Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
28 Sep 2025
128 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
chochote" Ciara alijisemea kisha akavunga kama hakuna kitu kinacho endelea
"Ciara, nilikubali kuuzwa hapa kwa ajili yako naomba uzungumze chochote naamini Mike ana kusikiliza wewe kuliko mtu mwingine" Jessa aliongea huku akilia
Ciara alisimama, basi kila mtu alikaa kimya kusikia ni kitu gani atasema. Hata Jessa aliyekuwa anajiliza alikaa kimya kusikia ni kitu gani kitazungumzwa
Cha ajabu Ciara alimuonesha tabasamu Mike kisha akasepa
"Kwanini anaonesha tabasamu badala ya kuzungumza...." Katy alimuuliza Suzy
"Hana mashaka na maamuzi ya Mike hiyo ndio maana yake"
Basi Mike alifunga kikao, Mtumwa Jala alikuwa ni miongoni mwa Watumwa walioachiwa huru
"Kama huko nje hakuna mtu anayekusubilia naomba ubakie hapa kwa ajili yangu....utaishi kama Mama yangu na si Mtumwa" Ciara alimuambia Jala
"Kwa kuwa umeniomba nibakie hapa nitafanya hivyo..... unaonekana kuwa na akili nyingi kuliko mabinti wote niliowahi kukutana nao. Nitafurahi kama utakuwa msaada kwa Mike na si mzigo" Jala aliongea
Maneno yake yalikuwa mazuri kiasi cha Ciara kumkumbatia
"Hakuna undugu kwenye vitu vizuri, umekuwa ukimtazama Ciara kama ndugu yako lakini kashindwa kukusaidia.....uwezo wa kumshawishi Mike ubakie mahali hapa ni mkubwa sana cha ajabu amekuacha upambane na hali yako" Katy aliongea akiwa kasimama juu ya kibaraza na Jessa
"Kama ana uwezo wa kumshawishi Mike na akamsikiliza hashindwi kumsihi akuondoe mahali hapa. Hili si jambo la kusifia ni hatari kwako pia" Jessa aliongea
Katy alituliza kwa umakini akili yake, maneno aliyoambiwa yalikuwa na ukweli ndani yake
"Tangu nije hapa Mike hakuwahi kupata muda wa kuzungumza na Mimi..... inaonekana kwa sasa sina umuhimu wowote kwake, maneno yako yana ukweli ndani yake. Nitaandaa sherehe ndogo kwa ajili kukuaga wewe. Kuna kitu nitafanya" Katy aliongea kisha akaondoka
Mida ya usiku Ciara akiwa anaosha miguu yake Jessa alimfuata
"Kwanini hujataka kunitetea hata kidogo badala yake umeonesha kufurahia"
"Tofauti na kupendeza hakuna kitu cha maana unachokifanya hapa.... Mike anafahamu ni kwa jinsi gani nakupenda na ndio kafanya maamuzi mazuri ya kukuondoa hapa..... naomba tusiendelee kuzungumza kitu ambacho kimesha kwisha kufanyiwa maamuzi"
Kwanini usiongee ukweli tu kuwa uwepo wangu hapa ni tishio kwako, kwanini usiseme ukweli tu umewahi kutamani kumiliki sura yangu"
"Wewe bado ni Mtoto ukiwa mtu mzima hautazungumza hivyo. Nasikia siku ya kesho Katy atafanya sherehe ndogo kwa ajili yako.... itapendeza kama utaenda kulala kwa sababu wewe ndio mhusika mkuu" Ciara aliongea
Jessa aliachia tabasamu kisha akaondoka.
Kulivyo pambazuka asubuhi, Katy alisimamia suala zima la sherehe ndogo kwa ajili ya kumuaga Jessa
Vyakula vyote alivikagua yeye ndipo akaruhusu viwekwe kwenye hotpot.
Jessa alikuwa amependeza kana kwamba anaolewa.
Mike alikuwa bize na mambo yake ya kazi hakutaka hata kuhudhuria hii sherehe.
Wakati wa kula ulipowadia Ciara alijikuta akipatwa na hofu. Si mtu wa kutetemeka hovyo lakini siku ya leo alijikuta akitetemeka
Jala akiwa amekaa karibu na Ciara alimpatia ishara asije kula chakula kwa vyovyote vile.
Basi Katy aligeuka kuwa Mhudumu aliwataka watu wote watulie kwenye meza zao kisha yeye akawa anawawekea sahani chakula
Ciara alijikuta akitetemeka zaidi baada ya kuwekewa sahani ya chakula
"Karibu ufurahie sherehe ndogo ya kumuaga Jessa...." Katy alimuambia huku akiachia tabasamu
Itaendelea π₯
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwaΒ pared,Β leo jioni kutakuwa na ugeni,Β Β hivyo mjiandae"
Tulitoka mbio na kuelekea pared,Β mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,Β Β tulikuwa kwenye mazoezi,Β vikosi ...
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilik...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
damu ya yeyote, mume wangu hayupo sawa jamani" niliongea na kuchukua simu kutoka kwa mlinzi nilimwomba mume wangu arudi...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss
mwenyewe kivuruge wee vaa sare zangu uendee, mimi naweza nikitoka kwenye mambo yangu nikaenda kucava pale dukani kwako ...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 12 Kwanza nilishtuka sana na kujiuliza huyu ni Nani na Kwanini anaingilia ugomvi gafla hivyo pasi na kuuliza kitu chochote kile .
Ukiachana na hivyo jamani huu Sijui ni umalaya au ni kitu gani nilijikuta nikiganda na kuangalia uzuri wa mkaka huyo am...
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
chochote" Ciara alijisemea kisha akavunga kama hakuna kitu kinacho endelea
"Ciara, nilikubali kuuzwa hapa kwa ajili yako naomba uzungumze chochote naamini Mike ana kusikiliza wewe kuliko mtu mwingine" Jessa aliongea huku akilia
Ciara alisimama, basi kila mtu alikaa kimya kusikia ni kitu gani atasema. Hata Jessa aliyekuwa anajiliza alikaa kimya kusikia ni kitu gani kitazungumzwa
Cha ajabu Ciara alimuonesha tabasamu Mike kisha akasepa
"Kwanini anaonesha tabasamu badala ya kuzungumza...." Katy alimuuliza Suzy
"Hana mashaka na maamuzi ya Mike hiyo ndio maana yake"
Basi Mike alifunga kikao, Mtumwa Jala alikuwa ni miongoni mwa Watumwa walioachiwa huru
"Kama huko nje hakuna mtu anayekusubilia naomba ubakie hapa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-19-mike-ananipenda-mimi-nina-uhakika-hata-haya-maamuzi-anayoyafanya
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Maoni