Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
26 Sep 2025
32 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Kwanini umekuwa na upendo kwa Jessa kupita kiasi..." Suzy aliuliza
"Naelewa kwanini unaniuliza, acha nikuambie ukweli kwa kuwa tupo wawili tu jikoni" Katy aliongea kisha akazima jiko kwanza
Suzy alifungua masikio kwa umakini kusikia ni kitu gani ataambiwa
"Machoni kwangu unaonekana kama Mwanaume, sijawahi kufikiria wala kuota kuwa unastahili kuwa na Mike. Kwa sasa najipendekeza kwa Jessa kupita kiasi kwa sababu ni binti mrembo, anastahili kuwa na Mike. Huenda aliletwa hapa kwa nia mbaya na Jasinta lakini hii hainipi shida kwa sababu kila kitu tunaweza kubadilisha, kama nimeweza kuzibadilisha fikira zake sishindwi kubadilisha moyo wake..."
"Una maanisha nini kusema hivyo"
"Nitamfanya Jessa amsahau Mama yake"
"Vyovyote vile, napenda kufuata kile kinafurahisha moyo wako.... huenda nikawa nampenda sana Mike lakini siwezi kufanya vitu vitakavyo kwaza moyo wa Mike hivyo ni sahihi kuonekana wa kiume kwako" Suzy aliongea
"Siku zote huwa napendezwa na majibu yako.... unaweza kuendelea na majukumu yako acha nimpikie Jessa"
Suzy aliondoka akiwa anajisikia vibaya ndani ya moyo wake. Siku zote aliamini kuwa yeye ndio atachaguliwa na Katy kuwa Mke wa Mike lakini mambo yameenda tofauti.....hij haikumpa shida sana kikubwa yupo karibu na Bilionea
Baada ya Katy kumaliza kuandaa chakula alimpelekea Jessa chumbani kwake
"Naomba kujua kwanini unafanya hivi, kiwango cha upendo wako kimezidi hata kile cha Mama yangu" Jessa aliongea
"Nafanya hivi kwa sababu unastahili kuwa na Mike.....sijipendekezi kwako bure"
"Sina uhakika kama Kijana wako atanipenda"
"Nikishakupenda Mimi ni ngumu yeye kuzuia, na hata hivyo naomba usijiwekee vikwazo kwa sababu unastahili kuwa na Mike" Katy alizidi kupandikiza elimu mpya kichwani mwa Jessa
Basi Jessa alianza kujiona ni Mrembo kuliko Wanawake wote duniani.....kuna namna alianza kuishi kwa kujiinua na hata akasahau kama mahali hapa kama kuna Ciara ndugu yake.
"Kuanzia sasa na kuendelea naomba tuishi kama boss na Mtumwa wake.....hili ndilo jibu la swali ulilowahi kuniuliza hapo nyuma kama nakupenda au la" Ciara aliongea na Mike jioni moja wakiwa wamekaa bustanini
Alifanya hivi baada ya kugundua Jessa anahitaji kuwa mke wa Mike
"Kwahiyo unataka kusema sina nafasi katika moyo"
"Ndiyo, ndani ya moyo wangu hauna nafasi na kamwe hautakuja kuwa na nafasi"
"Unaamua hivi kama nani? kwani umesahau kama wewe ni Mtumwa na hauna haki ya kuamua chochote kuhusu maisha yako!" Mike aliuliza
Ciara alitabasamu kimtindo
"Nimejibu swali ulilowahi kuniuliza hapo nyuma.....hata kama utafanya utakavyo juu yangu lakini inapendeza kuona umesikia ukweli wa moyo wangu" Ciara aliongea akataka kuondoka lakini Mike alimrudisha kwa kumshika mkono.
Alitaka kumuonesha kuwa yeye ndio mwenye maamuzi mahali hapa. Alimbebelea juu juu....kila walipopita watu walimgeukia,
Jessa akiwa juu ya kibaraza pekee yake alimshuhudia Mike namna alivyombeba Ciara
Kuna namna moyo wake uliumia, aliona kama Ciara anamdhulumu haki yake.
"Hutakiwi kuwa mahali hapa.... nitafurahi kama utaondoka" Jessa aliongea pekee yake huku akimsindikiza Ciara kwa macho
Itaendelea ๐ฅ
Full 1000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Unatoka Golini timu yako ikiwa inaongoza bao 3-2 tena dhidi ya Real Madrid
unaenda Kusaidia mashambulizi kwenye Mpira wa Kutengwa ...Siyo kwamba Mpo nyuma la hasha bali nyie ndiyo mnaongoza ๐๐๐ ...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwaย pared,ย leo jioni kutakuwa na ugeni,ย ย hivyo mjiandae"
Tulitoka mbio na kuelekea pared,ย mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,ย ย tulikuwa kwenye mazoezi,ย vikosi ...
*MCHUMBA WANGU WA UTOTONI KAWA MJEDA* *1-5* *__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Siku zote Mchagua jembe siyo mkulima hiki kitendawili nakifahamu vizuri nilikiimba sana nikiwa mtoto
mpaka sasa naitwa mtu mzima. Mara nyingi huwa nakitazama kama dira ya maisha yangu. Kikigeuka huku nakifuata kikienda k...
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilik...
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
"Kwanini umekuwa na upendo kwa Jessa kupita kiasi..." Suzy aliuliza
"Naelewa kwanini unaniuliza, acha nikuambie ukweli kwa kuwa tupo wawili tu jikoni" Katy aliongea kisha akazima jiko kwanza
Suzy alifungua masikio kwa umakini kusikia ni kitu gani ataambiwa
"Machoni kwangu unaonekana kama Mwanaume, sijawahi kufikiria wala kuota kuwa unastahili kuwa na Mike. Kwa sasa najipendekeza kwa Jessa kupita kiasi kwa sababu ni binti mrembo, anastahili kuwa na Mike. Huenda aliletwa hapa kwa nia mbaya na Jasinta lakini hii hainipi shida kwa sababu kila kitu tunaweza kubadilisha, kama nimeweza kuzibadilisha fikira zake sishindwi kubadilisha moyo wake..."
"Una maanisha nini kusema hivyo"
"Nitamfanya Jessa amsahau Mama yake"
"Vyovyote...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-13-ikiwa-ni-mida-ya-jioni-katy-aliingia-jikoni-kuandaa-chakula-kwa-
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni