*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 17 "Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
Tusijuane wotee Na Ninawaahidii Kujutia Maamuzii Yenu wotee Narshaa Alisema Hayo Kwa Hasira Sana Na kuondoka Mahali Pale Lakini Anaonekana Akiwaa Na Mawazo Makubwa Ya kisasiii.
Madam Linda Alimtikisiaa kichwaa na kumwambiaa awe Makini sanaa maaa Biasharaa Zakee na Yatamuumizaa Siku Mojaa. Mambo Yake
Doctor Abdulh Yeye Piaa Aliamuaa Kuondokaa Bilaa Kusemaa Kituu.
Familiaa Hii sasa Yotee Inafurahaa Sanaa Maana Umojaa Upo Tenaa..
Usiku unaaingiaa Wanaamuaa Kurudi Nyumbni Baada Ya Mda Wanakutanaa Kwenye Dinner Ili Kupata Chakula.
Madam Lindaa Akiwaa Pembeni anasemaa Ketino Wote Mimi Ndo Mama Wa Familia Kwasasa Kwahiyo Ntawahudumia Wote
Kwenye chakulaa." Jay Anaonekaa kuchekaa Sanaa "Mmh na mm
itabidii nitafuutee Jmn Heee "Jay Alisemaa. Wote Walichekaa na kufurahii sanaa.
Madam Lindaaa Aliwapatiaa chakula kilee kwa ustadii zaidii Uku Akihakikishaa Mama Kijacho Anakulaa Kishibaa kabisaaaa.
Familiaa hii ilifurahiaa sanaa chakulaa kilee
Upande Wa Narshaa leo anaonekana akiwaa Amemkodi Mwanaume Kwa Ajirii Ya Kutoleaa Stress Ikm Narshaa Anaonekaa Akiwa Amelewaa Sanaa Kiasi Ambacho Haijiitambui kbsaa..Usiku unaendaa vizurii kabisaa
Ni Asubuhi Nyingne Inayokuchaa Vizurii
Kabisaa Ukiwaa Ni Midaa Yaa Saa Nne Wanaonekana Ofisini Mule Madam Linda Leo Anaonekanaal Akiwaa Busy Na Kazii Yake Hivo Hivoo Kwa Upande Wa Jordan Na Saraaah.
Upande Wa Njee Jordan Anaonekana
Akiizunguka zungukaa katikaa kuzunguka kwakee akiwa busy na simu yakee Ghafla anagonganaa na Mfanyakazi Wakike Ambaye Alikuwa Mrembo Sanaa Mwenye Kuvutia kbsa. "Samahani Boss Jay"Jenny Alisema Huku
Akiondokaa. Baadaa Ya Jenny kupigaa hatuaa kama tano ivii Jay Moyoo Ulimuumaa Sanaa.
"Hey Njoo Kwanza "Jay Alisemaa.
Jenny hakujali Aliamuaa Kurudii III Amsikilizee Jay
"Samahani Unaitwaa Nani" Jay Aliulizaa.
Kwa tabasamu kubwaa kabisa Jenny Alijitambulishaa.
"Aaah sawaa vp tunawezaa kwendaa Njee Tukaongee kidogoo "Jay Alisemaa
"Sawa Wewe Ni Boss Kwahiy Sizn Kama kuna hajaa Ya Kuombaa ruhusaa"
Wiwili hawaa waliondokaa na kwendaa zaoo. Tunarudii upande wa Ofisini Huko ndan Madam Lindaa Yupo Anawapigishaa Story wenzake. "Halfu Kesho Let Us Go Somewhere To Enjoy Au mnasemaje watoto wangu"Madam Lindaal Alisema.
"Yes Mammy Twendeni Tuchaguee Sehem Nzuri Kabisaa Twende Maake Tunamdaa Piaa hatujaa Enjoy Wotee Ety Jordan Alisemaa
huku Jichoo Kodooo Kwa Saraaah.
Saraah Yeye Aliambuliaa Kicheko kikubwa tuu nakusemaa "Nataka kuogeleaaa Tu Jmn" Watatu hao walichekaa sanaaa.
Upandee Wa Narshaa Anaonekaa Aklamkaa Akiwaa Na Maumivuu Katika Mwili Wake Anagunduaa kuwaa Mr Man Aliyelala nae yupo kasimama kwa njee na Anagunduaa kwamba Alimuingiliaa Kijinsiaa Na kumuumizaa vibayaa
Katika mwili wakee. "Nini hichii tenaa "Narshaa Alimuulizaa Mtu Yule.
"Usijali nataka tufanye biasharaa kwa pamoja mm ntakuwa kam Mpenzi wako Naelewa unamaumivu ya kuachwa but usijali tutalipiza
kisasi wotee"
Narsha kwa upnde wake alimpotezeaa na kwendaa kuogaa ilu aondokee aendelee na majukumu yakee menginee baada ya kuogaa Alimpigiaa Mr Mask
"Hellow Boss"Mr Mask Alisema.
"Naomba ufatiliee ile familia na ujue namna gan
ya kuiangamiza na usisahau kbsa hii wiki tutaenda kupokea mzigoo wetuu Fanyaa Ivoo Sawaa "Narshaa Alisemaa Na kukataa Simu Ileee.
Masaa Yaliendaa na Usiku piaa uliendaa
Ndani Ya Mjengo Leo Jay hayupo Kabsaa. Jordan Anaamuaa kumpigiaa Jay.
"Hellow leo uko wapi ase "Jordan Alisemaa.
"Hahah mimi nipo tukutanee kesho beach jmn kuweni na usiku mwema "Jay Alisema Na
kukataa Simu kabisaa. Wote walishangaa na ili wabidi kuamini tuu Jay Yup salama.
Upande wa Jay Jay Anaoneknaa Akiwaa Amemkumbatia Jenny na Huku Wakichekaa Kama Vichachaa Wadogoo (Mapenzii Ni Upofuu
Kiukweli).
Mpakaa hapo niwazi kabsaa kuwa watu hawa wanamahusianoo
"Beib Mimi Nahitaji Mtoto "Jenny Alisemaa. Kwa tabasamu kubwa Jay Alimshikaa mashavuu na kumwambiaa.
Its My Idea Piaa Tutapataa Usijali kabsaa kwasababu tumeshaelewanaa tutapataa na kesho ntaenda kukutambulishaa sehemu maan Familiaa yote itatokaa out kesho Jay Alisemaa Huku Akimpigaa mabusu shingoni na kumlambaa piaa hiyoo hahaa wawili hawaa walimalizanaa kitandani wenyew kbsaa
Usiku Ulipitaa Na hatimaye Palikuchaa Tenaa. Midaa Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekaa Kuwafatiliaa kina Madam Lindaa, Leo Mr Mask Anaonekana kutembea na risasii akiwaa na
mpango wa kuuwaa familiaa nzimaaa Mdaa huo Kweli Familiaa ilee inatokaa njee Ya fensi Na Gari Lao Nawanaanzaa Kuondokaa, Wanapoondokaa Mr Mask Yupo
Nyumaa Yao Akiwa Kashikaa Risasii na Kutarget sehem nzuri ya kupigaa petrol Tank ili Apitee Amalizie kuwashaa moto Garii lilee.....
Je Atawezaa Kuangamizaa familiaa Nzimaa Kwa Wakati Mmoja Na Vp hali Yao Itakuwajee
Tukutanee
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi