Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss
Gonga94 · Stories

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mwenyewe kivuruge wee vaa sare zangu uendee, mimi naweza nikitoka kwenye mambo yangu nikaenda kucava pale dukani kwako sawa wee nenda tu Careen" alisema dada yangu, sisi ni mapacha na tunafanana kila kitu yaani kwa macho ya kawaida huwezi kututofautisha kabisa yaani maan hakuna mwenye alama kati yetu inayotutofautisha kwamba sisi tupo wawili kwasababu hadi pale mtaani watu huwa wanatuchanganya, mimi naitwa Careen na dada anaitwa Catherine, hatuna wazazi, wazazi wetu walishakufa muda mrefu sana umepita na hivyo ndugu wa baba wakawa wametutenga na kuchukua mali za wazazi wetu na kututelekeza bila huruma, ila tulichukuliwa na mama yetu mdogo akasema atatusomesha na alitimiza hilo japo hakuwa na uwezo kama wazazi wetu ila alifanikisha kwa uwezo wake na kwa vile tulikuwa tunajitahidi darassani hivyo tulipata mfadhili wa kutusomesha, tulisoma mpka chuo ila aliepata bahati ya kazi ni dada yangu, ila licha ya kwamba dada yangu alikuwa na mambo mengi ila alikuwa ana akili za maisha kunizidi japo ana mambo mengi sana tuliweza kuchanga pesa zetu za boom tukafunguaa kiduka cha nguo ambacho nilikiwa na mimi hapa na yeye anaenda kazini, na hyo kazi yenyewe dada alipata kwa connection ya shga ake ambae alikuwa anadate na secretary wa boss wa hyo kampuni na tulikuwa tunamsaidia mama yetu mdogo alietulea, maan sisi tulikuwa tumepanga sasa toka tupo chuo

Sasa leo alikuwa hataki kwenda kazini na kwa sababu tunafanana na tumesomeaa kitu kimoja huko chuo alitaka niende mimi kwa kisingizio kwamba boss wake ni mtata ety hataki makelele ila huyu Catherine hapana ni mvivu tu jamani kwahyo hataki makelele, ila nilikubali kwakuwa nishamzoea maana ni kawaida yake huwa mara nyingi naenda kazini kwake badala yake na hakuna alieshtuka kabisa kwenye hili kwamba mimi sio Catherine ni Careen, nilijiandaaa nikavaa suti yake ya kazini nikaondoka zangu nikaelekea huko kazini kwa dada angu, nikafika tu nikakutana na mdada mmoja anaitwa Mary namfahamu maana hapa mimi nakujaga sana sema tu nashangaga nikijaga wanasema etty naumwa kwa maana kuna siku nakuwaga nanata sana na kujishaua tu lakini nikija hivi nacheka wanasema naumwa maan mimi ni mtaratibu sana sio kam dada yangu cha mdomo na ananata kwasababu pale yeye ana cheo kidogo pale..

"Miss. Catherin unaombwa officine na Boss" alisema Mary, Mungu wangu nilishangaa sana jamani maaana mimi toka nimeanza kuja officine kwa dada sijawahi kukutana macho kwa macho na boss wake, nilikoma mimi jamani, sijui itakuaje dada kashaniponza jamani nilisema tu sawa ila office ya boss nilikuwa naifahamu nikanyooka hadi officine kwa boss mama yangu nakuta huyo boss alivyokunja sura Mungu wangu uwiii nikasema leoo nimeyavagaa kam mambo yenyewe ndio haya mbona nimeyatimba mimi jamani nilikuwa naomba dua kumi kumi huyu boss asinipige kofi , ila nawaza sijui Catherine atakuwa kazua balaa gani huku jamani ila dada hapanas-a..

Itaendelea.

Chapter 2

"Haya nipe kazi yangu niliyokuagiza ufanye" Mungu wangu nilitoa macho mimi jamani nikasema ukisikia leo mtu kafa kwasababu ya kosa ambalo halimuhusu ndio hapa jamani sasa mimi hata kazi yenyewe sijui ipo wapi jamani mimi nimeyaona hata dada hajanipanga kuhusu hiyo kazi aliyopewa na boss wake, jamni dada anapenda kunisakizia hizi kesi mimi Mungu wangu mie binti wa watu sina lolote Hapa zaidi ya upuuzi umenijaa mimi mdada wa watu jamani uwiis-a

"Sawa boss lakini mimi mwenzio ujue nipe dakika tano tu boss nakuletea nilimwambia boss kwa unyenyekevu kweli maana mimi najua kunyenyekea balaa ila cha ajabu ety boss akauliza "upo sawa wewe Catherine?" Aliniuliza kwa mshangao kwelinikamjibu nipo sawa boss hamna shida usijali boss wangu kila kitu kipo sawa, alinitizimaa kwa muda "mh vizuri umebadilika mwemyew, maan nilikuwa nataka nikujibu hovyo tu kidogo nikufukuze kazi maan nishakuonya kam mara mbili tabia ya kunijibu kana kwamba unamjibu hawara yako siitaki kabisa bintii" nilimtizama tu sikutaka kumjibu ila moyoni nilijisemea kumbe dada ni mjeuri hadi kwa boss wake hee dada kazidi ilibidi nimpe heshima yake maan anajiamini huwezi mjibu shirt mpaka boss wako nikunyime heshima mhh uongo huoo "haya unaweza kwenda kuendelea na kazi yako umeomba dakika tano isipite hata sekunde moja unafukuzwa kazi maan nakutafutia sababu ya kukuandikia get pass uondoke, maana kwa utendaji wako wa kazi. siwezi kukufukuza bila sababu bodi itakuwa na maswali mengi juu yangu nilisema sawa nakutoka njee, ile nafika mlangoni nasikia boss anasema " harakisha hyo kazi ni saa 3 na dakika 26 sasa, saaa 3 na dakiak 31 moja uwe hapa na hyo kazi bila hivyoo barua yako nishaiandaa tayari nikasema hilo limeisha boss nikatoka nje na kuelekea officine kwa dada, ila nilijua boss kabaki na wasi wasi na muitikio wangu wa heshima, kan kwamba sio kawaida.

Nilifika nikandaaa kazi nzuri kweli nilihakikisha nimeipanga ipasavyoo ikapangika haswaa, na sikutumia hata hizo tano nilitumia tatu kwasababu ilikuwa rahisi na fupi mno na nilifanya haraka coz dada alikuwa ashaanza tayari kuifanya hiyo kazi, na kiukweli mimi nilikuwa faster na mtendaji mzuri sana wa kazi ila sipo vizuri kwenye kuongea na kujielezeaa sipo vizuri sana ila sehemeu nyinginee nipo very good, lakini dada yangu ni mtendaji mzuri wa kazi ila ni mzembe mno yaani kiasi kwamba kazi ya dakika inapasa umpe wiki na haimalizi na pia yupo vizuri kwenye maswala ya uongeaji ni anaongea afu ana maringo balaa, kwa maana hadi mimi huwa ananileteaa maringo sometimes, nilifanya ile kazi na kuipeleka kwa boss kwa muda sahihi ila, nikasema huyu dada ntamalizana nae nikirudi nyumbani maan. ananitafutaa la mdomoni mimi, nikanyooka mpaka officine kwa boss wake na dada, "Hizi hapa mkuu zipo tayari kabisa hakuna shida yoyote alizikaguaa akaziona zipo good akanitizama

usoni huku akiangalia saa yake iliyokuwa mkononi kwake, akanigeukiaa "zipo akanitizama usoni huku akiangalia saa y iliyokuwa mkononi kwake, akanigeukiaa "z very good hapa pekee ndipo ninapokuku hujawahi kuandaa kazi mbovu nahisi hii b wataikubali kiurahisi sana yaani, ila unanil huoo uzembe wako na dharau zako akanip kakofi ka kichwa kisha akatabasamu akaendeleaa na mambo yake jamani h mkaka nimzuri nyinyi jamani mhhh aibu na mimi haki Ya Mungu ni mzuri huyuu mb akicheka meno meupe balaa, afu ana madin jaman, na jinsi ananukia uwii na mimi naper wakaka kama hawa warefu jamani yaani uw unamuangalia umepandisha shingo nilitabasam pia nikaondoka zangu nikaer officine kwangu ila wakat natoka nilijua ku yulee BOSS alikuwa ananitizama sana. nyuma na jinsi tumejaliwaa uwiis-a. Itaendelea.....

Chapter 3

Muda ulifika na nilirudi nyumbani sasa, na niliapa huko nyumbani dada yangu atakoma yaani hawezi kunifanya nikajuta kizembe zembe yaani leo atakojoa Pepsi mimi sio mpuuuzi muda wa kazi huwa unaisha saa 12 ila. kwasababu ya boss alikuwepo hatutakiwi kutoka kabla boss hajatoka hivyoo tulitoka kwenye saa moja hapo nilikuwa nina hasira balaa, maana hili linanifanya nalo lilinifanya nikazidi kuchukia zaidi, ila niliendaa kwanza nyumbani nikutane na hyo dada, mimi ni mpole ila usiombe nikasirike mbona utasema basi nilifika nyumbani nikakuta dada hayupo nikajua atakuwa labda yupo dukani, nilimsubiri arudi sikutaka hata kubadili nguo zangu za kazini, nilikaa mpaka saa 4 hivi ndio dada angu akarudi alikuwa kavaa kisuluali aina ya cargo na t-shirt kabeba na pochi, nilimkata hilo jichoo yaani la wewe leo utakoma, akaanza kujichekesha mwenzie nimeweka sura 45 sichekeshi hata

"Umechoka eeh shga angu?, vipi kila kitu kimekaa sawa huko shga angu mimi nakuaminia wewe jembe langu hujawahi niangusha kwenye chochote nakukubali shga angu hunaga baya najua msala wote umemaliza sikumjibu maan nilikuwa na hasira kweli nikamtizama tu nikavua hizo suti nikaenda kuoga maan tulikiwa tumepang chumba master na ni kimoja Tu nikatoka kuoga na khanga yangu nikamtizama hilo jichoo "We naee usinitizame hivyoo hee unataka kunimeza auu, kwahyo kumsaidia dada yako kuna tatizo kwani?" Alisema dada huku anajichekesha utadhani kaona hela za mpenzi wake mbele yangu "haya funguo za duka zipo wapi?, wewe Catherine ndio swali nilomuuliza "hee mimi sijaenda huko dukani kwenyew nilikuwa na mualiko awa kisinia kwa shga angu Huwaina mimi sijui kwani kuna tatizo?" Aliongea kana kwamba hakuna shida yani huyu hajali kabisa basi mimi kunipandisha hasira mpaka naishiwa pawa tu nikimtizama, nilikuwa natamani hata nimuwashe kofi

"Haya naomba hizo funguoo, na kesho uende kazini kwako, afu habari za kuniambia niende kazini kwako na haujanipanga kitu chochote mimi maswala ya kuongea na boss wako mimi siyawezi kabisa, yaani mpaka najikanyaga, nipe funguo mimi ntaenda dukani mwenyew halafu wewe....." nilinyoosha mkono kana kwamba nataka kumpiga mbao, aliinuka akanza kupaza sauti na jinsi alivyokuwa na sauti kali huyu Catherine "Wee koma kabisa kusema etty wewe, unataka kunipiga kama nani, wee vipi kwahyo kunisaidia imekuwa kesi kama unakuwa huwezi uwe unasema mimi habari za kuendeshwa ndio nisizozitaka kabisa mimi mwenyevwe nishavurugwa na ya kwangu sijui unaelewa hapo wee mjinga?, na huko kazini utaenda mwenyew, kwanza mimi nina safari zangu huko dukani nitaenda kwa muda wangu, upo?" Yaani alikuwa anasema utafikiri pale nimeajiliwa mimi, sikutaka kumkaribisha shetani kabisa kati yetu maan hapa ningeendeleaa ningemziba mkofi maana mimi sichelewi kumzingua mtoto wa mtu.., nikaamua zangu kulala mie

Asubuhi ilifika, mimi huwa naamkaga mapema

Asubuhi ilifika mimi huwa. na kawaida yangu nikilalas huwa zinaisha zote kabisa n ila huyu mama kisirani hasir n asiku zote mimi ndie huw Catherine hebu amka ujian bhana allamka akanikata ji huyu anahasira na mim kujiandaa kwenda kazini at mzima nikaamua kwenda nikasema nikirudi ntamletea najua anapenda na hasira nikaondoka zangu

Itaendelea....

AChapter 4

Nilifika officine nikawa nimetulia zangu, nipo napitia pitia vitu ili nisije kuulizwa kitu nikajichanganya buree mimi, mara akaingia boss, akaweka document mezani akanitizama kwa muda, akatoka mimi sikuelwewa nikaziweka pembeni nikaachna kwanza na kuchunguza mambo kweny computer nikaendelea na mambo yangu mengine nikawa nachati na shoga yangu Maria anambie kama duka limefunguliwaa akazidi na umbeaa mwingine ikabidi niwe namsupport tu kwa maana mimi umbea mimi sio vitu vyangu kabisa , ila namsapoti asijisikie vibaya Tuliongea kwa muda kidogo, nikapitiwa na usingizi nikalala zangu mimi aku nikaegemea mea meza nikalala nashanga mtu anabisha hodi nikamruhusu aingie, alikuwa ni Mary kaja.

"Madam Catherine unaombwa kwenye kikao maana nakuona umesahau kam weew ndie mwenye presentation leo madam, watu wote wapo wanakusubiri kule" nilishtuka sana maaan Mimi kwenye maswala ya kujielezeaa sipo vizuri kabisa nilitetemeka mimi jamani uwiii yaani kabla hata kwenda eneo la tukio, nishaanza kutetemeka miguu balaa mimi jamani ni muoga san nakumbuka hata chuo kwenye haya maswala alikuwa ananisaidia sana Catherine hapa nilimkumbuka kivuruge wangu mimi jamani

Nilifika kwemye stage ya mazungumzoo nikawa natetemeka balaa hapo miguu inapepesuka balaa nilikuwa natetemeka kwenye mazungumzo mpaka boss akaanza kucheka chini chini basi vile nakuona kila mtu ananitizama mpaka nikawa napata kigugumizi sasa ila iliisha na nilijitahidi nilikuwa nagugumiza sana nilivyotoka boss aliniita officine kwake

"Kumbe una matatizo ya kigugumizi na husemi alisema kisha akatabasamu akinitizama , nilijikuta natabasamu kisha nikanywa maji "Hhh mdomo mwingi ila kwenye kuongea hujiwezi ila wewe daaah! Nilikuwa nasikia story za mdada mchangamfu anaitwa Catherine toka nipo safarini, ila nikaja kuprovee siku ya kwanza ulivyonijibu shit ila sikuvutiwa coz sipendi dharau, ila kunywa maji nisiongee mengi kunywa maji uende" nilimshangaa tu ila nikajua huyu kaka ni mchangamfu kwa kiasi chake nilipenda uchangamfu wa boss nikawa najiuliza sasa kwanini dada anashindwana nae wakat ni mtu poa tu huyu, nilitoka huku natabasab na boss alinisindikiza kwa macho, nilienda officine kuendelea na mambo mengine

Nilirudi nyumbani, nikamletea dada yangu chocolate, maana hii siku alienda dukani alinifurisha pia mama yangu nimekuletea zawadi shga ang" nilimpaa huku nacheka alionesha kafurahi na ushoga wetu ukarudi kam kawaida nilifurahi sipendi kukasirikiana na dada yangu kabisa nampenda mnoo "asante jamani wee naee ukinikera tu unajua kunilitea chocolate mjinga wewe alinipga kichwani "haya nambie chochote nitatimiza dada yangu" nilisema huku nimemgeukia nikimshika mikono "sawa basi nakuomba ukave hii miezi minne ambayo boss atakuwepo najua wewe unaweza kufanya nisifukuzwe kazi wewe ni mstaarabu mimi siwezi ninakuomba nisaidie mamy boss akiondoka tu nakuja mimi siwezani nae yule makasiriko hhhh" aliniomba nilimtizama ila kwasababu nilimwambia aseme chochote nitakubali, nilikubali kabisa bila wasi wasi nikasema nitacava kwanza Boss nishamjulia ni anamatani sema hapendi dharau kabisaa nikamwahidi nitaenda tu asijali alifurahi baada ya kusikia alinikumbatia, nikamwambia tule tulale kwa ajili ya maandalizi ya kesho ya kazi alifurahi tukala tukalala

Itaendelea....

Chapter 5

Siku nyingi zilipita na sasa nilikuw nishapazoeaa sana pale officine watu wengi walifurahishwa na ubadilikaji wangu wakijua ni Catherine kumbe mimi ni Careen nilikuwa sasa ni kam nina miezi mitatu moyoni nasema bora huu wanne uishe nikawe na mambo yangu japo nilikuwa nishamzoeaa sana Boss na hadi kuna muda tulikuwa tunatoka out tuna have a nice meal na mengine mengine kama hayo yaani tayari tulikuwa tumejenga uhusiano mkubwa sana kati yetu sisi wawili, na hili sikuwahi kumwambia dada angu maana ni mambo ya kazini yeye hakutaka kuyajua kabisa nilikuwa namuacha yaani yeye always alikuwa anajua Boss wake ni kaksi kumbe ni vile tu hapatii vitu anavyotaka ila Boss Marquis yupo very charming na ni mtu poa sana hajawah kutokea kwa maono yangu

Hii siku nilikuwa nipo officine nimetuliza zangu mara anakuja Boss wangu officine "Catherine nina shida binafsi naomba unisaidiee? Nilimtizama tu makini nikamuuliza kazi gani hyo mkuu?" Nuliuliza kwa utaratibu maana ndio kawaida hadi yeye huwa anasema mimi ni mtaratibu mnoo yaaani Nakuomba lakini unisindikize kwenye party ya rafiki yangu mmoja ambae mdogo wake ni mwenye birthday leo sawa" nilimtizam kisha nikauliza "leoo?" Akanitizama kwa upole akanambia "Ndio unajua hapa mimi mtu niliemzoea ni wewe peke yako tafadhari ninakuomba, nisaidie kuhusu kujiandaa nitashughulikia kila kitu mimi mwemyew mama yangu ninakuomba aliomba sana mwisho nikaona nimkubalie maan aliomba sana tena sana nikasema hakuna shida alitaka tuondoke kwenda mall muda huo huo tuliondoka tukaelekea sehem moja hivi wanapaita Victoria mall ni making wa wa kuuza vitu vikali

Tulifika tukakaribishwa na muhudumu wa pale alituhudumia vizuri sana madam ninakuomba uje huku uchague nguo au nikuchaguliee, kwanza ni nguo za wapi unataka kuchagua nilimtizama sikuwa na jibu ila Marquis alinijibia "mpe nguo nzuri ya kwenye party ya birthday na ni night party kwaukweli yule mdada alinichaguliaa nguo kali tulitoka hapo nikapelekwa kwenye spa kubwa ipo pale sinza aliniacha hapo niandaliwe na yeye akaelekea kujiandaa, nilipigia dada nikamwambia kwamba nitachelewa kuna kikaoo hadi usiku hivyoo ntachelewa alinambia yeye mwenyew kuna sehem anaenda na boyfriend wake,sikutaka kumwambia kitu chochote kuhusu hata hii party sikujua kwanini ila sikutaka ajuee kabisa, nilipambwa jamani nilipendeza mimi, nilikuwa najiona kam malaika gauni la taut jeusi lenye vimnga'ao flani like stoke fupi lilinichonga sana lilikuwa juu ya magot wig langu lilikuwa la bei ghali mpaka nilikuwa naogopa kulivaa na high hills zangu nilinoga mimi sema sikuwa huru kutokana na the way nilivyovaa sikuzoeaa kuvaa hivyoo kabisa mimi kwenye maisha yangu toka najielewa, hay mambo ni ya dada yangu ila sio mimi

Alifika Boss alikuwa na yeye kapendeza kavaa kigentle men suti yake safi nyeusi alipendeza mnoo, ila alinisifiaa mmi sikumsifia hata mimi wa kike namsufiaje sasa? Ila aliniona kabisa sina uhuru, tulienda mpak kwenye party sasa ilikuwa ni bonge la party yaani hapo wamejaa watu wazito wazito tu muda huo Boss aliniomba aniache akasalimianee na watu wengine waliokuwepo pale, niliitikia nikabaki peke yangu kwa muda mrefu kidogo plus na vile sikuwa na amani alikuja mdasa mmoja kavaa nguo fupi kuliko hata yangu sijui alikuwa kalewa aakanza kuniuliza maswali ya ajabu kweli na nilikuwa namjibu kawaida tu " inaonekana we ni mgeni wa hay mambo wenzako wanakuwaga wanachangamka wapo na wakak kama wote au nikuitiee nilikuwa namshangaa mara naona anawalta vijnaa wakaja pale wakanza nizunguka wakinithamanisha uzuri wangu, na jinsi nilivyopoa walikuwa watatu mmoja alinishika nywele" wee binti mrembo hivi unaakaaje peke yako?" Nilimtizama tu maan nilikuwa najiuliza kam hadi kwenye party za kishuaa hawa watu wa haina hii wapo nililosa amani, hadi machozi yakawa yananitoka "mrembo unalia nini saa, mtoto mzuri kam wewe hutakiwi kulia Ila unataka kampan, nilimtizam tu jaman hapo nina wasi wasi maana kila mtu alikuwa na busy zake pale hakuna anaejali kabisa kuhusu mimi, mhh sijui Boss alitokea wapi wale vijana

walivyomuona wakaondoka chap kwa haraka,

nilijikuta namkumbatia kwa nguvu mnoo jamani

maan nilikuwa natetemeka akaona sipo

naamani akaamua kunichukua akanipeleka

upande wa juuu maana ilikuwa ni hotel kwahy

kulikuwa na vyumba,

"Upo na amani sasa, nitoke maaana kuna vitu namalizia ntakuja kukuchukua tuondoke utanitafuta hata kwenye simu sawa?" Nilikuwa sitaki kubaki peke yangu nilikuwa nawasiwasi sana nilimkumbatia bila kuongeaa kwa kumaanisha nataka kubaki naee hee kumkumbatia tu nikaanza kuhisi kama kuna utofauti kwake kwenye reaction ya kumkumbatia maan nilijitahid kujitoaa akawa kanishikilia kwa nguvu, wewe akanilua uso kwa kidole akaanza kunipa juicee hii ilikuwa my first time sijawahi licha ya kupita chuo wanasemag wadada wa chuo sijui tupoje ila sijawahi nilijihisi tofauti kam kuna kitu kigeni kimeingia mwilini mwangu na yeye aliendelea kunipa juice muda huoo mkono wake unanipapasa mapajani maana pallikuwa wazi nilihisi kuchanganyikiwa mimi sijawahi kabisa hata kujaribu...

Inaendelea......
Soma mpaka mwisho

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss

mwenyewe kivuruge wee vaa sare zangu uendee, mimi naweza nikitoka kwenye mambo yangu nikaenda kucava pale dukani kwako sawa wee nenda tu Careen" alisema dada yangu, sisi ni mapacha na tunafanana kila kitu yaani kwa macho ya kawaida huwezi kututofautisha kabisa yaani maan hakuna mwenye alama kati yetu inayotutofautisha kwamba sisi tupo wawili kwasababu hadi pale mtaani watu huwa wanatuchanganya, mimi naitwa Careen na dada anaitwa Catherine, hatuna wazazi, wazazi wetu walishakufa muda mrefu sana umepita na hivyo ndugu wa baba wakawa wametutenga na kuchukua mali za wazazi wetu na kututelekeza bila huruma, ila tulichukuliwa na mama yetu mdogo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-1-5-_______________________________________-sehemu-ya-kwanza-haya-leo-un

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-chomoa-mimi-sio-jamani
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *     Chapter 17   "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
 *BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *   Chapter 19&20  Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 19&20 Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18  Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *      Chapter 10  "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Nilikuwa nina wasi wasi isivyo kawaida yaani ilibidi kwanza kabisa sijaingia theatre kwanza ilibidi niende kwenye chumba cha...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Nilikuwa nina wasi wasi isivyo kawaida yaani ilibidi kwanza kabisa sijaingia theatre kwanza ilibidi niende kwenye chumba cha...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12  "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9  Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9 Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Mwanamke wako kwahyo usiniambie umetembeaa na Careen?
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mwanamke wako kwahyo usiniambie umetembeaa na Careen?
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13  Search  "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7  "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *14&15*  Mamdogo alitukaribisha vizuri sana yaani, tena alituchangamkia mno na mama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *14&15* Mamdogo alitukaribisha vizuri sana yaani, tena alituchangamkia mno na mama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8  "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *6  * *SEHEMU YA SITA* Aliongeza kunipa juice hapo mwili unavibrate balaa jamni huyu boss sijui anataka nini jamani kunipatia dhambi tu mimi...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *6 * *SEHEMU YA SITA* Aliongeza kunipa juice hapo mwili unavibrate balaa jamni huyu boss sijui anataka nini jamani kunipatia dhambi tu mimi...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

577
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

507
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

255
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

254
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

234
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

232
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

159
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

99

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest