Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8  Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
Gonga94 · Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Nikaweka maji kwenye sufuria, nikatia sukari, nikatia kapakti kadogo ka ile kahawa nyeusi kisha nikachemsha pamoja. Baada ya muda kidogo, kila kitu kikawa tayari. Nikaiweka kwenye kikombe chake maalum nikalpeleka mezani.

Basi Elton alivyoshuka chini akakuta kikombe mezani cha kahawa akafurahi. Akaenda moja kwa moja mezani akaanza kunywa lakini ilipofika kwenye koo Alitema kisha akapiga kelele

"We tapeli! Njoo hapa haraka!"

Niliposikia tu ile sauti ya hasira, nikajua nimeharibu. Nikakimbia hadi dining, nikamkuta amekaa akiniangalia vibaya.

"Una akili kweli? Hivi ndio unavyopika black coffee?"

Sikusema kitu nilinyamaza

"Kwa nini umeweka sukari ndani? Na tena umeweka nyingi hivi?"

Sio uongo nilitia sukari nyingi maana huwa napenda sana vitu venye sukari sukari, nikadhani na yeye anapenda hivyohivyo, Kumbe hapana ndo niliharibu kabisa. Ikawa sio black coffee tena balli maji ya asali

"Am sorry, pole sikujua

Akanitazama kimya kwa sekunde chache, akavuta pumzi kama mtu anayejizuia asinirarue.

"Leo cousin wangu anakuja, Nataka upike chakula cha mchana. Anapenda mihogo ya nazi. Na pia utatengeneza mchuzi wa kuku, Umenielewa?"

Nikajibu "Ndiyo, nimekuelewa"

"Kama ukiharibu tena na mcharia, utajua kwanini watu huniogopal Akaondoka zake, kidogo Nilishusha pumzi kuwa Angalau hakunipa adhabu.

Majira ya mchana mchana Nikajitayarisha kupika. Nikaenda kwenye fridge nikachukua kuku na viungo, lla tatizo kubwa sikujua kupika chochote...

Najua mngesema ni google, lakini mimi sikuwa na bando wala hela ya kununua bando. Mtu pekee ambaye angeweza kunisaidia alikuwa mlinzi, lakini Elton alikuwa amemtuma mjini. Nikasema basi, sina namna ngoja nijaribu tu

Nikaosha kuku nikamuweka pembeni, nikakata nyanya, vitunguu na pilipili, nikaweka pamoja. Vyote nikavitia kwenye sufuria na maji ya kutosha. Apo kwenye maji ya kutosha nilitia maji kweli kweli.

Nikaacha vichemkie weee, vilipokaribia kuiva, nikaweka chumvi ila nilisahau kuonja kama ilikolea.

Baada ya hapo, nikaanza maandalizi ya mihogo

ya nazi. Nilikata mihogo kwa jinsi nilivyojua mimi, nikaosha kisha nikachemsha pamoja na nazi.

Ndani ya kama nusu saa kila kitu kilikuwa kimeiva.

Nikapanga mezani vizuri kabisa, kama vile wafanyakazi walivyokua wanaandaa meza nyumbani kwetu. Meza ilikuwa smart, chakula kinanukia vizuri. Nikaamini labda leo sitahaharibu chochote.

Saa nane hivi Elton akarudi na cousin wake. Nilivyowaona nikashangaa kumbe cousin si mwanamke, ni mwanaume. Jamaa anaitwa Elijah.

Duh, mzuri balaa. Alivaa smart, anatabasamu

mda wote na anaongea vizuri tofauti kabisa na kisirani Elton. Alipoingia ndani akanitazama, akatabasamu na kunisalimia. Ila Elton yeye alinipita tu kama hanioni viles.

Wakaingia sebuleni wakakaa kisha nikaagizwa nipeleke wine. Nikaenda jikoni ambako kuna kakabati kadogo ka wine. Ndani ya kabati kulikua na chupa moja ipo nusu tena ni wine pendwa ya Elton na ndiyo hiyo niliagizwa.

Bhana wee ile nimeshaitoa tu kabatini, sijui ilikuaje nikateleza niikadondosha ile chupa ya wine chini, paaaaah ikavunjika! Yani ule mlio wa chupa kuvunjika uliwafanya Elton na binamu yake wote waje jikoni spidi spidi.

Elton alifika wa kwanza akiwa na hasira.

"Hii ni nini sasa? We mikono yako haina nguvu? Kila kitu lazima uvuruge?"

Nikajibu kwa sauti ya woga "Sorry.......niliteleza tu, halkuwa makusudi"

"Kila dakika wewe ni makosa tu unafanyal Kila siku upuuzi mpyal We ni mwanamke wa aina gani? Lakini kwenye utapeli ndo wa kwanza"

Nikanyamaza tu, machozi yananilenga, ikabidi Elijah ajaribu kumtuliza

"Bro, achana naye. Ameomba msamaha. Ni ajali tu"

Elton akamjibu kwa hasira "We kaa mbali na huyu tapeli. Mimi ndo ninae mjua vizuri"

Elijah akasema kwa upole "Sawa, lakini usimkasirikie sana"

Elton akatulia kidogo kisha akaondoka zake. Elijah nae akamfuata sebuleni.

"Bro usichukie bhana"

"Its okay Elijah! Mda umeenda ngoja tule kwanza Alissema Elton akivuta akae huku Elijah akifungua hotpot

Ajabu ni kwamba Elijah alipofungua hotpot alianza kucheka vibaya mno. Elton akamuuliza, "Kwani nini kinachekesha?"

"Bro, hii lazima ulone mwenyewe!"

"Nini?" Elton akasimama kuangalia kwenye hotpot, alichokiona kilimfanya acheke kidogo badala ya kukasirika.

Mnajua nilivyopika ile mihogo Nilitia nazi nzima? Yani vile vile na vifuu vyake hata sikuvunja wala kukuna. Nikaacha zichemkie huko na ile mihago

Alafu kwenye hotpot ya kuku, ilikuwa kama supu ya maji, kuku anaelea juu juu kama anaogelea.

Elton akasema "Unaona sasa kwa nini mimi ni mkali kwake? Hii ndio kazi anafanya! Hebu fikiria ningekuwa nimeleta wageni muhimu leo, ningeumbuka namna gani? Lakini kabla sijaumbuka, lazima nimfundishe adabu!"

Je nini kitaendelea?

Nakuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo

. Nikaweka maji kwenye sufuria, nikatia sukari, nikatia kapakti kadogo ka ile kahawa nyeusi kisha nikachemsha pamoja. Baada ya muda kidogo, kila kitu kikawa tayari. Nikaiweka kwenye kikombe chake maalum nikalpeleka mezani.

Basi Elton alivyoshuka chini akakuta kikombe mezani cha kahawa akafurahi. Akaenda moja kwa moja mezani akaanza kunywa lakini ilipofika kwenye koo Alitema kisha akapiga kelele

"We tapeli! Njoo hapa haraka!"

Niliposikia tu ile sauti ya hasira, nikajua nimeharibu. Nikakimbia hadi dining, nikamkuta amekaa akiniangalia vibaya.

"Una akili kweli? Hivi ndio unavyopika black coffee?"

Sikusema kitu nilinyamaza

"Kwa nini umeweka sukari ndani? Na tena umeweka nyingi hivi?"

Sio uongo nilitia sukari nyingi maana huwa napenda sana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-chapter-8-nilikumbuka-jinsi-chai-inavyopikwa-nikadhani-labda-kahawa-nayo-ni-h

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-chapter
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*   Chapter 7  Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 7 Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

349
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

241
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

162
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

101
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest