Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
29 Oct 2025
765 views
VYOTE NDANI GONGA94
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *14&15* Mamdogo alitukaribisha vizuri sana yaani, tena alituchangamkia mno na mama
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mdogo hanaga mtoto kwahyo sisi toka wazazi wetu wamefariki huyu ndio ametulea kwa uzuri japo kwa shida kwa kuwa maisha yake sio mazuri yaani tunachoshukuru ni wale wafadhali tu mhh bila hivyoo hapana kingetulamba tusingefika hapa tulipo na Marquis tayari alihadithiwa kila kitu na kila jambo kuhusu sisi binafsi toka wadogo mpaka tulipofikia kwa hapa tupo watu wazima * Mama naweza kusema samahani, pole na asante pia kwa kunikuzia huyu mfanyakazi wangu bora na huyu mke wangu mtarajiwa, kwa maana nataka nikienda huko safarini nikirudi nakuaj kumuoa kabisa sitaki kumpoteza huyu ni wa thamani sana kwangu nampenda sana huyu mwanao mama" alisema Marquis
"Sawa baba ila nina swali mimi siwezi kukupa binti yangu japo nimekubali na nimekushukuru kabisa kwa huu msaada wako mkubwa sana ila baba yangu licha ya kwamba wewe ndio boss wa binti yangu na mume mtarajiwa wa binti yangu pia kama ulivyojieleza sas hatukujul ulipotoka wazazi wako na wewe binafsi sasa ntakupaje binti yangu?" Alisema mama mdogo muda huo Catherine akadakia "au mwenzetu unajuaa eeh mambo ya shem darling nilicheka. tu maan hili ni lijinga linaropoka tu wakati wote yaani sijui yupoje huyu dada yangu kha, hee kumbe hujui mhhh mazitoo utaolewa na majini we haya" nilitabasamu tu maan alinichekesha sana huyu maaan kaongea kwa sauti wote tumesikia yaani Catherine hapana mpaka mama mdogo alimchamba " hebu wee kuwa na staha huoni mgeni yaani jamani wewe upo tofauti kabisa na mwenzioo nilibaki namtizama tu huyu mdada
"Sawa mama mimi naitwa Marquis Methew kwetu tupo watatu mimi na dada zangu ila wazazi wangu wapo Arusha kwa sasa japo baba ndio yupo South Africa kikazi mimi ndio mkubwa na wa pili mdogo angu wa kike anaitwa Grace na huyu wa mwisho anaitwa Groly wote wanasoma nje ya nchi na mimi nipo hapa kikazi nina miaka 36 kwa sasa ilaa.... ndio hivyoo nikama kuna kitu alitaka kusema akatulia kimya nilishtuka jamani mimi nina miaka yangu 25 japo sio mkubwa sana ila 36 kwangu niliona parefu, mama mdogo alituruhusu tukaondoka zetu ila alimuachia card incase kam kuna shida itatokea ajimudu na kuna maelekezo alimpa dada sikujua ni maelekezo gani ila alimpa dada, tulipanda. ndege kuelekea huko nchi za watu wa India kwa ajili ya matibabu yangu tulitumia passport ya dada kukata ticket yani kwasabbu mimi sina passport na dada alipata kwasababu pale officine kwako huwezi anza kazi kam huna passport
Tulichukua siku mbili kufika maan tulipanda kutoka hala tz tuakenda Ethiopia kisha ndio tukachukua ndege mpaka India tulifikia hotelini tulikaa kam siku mbili maan ya tatu ndio tulipangiwa ratiba ya matibabu yangu mimi, hii siku nilikuwa na wasi wasi mnoo nilikuwa najua naenda kupasuliwa tu mimi nakufa sina jinsi tena ya kuishi maan wanaenda kuuchezea moyo Marquis alijaribu kuniweka sawa lakini hil haikusaidia kitu kwangu nilikuaa mwenye wasi wasi mno
"Marquis naomba tufanye kidogo tu maaana nahisi hii siku ndio itakuwa pengine ndio ya mwisho wa mimi na wewe kuonana" alinitizama kwa huruma kweli, akanishika mkono usijali mke wangu utakaa sawa sawa mwana mke wangu, nilimuomba san tufanye, nakumbuak hamna siku noshawahi muomba kam hii siku niliomba sana" usijali mke wangu ukimaliza operation nitakupa unachotaka mke wangu sio vizuri kesho unaingia kwenye operation halafu unafanya s*x leo sio salam tena kwa operation ya moyo haifai kabisa mpenzi wangu" nilikubali nikaamua kulala nimemkumbatiaa maan nilikuwa nina wasi wasi mno, sijwahi kuwa na
nikaamua kulala nimemkumba nilikuwa nina wasi wasi mno sijw. wasi wasi kiasi hiki, usingizi has nimekuja kualala saa 11 alfajiri yaan nashngaa naaamshwa nijiandaee siku yenyewe maalum imefika sasa
Itaendelea....
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo ...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *14&15* Mamdogo alitukaribisha vizuri sana yaani, tena alituchangamkia mno na mama
mdogo hanaga mtoto kwahyo sisi toka wazazi wetu wamefariki huyu ndio ametulea kwa uzuri japo kwa shida kwa kuwa maisha yake sio mazuri yaani tunachoshukuru ni wale wafadhali tu mhh bila hivyoo hapana kingetulamba tusingefika hapa tulipo na Marquis tayari alihadithiwa kila kitu na kila jambo kuhusu sisi binafsi toka wadogo mpaka tulipofikia kwa hapa tupo watu wazima * Mama naweza kusema samahani, pole na asante pia kwa kunikuzia huyu mfanyakazi wangu bora na huyu mke wangu mtarajiwa, kwa maana nataka nikienda huko safarini nikirudi nakuaj kumuoa kabisa sitaki kumpoteza huyu ni wa thamani sana kwangu nampenda sana huyu...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-14-15-mamdogo-alitukaribisha-vizuri-sana-yaani-tena-alituchangamkia-mno-
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Nilikuwa nina wasi wasi isivyo kawaida yaani ilibidi kwanza kabisa sijaingia theatre kwanza ilibidi niende kwenye chumba cha...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mwanamke wako kwahyo usiniambie umetembeaa na Careen?
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * *6 * *SEHEMU YA SITA* Aliongeza kunipa juice hapo mwili unavibrate balaa jamni huyu boss sijui anataka nini jamani kunipatia dhambi tu mimi...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *1-5* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Haya leo unaenda officine kupitia jina langu, mimi nina dharura bhana ujuee ohoo yule Boss
Maoni