Sauti ya Mike akionekana kufurahia tendo ilipenya masikioni mwake.
Kuna namna moyo wake uliumia lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kuvumilia.
"Ulitamani uwe nani kwenye maisha yako endapo ungekuwa na uwezo" Mike alimtupia swali Ciara baada ya kumaliza haja yake
"Tofauti na kumpikia chakula kizuri Jessa sijawahi kutamani kuwa mtu fulani kwenye maisha yangu"
Kabla Mike hajatia neno lolote simu yake iliita,
"Unaweza kwenda nyumbani tutaonana baadae...leo pia utalala chumbani kwangu" Mike aliongea
Ciara aliachia tabasamu kisha akataka kuondoka lakini Mike alimrudisha.
Taratibu alivuta droo yake akampatia kibunda cha pesa. Vile Mike ni bahili hakuelewa kwanini hata anatoa pesa zake tena kwa Mtumwa.
Ciara aliondoka zake, Mike ndio kukumbuka kumpigia Mama yake
"Hallooo Mama..."
"Hakikisha unawahi kurudi nyumbani siku ya leo, tayari nipo nyumbani kwako" Katy (Mama yake Mike) aliongea kisha akakata simu
Mike aliachia tabasamu kujua Mama yake yupo nyumbani, ni miaka mitano imepita sasa bila kumuona Mama yake
Ciara anarejea kwenye jengo la Mike, anashangazwa na namna Watumwa wenzake walivyokuwa na heka heka
"Nyumba hii chafu sijapata kuona! msiniambie Kijana wangu huwa anawanyima chakula mpaka muwe majeuri namna hii. Na hata kama anawanyima chakula hamna haki ya kufanya ujeuri nyie ni watumwa tu" Katy alifoka
Isingekuwa rahisi kwa Ciara kumpita bila kumsalimia, alitoa salamu akiwa katika uso wa kujiamini
Vile Katy ni mkorofi, alimsogelea akamchania tisheti yake. Lengo lilikuwa ni kujua yeye ni nani.
Baada ya kuiona alama ya jina Mike mgongoni kwake aliutambua wadhifa wake
"Unawezaje kuzungumza na Mimi ukiwa umenikazia macho?....pengine hujui Mimi ni nani nitakusaidia katika hilo. Mimi ni Mama yake Mike....heshima unayompatia Mike unatakiwa kunipatia pia...." Katy aliongea
Ciara alitikisa kichwa kuashiris ameelewa
"Kazi yako ni ipi mahali hapa..."
"Ni Mpishi.."
"Naomba wewe pamoja na wenzako muandae chakula cha jioni" Katy aliongea kisha akaondoka
Basi watumwa wote wanaohusika na upishi waliingia jikoni kusaidiana na Ciara.
Anashindwa kuelewa kwanini wenzake wanafanya kazi huku wakitetemeka.
"Naweza kujua kwanini nyie wote mnatetemeka, angalia huyo mwingine hadi amejikata na kisu..."
"Katy ni katili, kama hatafurahia chakula chetu tutakiona cha mtemakuni..." Mmoja wa watumwa aliongea
"Nyie wote naomba mkae pembeni nitapika hiki chakula mwenyewe...." Ciara aliongea kwa kujiamini
Basi Watumwa wote wapishi walikaa pembeni wakamuachia jiko Ciara
Upande wa Katy aliamuru anolewe kisu cha kukata vidole wapishi wote watumwa endapo watashindwa kupika chakula chenye ladha anayotaka yeye
Itaendelea π₯
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hajalishi Wewe Ni Mzuri Namna Gani Ila Chunga Sana Ndoa Yako Isifikie Huku!
Haijalishi wewe ni mwanamke mzuri namna gani, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi una mawazo mazuri namna gani,...
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile general". "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuw...
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
,Malikia andwaa aliongea" "Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu..... KUPATA MWENDELEZO ZAIDI WA SEHEMU INAYOFYA...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..2 Dar es salaam SEHEMU YA PILI ENDELEA,. Baada ya kumaliza kuvua nguo za juu ashura ndipo aliangusha sketi yake chini kisha aka malizia kuvua taiti aliyo iunganisha na chupi hapo alibaki uchi wa mnyama
akiwa anapiga chabo mlangoni anko mudy jicho lili mtoka baada ya kuliona umbo murua la mpwa wake hali ya mashine yake n...
Sauti ya Mike akionekana kufurahia tendo ilipenya masikioni mwake.
Kuna namna moyo wake uliumia lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kuvumilia.
"Ulitamani uwe nani kwenye maisha yako endapo ungekuwa na uwezo"...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-06-unatumia-mbinu-gani-kujua-yaliyomo-ndani-ya-moyo-wa-mtu-mike-ali
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni