MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 19* Romy aliniambia kwa siku atakuwa ananilipa dollar miatatu
Si bora kurisk kazi kuliko kuiacha hii safari😝😝😝kama kwa siku nitakuwa naingiziwa laki nane Bank then what kwanini nikatae??
Nilikubali bwana😃😃nilikwenda kwa meneja nikamwelezea hali halisi sikumficha😝😝😝meneja akaniambia kama naitaka kazi lazima niangalia cha kumpa ili aendelee kunihesabu kama mtumishi..
Alidai hakuna likizo kwa mfanyakazi mpya na isitoshe mimi ndo nilikuwa nimeajiriwa pale so aliniambia kama nataka ruhusa nimpe tamu🙄
Yani nikalale naye hahahaaa na mjue kipindi hiko bado nilikuwa sijatolewa hata hiyo bikra😃 yani usichana wangu nimenyima Hemed aje aule meneja wa hotel huo ujinga siufanyi😂😂😂..
Meneja ananisaidia nini???? Kwanza ni mme wa mtu ana familia yake...pili hanilipi kitu yani ni ananilala ili anipe likizo ya hiyo week moja nitakayokuwa na Romy..
Nitolewe bikra kisa mshahara wa laki mbili na nusu kwa mwezi?..
Si bora nikatolewe na huyo anayenilipa dollar miatatu kwa siku😃😃😃hahahaa nilimwambia meneja sawa ngoja nifikilie nitakupa majibu..
Ukitaka kumshinda mjinga we mpe matumaini tu😝😝 niliona nikimkatalia meneja hazarani anaweza kuniharibia cv kwa Romy nikajikuta napoteza kazi napoteza na hiyo dollar miatatu...
Nilichofanya ni kumpa matumaini Romy nilimwambia nitampa majibu baada ya muda kama nitalala naye au laah... lilichekelea likaniambia we nipe mzigo huo kabla mzungu hajaenda kuukojolea😋..
Nyooo ms😄nge nini... hawa watu wa vitengo fulani wanajikutaga nani sijui yani kazi yao ni kuwala tu watoto wa watu mimi siliwi kizembe hivo😄
Baada ya kuongea na meneja nikamsikiliza upuuzi wake nilirudi kwa Romy akaniambia nijiandae safari ni kesho tunaondoka na ndege ya saa 4 kuelekea Arusha...
Mmhhh lakini mi sina passport ya kusafiria kwa ndege et🥹🥹🥹Romy aliniuliza why kwanini hauna passport inamaana hujawahi kusafiri kwenye ndege???
Nikamwambia hapana sijawahi🥹🥹🥹basi usilie nitacancel safari yangu ya ndege nitaomba nisafirishwe kwa gari okay mama nikafurahi nikamwambia thanks🥰
Aliomba nitafute passport niwe nayo nikamwambia sawa nitafanya hivo🥰🥰 siku hiyo pia Romy aliomba nimtembeze sehemu nzuri nzuri huku jijini Dar🥰🥰
Alinilipa Dollar mia then usafiri na chakula ni juu yake🤗🤗nilitamani niachane na ile course nayoisomea nikasomee tour guide😊
Kumbe hawa wazungu kuwatembeza ndo wanakulipa pesa nzuri ivooo😋😋🤣
Basi bwana pale hotel walimtafutia Romy tour guide wa kujitegemea ndo akaenda kututembeza..
Kutokana na mazingira Romy aliyotaka kutembea yule tour guide alituambia hayo mazingira yapo morogoro maeneo ya misitu maporomoko mavitu kibao wazungu wanaenda kutembea sehemu tunazozizarau😂😂
Tulipelekwa moro tulizurura siku nzima mpaka usiku saa tatu tukarudi Dsm kujiandaa na safari ya kesho🥰🥰🥰..
Hiyo saa tatu tulienda na Romy mpaka pale kazini kwangu kwa ajili ya kula dinner then baada ya hapo ndo nirudi home..
Tulikula tukamaliza tukaagana Romy akaenda kupumzika namimi nikawa natoka kurudi nyumbani...
Wakati naondoka meneja alinifuata akaniambia mbona sa unaondoka au umesahau mipango yetu??.
Bella kesho ndo safari inatakiwa unipe sasa hivi tumalizane☺️☺️...
Itaendeleaaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi





Maoni