hivo kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano,??.
Nafsi zilianza kubishana ingine inasema no utaumiaa ingine inasema ndiyo mkubalieeee..
Kipi nifanye sasa??? Na moyo ndo kama hivo muda wote unamfikilia tu Hemed..
Nilikaa huko chumbani nawaza mpaka usiku ukaanza kuingia🤗🤗niliamka niende kuandaa chakula cha usiku mara simu ikawa inaita..
Alinipigia Hemed akaniambia leo usipike chakula nitakuja kuwachukua tukale Dinner... what???🙈 mshikaji alizidi kunivutia
he's the kind of man I want 🤗❤️ nilimwambia sawa nimekuelewaaa🥰🥰ule ugumu wa kumuongelesha kibabe haukuwepo tena🙈
Mida ya saa mbili usiku Hemed alitufuata😴😴akatuchukua mimi na poppy mpaka kwenye hotel moja hivi ya hapa Dsm
Tulieka oda kila mtu anachojisikia kula wakati chakula kinaandali tukaletewa cocktail🍸 za kutuburudisha🤗🥰❤️ it was a nice day ❤️❤️..
Tulikunywa cocktail 🍸😋 haikupita muda tukaletewa chakula🤗🤗kila mmoja kama alivoagiza🥰
Tulikula pale tukamaliza Hemed akatuambia tuongeze vinywaji lol tungepasuka😂🙌tulimwambia sie tushatosheka..
Muda ulikuwa ushaenda ilibidi turudi nyumbani..
Hemed alitupeleka mpaka nyumbani 😴😴majirani sijui wanaongea nini kutuhusu maana mmmh si kawaida😂🙈
Poppy alishuka kwenye gari wa kwanza mie wakati nashuka Hemed akaniambia Bella wait a minute 🙈🙈
Mmhh nilimkonyeza Poppy asiende mbali nisijebakwa kule ndani ya gari hahaha😂 mdogo wangu alisimama kuningoja..
Hemed aliniomba nimpe ratiba yangu ya chuo ili awe anakuja kunipeleka alidai pia siku ambazo atakuwa tait atakuwa anamtuma dereva wake aje kunichukua..
Nyieeeee🥰🥰🥰hizi raha hata sikuzitarajia mjue😴🤗 mbona kama naangalia movie vile hahahaaa🙈huku ndo kuokota Dodo kwenye mnazi😂
Nilimuitikia nikamwambia thanks nitafanya hivoo🙈 akati nataka kushuka akanishika tena mkono akaona mdogo wangu anachungulia😂😂
Akamwambia poppy nenda ndani shem Dada simfanyi kitu atakuja😁😁..
Poppy alienda ndani nikabakia pale na Hemed... aliniuliza lini utanipa ratiba nikamwambia nitakutumia msg coz kesho nataka nianze kwenda chuoni..
Nilikuwa naonge huku naogopa unajua eeh😂🥲 basi Hemed aliniambia ni sawa kesho unaend muda gani?? Nikamwambia saa 4 asubhi..
Nitakuja kukuchukua mwenyewe... nikasema thank youu🙈🙈..
Nakupendaaaa💋💋aliongea kwa sauti fulani hivi dah💋💋🙈nilijisikia tofauti ukizingatia alivokuwa amenishika mkono wangu mmh🙈
Itaendeleaaa
10
Nilipata shida kupumuaa🙈 Hemed alirudia tena kuniambia nakupenda Bella akawa ananipapasa ule mkono uuww nikawa nasikia hali siielewi..
Nilivuta mkono wangu aniachie hataki ananiangalia tu anatamani hata aninyonye vilips vyangu vya pink vizuri kweli..
Nilikuwa nikimwangalia machoni anataka hadi kulia .. aliniomba nimwambie chochote tu kutoka moyoni kama nampenda au laah chochote tu..
Tatizo ukimkubali mtu haraka napo anaanza kujiona sukari🤔🤔bora niendelee kumkazia akipata shida kunipata atajifunza namna ya kuniheshimu..
Nilimwambia vile vile nilivyomwambia mchana we need time to know each other😔😔 alinielewa maskini akaniambia can I kiss you😟😟..
Nikamwambia siyo sasa we need time hahahaa nyiee akinipa pesa simwambii we need time ila yeye kila anachoniambia namwambia we need more time.😂
Hata hivo mtoto wa kike lazima uusimamie mwili wako siyo unatumika tu kama choo😂😂
Usiku huo tuliagana hivo kibishi bishi 🙈🙈nikaingia ndani Hemed naye akaondoka zake..
Siyo kama simpendi nahisi kabisa nampenda lakini sihitaji kujirahisi kisa msaada anaonipa😴😴
Usiku huo baada ya kuingia ndani nilikuwa na furaha sana mpaka poppy akasema eeh Mungu wangu mlindie dada yangu mchumba wake wenye tamaa wasimchukue😂
We dogo uachage wenge😂😂 wenge gani dada sema tu hujioni ulivobadilika..
Yani tangu Hemed aje kwenye maisha yako siku hizi hulii lii kama zamani😔😔naomba umkubalie tu usimtese🥺🥺
Yani poppy anataka kunipangia mimi cha kufanya😂😂😂mxieeewww peleka komwe huko ukajisomee🙄
Hahahaa nampenda sana mdogo wangu❤️❤️❤️ alienda zake kujisomea mie nikaingia jikoni kukanda unga ili kesho kabla sijaenda chuoni niwapikie mafundi chai na mandazi..
Usiku wakati nakanda unga Hemed alipiga mi nikashindwa kupokea maana mikono yote inatumika jamaa alipiga simu huyoo...
Nikajisemea tu nimalize kwanza kukanda unga ndo nimpigie 😁😁..
Wakati nataka kumpigia nikakuta ametuma msg it's okay huenda mimi siyo type yako endelea na hao unaowapenda...kha🙄🙄
Mbona wivu jamani angejua mwenzie hata sijawahi hivo vitu😂😂😂basi nilivosoma ile msg nikasema acha nimpigie asilale na mihasira..
Nimepiga simu kazima mmhhh jamani karoho kaliniumaa🙈🙈 nililalaa zangu kesho yake asubuhi nikamtumia msg Good morning akanijibu ndo umetoka kwa hao..
Khaaa🙄🙄🙄wakina nani??? Akanijibu unaowapenda🥹🥹nikaguna mmhhh akajibu ni sawa tu Bella ila tambua unachonifanyia siyo sawa..
Hahahaa sometimes kuonewa wivu raha😂😂 tena raha inazidi pale unapolalamikiwa kwa kitu hujakifanya😂
Basi muda huo mi nilikuwa nakaanga mandazi nilivoona hatuelewani nikaweka simu kando nikaendelea kupika..
Nilipomaliza nikaishika simu nikakuta ina missed call tatu kutoka kwa Hemed🫣🫣mbona sikusikia wakati inaitaa😯
Shetani mbona yuko serious kiasi hiko chaka hata sijalilalia ye anataka kulifyeka😂😂😂
Basi my wenu nikajisemea nipige simu nijitetee jamaa hakupokea🥺🥺🥺nikatuma msg
Sorry nilikuwa jikoni napika mandazi ya mafundi kimyaaaa sikujibiwa🫣🫣nilichanganyikiwa 😂😂
Jamani nisamehe sitorudiaaaaa😭😭😭 nilimtumia tena hiyo hahahaaa akaniambia jiandae muda wa chuo unakaribia..
Hahahaaa at least anajali💃🏼💃🏼 basi nilimalizia kuchuja chai kwenye chupa nikaweka mandazi kwenye deli then nikawakimbizia mafundi haraka..
Kufika pale mafundi wananiita maza house🙄nani amewaambia nao hawa umbea tu😝😝
Niliondoka zangu nikaja kujiandaa nilichagua kinguo kitamu sana nikakivaaa😋😋
kichwani nilivaa wig fulani hivi amazing chini viatu virefu na kimkoba changu cha elf 15 ila ukikiona kama cha elf 50
hahahaa maskini tunajua kuchagua vitu vya bei chee ila vimeenda shule😂😂
Baada ya kumaliza kujiandaa nilitoka🙈🙈 Hemed alikuwa nje kwenye gari ananisubili..
Itaendeleaaaaaaaaa
Full yote 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments