Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 10  "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay
Gonga94 Β· Stories

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 10 "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alisemaa huku akimuagaa Jordan. Safari ya Jay ilianzaa baadaa ya masaa

machache

Asubuhi Nyingine Kupambazukaaa Jordan akiwa ofisinee anapoingiaa mtandaonli anakutana na habari ambayo kwake haikuwaa

ngeni

JESHI LA POLISI LINATANGAZA VITA KALI JUU YA WAAUZA MADAWA WA KULEVYA NA VIKUNDI MBALI MBALI VYA UVUNJAJI

SHERIA. Habari yasemaa ivyo

"Narshaa hataki kbsaa kuachnaa na hayaa mambo na sijui ni kwann ilaa kilaa mtu akipandacho ukipataa Jordan Alisemaa kwa

nguvu

Lkn ghaflaa alisikiaa mtu akipigaa makofii huku akiingiaa ofisini kwake hakuwaa mwingnee alikuwaani The Queen Narshaa.

"Woow your most welcome" Jordan Alisemaa.

huku akitoa tabasamu lakee la kejeli. "Nice Thanks Too My Handsome Alijibuu Narsha huku akitabasamu sanaa.

"Nipo hapa kibiashara "Narshaa Alisemaaa huku akimwangaliaa Jordan, "Nakusikilizaa Madam Jordam Alijibu huku

akitikisaa kichwa

"Nahitaji tushirikiane katikaa uuuzaji madawa ya kulevyaΓ€ maan madam Lindaa ni

mmoja wetu pia kwahiy karb sana tupigee pesaa Narshaa Alisemaa huku akiwaa anasubiria majibu kutokaa kwaa Jordan. Jordan anaonekana kushtuka kiasi baadaa ya kusikia madan Lindaa Yaan Mamaake Mlezi

Anashirikiana nao pia. "Madam Lindaa ameingiaa humu kwasababu ya

ushauril wakoo lkn mm sitaingiaa kwasababu ya

ushaun wa mtu yyot sipo tayar kufanyaa biasharaa za ajabu kiasi hichoo Jordan Alisemaa kwa ukalii sanaa na akiwaa anasisitizaa na kumaanishaa piaa "Hahahahh sawaa hulazimishwii Jordan

"Narshaa Alijibuu huku akisimama na kugeukaa

laondoke

"Farnyaa yote kumbukaa tu maishaa yako yapo hatarini maana polise wanakutafutaa na kukuandamaaa Madam. The Killer Jordan Alisemaaa huku akimuoneshaa njaa Narshaa kwa isharaa ya mikono akimtakaa aondokee

zake. Narshaa hapo ndipo aliposhstukaas maaana hakuonaa ilee taarifaaa Ikn anaonekanaa

akijipaa moyoo wa kutokuogopaa maana anadhaminiwa na watu wa kubwaa kutokaa nje na ndanii ya nchi, Narsha Aliishiaa nakwendaa

zakee na Gari lake uko njee.

Jordan piaa anarudii kukaa kwenye kitii baada ya kuhakikishaa Narshaa anaondokaaaa

Mdaaa haukupitaa mwing hataaa Jordan Analetewaa baruaa na mfanyakazi wakee wa karibu wa kiume. Mr Poul iyo baruaa inahusu nn?" Jordan

Aliulizaa "Usijali Boss Jordan hiyoo ni baruaa inayohusuu kazi baada ya wiki mbili kutakuwaa na wageni

wakubwaa kutokaa nchi mbali mbali watakao

kujaa kutalii nchini mwetu Ikn wataapokelewaa kwanza hapaa then wataendelea na safarn zad Mr Poul Alisema.

Jordan Alifurahi sanaa maana campany yao Inapataa wageni ndani ya miezi mitano ya kwanzaa "Basi sawaa maandalizi yote naombaa

yafanyikee kama kunachangamoto tapatikana

basi niambie sawaa Alisema Jordan, "Sawaa boss mm piaa nmefurahi sanaa lkn kuna.

kitu ambacho Director Lindaa inaonekanaa kukifichaa sanaa je na ww unakifahamu Mr

Poul Alisemaa. Jordan Alishtukaaa na akasemaa kwa uharakaa "Hapanaa ilaa kamaa unafahamu kitu naombaa

uniambiee

"Usijali ntakwambiaa ilaa ni mpaka ntakapo kuwaa na uhakikaa nacho lakini kuna mambo tu Lindaa hayafanyi Vizuri kabsaa. "Mr Poul Alisema

Mr Poul Alitokaa Ofisin na kwendaa zakee Dakikaa hazikuendaa sanaa Jordan Alipokea

simu kutokaa kwa Jay

"Hey Jordan kazi yangu inaanzaa mdaa sio

mrefu ww plaaa kuwa mwangalifu maana maadui macho yao yapo kwako "Jay Alisemaa Jordan Alimjibu kwa kumhakikishiaa kwambaa

yeye atapamina na kujilinda pia waliongeaa. machachee na simu ilikatwaaa

Saraaah anaonekanaa kuingiaa Ofisini akiwaa amepigaaa pambaa zakee kalii plus uzurli wakee

na tabiaa yake njemaa watu wengi walimpenda. buree

Anapofikaa ofisini anakutanaa na Jordan Ikn

Jordan anaishiaa kumsalimiaa tu bila kuumuulizaa chcht jambo hilo linamshangaza tenaa Saraah lakn anapotezeas plaah.

Mdaa unaendaa Saraah akiwa ofisini na Jordan

anapokeaaa simu ambayo inanambaa ngenil bilan kujalii anawekaa loud speaker maana

alikuwa na kazi anafanyaaa "Hellow, Karibu Naongeaa na Nan "Saraah

Alisemas "Hellow Too My Love Doctor Abdulh Apaa Za Kwako Mammy "De Abdulh

Saraa baada kusikiaa vilee alikataa simu kwa uharakaa sanaa maan alikuwaa na Jordan Jordan alimkataa jicho moja yaaan Answer Eye

huku akitabasamu kwa dharau

Mbo umekataa simu au unaniogopaa ayaa mm na tokaa njee ongeaa na simu yako Jordan Alisema huku Akitokaa Njee "Mmh haa hasa hapanaa rude tuu sio ya

muhimu "Saraah Alisemaa akiwaa na wogaa

sana maana anafanhamu kbsaa Jordan

anampendaa lakn alikuwa ameshachelewa. maan Jordan alikuwaa ameshashuka ghorofani

juu had sehem ya chini.. Saraah anashidwaa afany kipi inabid ampigie Daktari Abdulh,Simu haikail mdaa inapokelewas.

Ivil Abdulh wa zamn na wa sasa wanaweza

tofautinaa kitabia (thii ni kwa maraa ya pili anamuulizaa ivoo tenaaa*)Saaraah Aliserna

Abdul alisema "Mmmh kwan kunaubayas wwt. tuachanee na hayoo Saraah amekumiss sanaa

kipenzi changu" Saraah kwa hasiraa alimfyonzaa Abdulh kweny

simu na kumwambiaa "Ukionaa nipo kimyaa mbele yako usijipe kichwaa sawa Mm sikupendii

maan sikuamini"Sarah baada ya kusemaa hayo alikataa simuu

Saraah alijilaumu sana kuweka loudspeaker maan anajuaa kbsa Jordan Akupendaa

Mdaa unaendaa na ni masaaa ya usiku.

Saraah Na Jordan wakiwaa wanapataa chakulaa

mezani Saraah anaonekana kuwaa na kitu

anachotaka kumwambiaa Jordan. "Jordan naomba tuongee kitu Saraah Alisemaa. "Mda wa kula sio wa kuongeaa na nikimalizaa hapaa ni mdaa wa kulala na mdaa wa kulala sio mdaa wa kuongeaa Jordan Alimjibu Saraah huku akilaa harakaa na kusimamaa na

kuelekeaa chumbni mwakee.

"Duah Mbn Jordan Kawa ivii daaaah sijui kunaa nn au ni hasira tuu za kupokeaa ilee

simu Saraah Alisemaa Kwa sauti ya chini un Jordan Alimsikiaa vizuri tu na akajisemeaa moyoni mwake "Hakuna kitu kama ichoo ilaa sitalo tu kuwa karb na ww mpk pale utakapo

fahamu Abdulh wa Kweli Ni yupi usichukiee

Mdoll wangu Saraaah akijisikiaa vibayaa maan hakupataa atajibu sahihi ham yak ya kulaa lishaa na alikwendaa kulalaa.

Midaa ya saa 6. Usiku Jay anaonekaa kuingiaa katikaa nyumbaa ya Madam Lindaa huku akiwaa amevaa mask na kuhakikishaa hataoneka na

mlinzi wa palee na hataa wafany kazi wa palee

Jay anaingia nakufikia chumbaa chaa Cameraa ambapo anafika na kuzima Cctv Cameraa Zotee

Ananyatiaa huku akielekeaa chumbani mwa madam Lindaa Anapofikaa anafungua mlango kwa kutumia kifaa maalumu na Anafanikiwa na kuingiaa ndani Anapofikaa anawashaa torch

yake ndogo nakuanzaa kukaguaa anapokagusa

kweny makabati anakutanaas na mafile mengi ya miakaa ya zmn sana zikiwemo hati mbali mbali na nyarakaa piaa.

"Mmh mbn hapaa kuna mamboo mengi hivii ilaa hayanthus ngoj nitafut kilichoniletas "Jay Alijisemea Moyoni

Akiangalkaa huku na kulee droo mojaa ambyo

ipo chini kbsa alipofunguaa alikutanaa na

documents nyingi sanaa ambazo ni kama

makubaliano ambayoo inaonekana kama madam Lindaa hakulidhikaa nayo maana alikuwa ameeandikas maneno ya kashfuu sana anamuaa kuzipigaa pichaa lkn jinaa ambalo lilikuwa limeandikwa pale Rashid Kephain na

Mrs Rashid Kephain. Mmmh Jay Anashidwa

kuelewaa kbsa hao watu nikinanani anapozidi

kupekuwa pekua anakutanaa na Taarifaa za

Mtoto Abdulh Ramadhani ambazo zimefatana na karatasii za makubaliano ya kifedhaa "Hizi fedha na uhakikaa ndo ambazo zilitumikaa Kipindi kilee Kumpataa Abdulh "Jay Alisema Lakini anapozidii kupekuwa anakutanaa na

karatasii zinazohusuu mauuaji yaa Mkuu wa

kituo cha kadogoo wa miaka ilee.

"Maauaji ?? Ivi inaamaanisha madam Lindaa Alifanya mauuaji na ni kwann afanyee Ivyoo Jay Alisemaa huku akikutanaa na karatasi nyingnee Inayoelezeaa tukio zimaa ilibidii apigee pichaa

karatasi zotee ili akasomee vizuri nyumbni

kwake anapomaliziaaa kurudishaa kilaa kitu

sawaa ghaflaa anasikiaa mlango unafunguliwaa

na mtu mwinginee aliyekuwa na mask pla

anaoneknaa kuingiaa palee na kuchukuaa document zotee ambazo zikuwaa kwenye drow

ya chini Mara siku ya yule Mask Man inalita tenaa na anapokes

"Ndio boss nmemalizaa naelekeaa kuzichoma ucji hapanaa mfanyaa kazi wako ata mmojaa

aliyeniona yule mask Man Alisema na

kusimama ili aondokee lkn alihis kama mahali apo kuna mtu, Jay alikuwa amejifichaa chini ya meza na uwo uwoo mdaa yulee mask Man Anashikaa kisuu huku akisogeaa mahali palee

Je mask Man Atamuonaa au Jay Atajifichajee maana Mask Man anakujaa na kisuu chakee mkononii Hahahah Jee Itakuwaje........
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 10 "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay

alisemaa huku akimuagaa Jordan. Safari ya Jay ilianzaa baadaa ya masaa

machache

Asubuhi Nyingine Kupambazukaaa Jordan akiwa ofisinee anapoingiaa mtandaonli anakutana na habari ambayo kwake haikuwaa

ngeni

JESHI LA POLISI LINATANGAZA VITA KALI JUU YA WAAUZA MADAWA WA KULEVYA NA VIKUNDI MBALI MBALI VYA UVUNJAJI

SHERIA. Habari yasemaa ivyo

"Narshaa hataki kbsaa kuachnaa na hayaa mambo na sijui ni kwann ilaa kilaa mtu akipandacho ukipataa Jordan Alisemaa kwa

nguvu

Lkn ghaflaa alisikiaa mtu akipigaa makofii huku akiingiaa ofisini kwake hakuwaa mwingnee alikuwaani The Queen Narshaa.

"Woow your most welcome" Jordan Alisemaa.

huku akitoa tabasamu lakee la kejeli. "Nice Thanks Too My Handsome Alijibuu Narsha huku akitabasamu sanaa.

"Nipo hapa kibiashara "Narshaa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter-10-hahahaha-pambanaa-kaka-pia-huyo-ndo-mtamu-wako-tokaa-utotoni-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter
  MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 14&15  Wawili hawa walichukua Garii Lao na Kwenda Nyumbani Wanapofikaa Nyumbn wanaonekana wakipiga leo story
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 14&15 Wawili hawa walichukua Garii Lao na Kwenda Nyumbani Wanapofikaa Nyumbn wanaonekana wakipiga leo story
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 13  Mda unaenda Wine zinaanza kugawiwaa na Wine Ya Saraah Ipo pale Pale Saraah
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 13 Mda unaenda Wine zinaanza kugawiwaa na Wine Ya Saraah Ipo pale Pale Saraah
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 17  "Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 17 "Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹    Chapter 12  "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 12 "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 7  Baadaa ya Narshaa kukutanaa na kofii la Jordan, Jordan Anaondokaa na kumuachaa akiwaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 7 Baadaa ya Narshaa kukutanaa na kofii la Jordan, Jordan Anaondokaa na kumuachaa akiwaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹  Chapter 9  Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 9 Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹    Chapter 18  Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 18 Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹  Chapter 8  Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ Chapter 8 Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

621
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

562
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

473
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

413
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

346
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

92
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

83
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

69
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

54
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

51

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest