*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 18 Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
Na Risasi katikaa kazi yake akiwaa na lengo la
kuu la kuuwa familiaaa yotee, Mda huo kweli familiaa ile inaonekana kutokaa njee ya fensi na Gari Lao Na wanaaza. kuondokaa.
Mda Wanapoanza kuondoka Mr Mask Yupo Nyumaa Yao Akiwaa Kashikaa Risasi Yake Na kuterget vizuri ili petrol Tank na litakapo pasukaa tuu apigee risasi kweny lami ili asababishe cheche ambazo zitalipuaa gari na kuuwa familiaa nzimaa.
Wakati Mr Mask anafanyaa yale yote kumbe nyumaa yake kulikuwaa na defender ya polisi mda tu Mr Mask ananyanyua risasi yake ili kushoot anasikiaa "Upo chini Ya Ulinzi Usisogee Popote Wekaa Silahaa Yako Chini Na Unyooshee Mikono Juu" Polisi Alisemaa...
Mr Mask Kwa Ubishi Wake Alianza Kukimbiaa Polisi walikuwa hawanaa mdaa tenaa walimpigaa Risasi Ya Mguuni..
"Aaah Aaah Aah" Mr Mask Alisemaa kwa machungu sanaa huku akiliaaa. "Chukuaa Pingu Mfungee Na Awekwe Kwenye Gari Twende Kituoni Kwa Mahojiano Zaidi Hospital Badae Atapelekwa Akiwa Chini Ya Ulinzi." Askari Polisi Alisemaa...
Mr Mask Alishikwa Na Polisi Nakishaa Kupelekwaa Kituo Cha Polisii
Upande wa pili huku Madam Lindaa Jordan na Saraah wamefikaa zao beach ni mwendo wa story vichekoo tu Maraa Nyuma yao wanasikiaa sautii ya Jay Akisemaa "Surprise".
Wanapogeukaa nyumaa wanakutanaa na Jay Akiwaa na Jenny wakiwaa wameshikanaa mikono hao.
"Heee Jay Kaletaa Mchumba "Jordan Alisema huku Akichekaa sanaa Madam Lindaa Na Sarah wote walishiaa kuchekaa sanaa maana hawakutegemea kituu icho ukikumbukaa ni jana tu ndo Jay Alikuwa
Singlee Ety Leo Kapataa Mtu
"Hahah Yeah Is My Queen Tenaa Wife Mmh Anaitwaa Jenny "Jay Alisema huku akiwaa na tabasamu sanaa....
"Half kunakitu hatujaa sema hapa tumetokea hospitalini kupimaa kituu na imejulikanaa kwambaa Mrs Jay Anamimba Yangu yenye siku tu Jay Alisem kwa tabasamu sanaa. "Ase napata wajukuu wawili wasio pishanaa sanaa "Madam Linda Alisema huku akiwa na furaha sana had machozi piaa, Vicheko na Tabasamu La Kweli Lilizidii
kuonekana maana hawakutegemea mambo meng hasaa kuishaa kwa ugomvi na familia kukaa chini tenaa kwa pamojaa. Mr. Mask Akiwa Kituoni anakutana na kipigo kikali sanaa ambacho kinasababishwaa na kutokusemaa yupo chini ya nan yaan ni nan anayempaizoo kazi (Boss wake.) Lakini na Juhudi zote izoo za polisi bado Mr Mask Anakuwaa Mgum Kusemaaa. Na Polisi wanachoamuaa ni kumchukuaa na kumpelekaa
hospitalini kwa matibabu ya awali kwanza maan alikuwaa na jerahaa kali la maumivu ya mguuni alipopigwa risasi
Mr Mask Akiwa Hospitalini taarifa zinafikaa kwa
Narsha. "Kama hili limetokeaa basi Mr Mask Lazim auwawe akiwaa hapo hapo hospitalini." Narshaa Alisemaa huku Akijiandaa na kubebaa kakopo kasumu kenye sindan kwa lengo la kupump dawaa kweny milija ya Drip. Narshaa anavaaa nguo aina ya baibuli isiyoweza kumuonesha
kbsaaa.
Malekezo yote Nasraa alikuwaa ameshapataa kwahiyo alipofikaa hospitalini alipitaa shortcuts ili kufikaa chumba kilee.
Lkn kumbe polisi piaa wamepataa taarifaa tayari kuwaa Boss Wa Mr Mask Atakuwep Hapo Hospitalin Kwaajili ya kuja kumuona Polisi wanatapakaa konaa zote za hospitalini ili watakapo muona wamkamate kwa wepesi.
"Mmh Ivi kumbe wamegunduaa ntakuwaa hapaa ilaaa sio mbayaa ngoja waonee kama watanipataa "Narsha Alisemaa huku akiangazaa huku na kulee na ndipo alipofanikiwaa kumuonaa. nurse mmoja
aliyekuwaa anaingiaa chooni. Narshaa alimfataa kwa nyumaa na yeye akaingiaa chooni mule.
"Naombaa uvue hizi nguo zako na unipatiee lasihivo utakufaa hapahapa "Narshaa Alisemaa Akiwaa na Kisuu Mkononii ambacho kilikuwa kikalii sanaa..
Yule Nurse kwa uogaa Alivuaa Nguo ΠΏΠ° kumpatiaa na kishaa Narshaa akamfungiaa mulee chooni na yeye kuondoka. Narshaa alipanda ngaz kwa ngazi kama Nurse wa pale Ikn kumbe
ni kama muuuwajii. "Samahni polisi nahitaji kufikaa katika chumba nmba 226 kwa ajiri ya matibabu ya mgonjwaa. "Narshaa Alisemaa.
"Hapana Hairuhisiwi mtu yoyote kuingiaa katikaa icho chumbaa kwasasa Polisi Alisemaa. "Hapana na kibali tayr natakiwaa nikampee mgojwaa hudumaa maake ni mdaa wa matibabu yake "Narshaa Alisemaa.
Walizidi kubishanaa sanaa kwa mdaa mrefu piaaa. Narshaa Alionaa kamaa hapo atapotezaa mdaa na kujaa kukutwaaa hapo Alichoaamuaa nikugeuza ili aondokee mdaa anageuzaa tu Sauti ili sikikaa ikiombaa msaadaa na haikuwaa ya mtu mwingne alikuwaa ni yule nurse Baada ya polisi kusikiaa vile alikimbiaa ili kutoaa msaaadaa na hap ndipo Narsha Alipo ingiaa mulee chumbn.
"Mr Mask kazi yang imekushindaa na bado upo chini ya ulinzi sasa ili usiumiee zaiidi.boraa nikuuwe mwenyewe "Narshaa alisema huku akichomekaa sindano kweny mlija wa drip ile... "Narshaa kweli unaniuaa kweli "Mr Mask Alisemaa Vilee huku akiumiaa na kutoaa machozii...
Polisi wanafikaa na kumfunguliaa mlango yule mdada.mdada yulee anapigaa kelel akisema "Muuwaji Yupo Juu Muuwaji Yupo Juu "Nurse
yulee alisemaa
Na hapo ndipo polisi walipo pataa akili na kugundua yule hakuwaa nurse alikuw nimuuwaji ndo maana alitakaa sana kwendaa kule ndanil ..polisii wanaamuaa kurudi speed sanaa kulee juu.
Narshaa akiwa kulee chumbn anamalizaa kazi yakee na kufunguaa mlango kutoka mdaa anatokaa anawaona polisi hao wakijaa juu kwa speed Na polisi piaa wanamuona kinachofata ni
mshike.
"Hakikisheni hatoki hapaa polisi mkuu alisema. Narshaa nae aliongeza speed ya kukimbiaa sanaa make akidabwaa hapo ni shuhurii nyingnè tenaa
Jee Polisi Watafanikiwa au watashidwaa kumkamataa na vip hali yaa Mr Mask Itakuwajee
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi