Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
Gonga94 · Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"We unataka kunius?"

Nikamuuliza "Kwani unamaanisha nini?"

"Hivi chakula gani kile ulichopika? Unataka tule tufe? Una akili kweli wewe?'

Nikajibu kwa upole, "Lakini nilijaribu kadri ya uwezo wangu. Ukweli... Sijui kupika"

Elton akashangaa "nini? We hujui kupika? Msichana mzima. kama wewe? Kazi yako ni kutapeli watu na

kuongea ovyo, lakini hata chakula rahisi hujui kupika? Kwanza uliniharibia nguo zangu, pili ukaharibu kahawa yangu, tatu ukaharibu chakula chetu, then umenivunjia wine yangu ya bel Unadhani nitaendelea kuvumilia mpaka lini?"

Alipiga meza kwa hasira kidogo akaendelea

kusema, "Mimi nimechoka. Nitakurudisha selo. Sitaki tena kukulipia hilo deni lako. Mkataba wote tuliokuwa nao, umeisha, Leo nakurudisha kituo cha polisi

Weeeh Niliposikia hivyo nusu nizimie

Nikagundua nimeharibu kweli. Nikaanza kumuomba msamaha, nikipiga magoti kabisa, lakini hakuongea kitu. Alichukua furiguo za gari, akamchukua Elijah wakatoka wote wawili

Walikwenda kula nje kwa sababu chakula nilichopika hakifai kuliwa. Walifika kwenye mgahawa mmoja, wakaagiza chakula. Elton bado alikuwa na hasira hakutulia kabisa. Elijah akamuuliza

"Bro, sasa niambie ukweli. Kuna nini kati yako na yule demu?"

Elton akaanza kumueleza kila kitu kuanzia siku tulivyokutana mpaka yote yaliyotokea. Alipomaliza, Elijah alianza kucheka vibaya mpaka Elton akammaindi

"unacheka? Hii si kitu ya kucheka"

"Yaani bro, demu alikuambia una kibamia eeh! Aiseee amekua na ujasiri wa kukwambia hivyo? Kawaida watu wote wanakuogopa

"Muulize nilichomfanya! Nilimikuna mpaka akaomba majił Yani kila nikimuona lle kauli yake. ya kusema nina kibamia inanicheza kichwani.

Lengo langu ni kumyoosha mpaka anyooke lla kwa sasa nimechoka, bora nimrudishe nilipomtos

"Aaah bro, achana nayo bwana. Msamehe tu Unaona kabisa hajui hata mambo ya kawaida kama kupika. Sidhani kama anajua chochote yulee

"Kama hajui kupika nifanyeje? Unataka mimi nile nje kila siku? Hapana. Wakati mwingine nataka chakula cha nyumbani alilalamika Elton

"Basi urnfundishe"

Elton akacheka kidogo, "Sina muda wa kufundisha mtu. Kila siku niko kazini. Nikirudi

nyumbani nataka nipate chakula nishibe niende. kulala. Ndo sababu nyingine iliyo fanya nimchukue kama house girl"

"Acha uongo bwana. Hukumchukua kwa ajili ya kazi ya nyumbani peke yake. Ulitaka kumkomoa tu kwa maneno allyokuambia"

Elton akakubali, "Ndio, nilitaka kumlipiza kisasi -na nimeshafanya hivyo

"Basi kama umemlipizia, mpe nafasi nyingine. Na mimi nadhani huyo demu siyo tapeli. Angalia

mavazi yake, yanaonekana ya bel. Pia vile anavyoongea, ana sauti ya mtu aliyelelewa vizuri. Sidhani kama anatoka familia duni

"Usidanganywe na sura yake. Wanaigiza mpaka

unaamini Kama kweli anatoka familia nzuri, unadhani kwanini walimuacha selo bila kumtoa?

Alisema hana mtu wa kumlipia dhamana, ndiyo nikamsaidia. Bro usiruhusu akuingie kichwani

Elijah akasema "Sawa bro"

Wakati huo huo waiter akawaletea chakula. Wakala na kubaki huko hadi jioni.

Upande wangu mimi, nilikuwa nangoja warudi Nilihitaji kumuomba Elton asinirudishe selo. Nyumba yake ilikuwa bora mara elfu kuliko selo yenye mbu, sakafu chafu na harufu mbaya. Sikutaka kurudi kabisa.

Niliendelea kusubiri, hadi usiku wa manane niliposikia honi ya gari. Mlinzi akafungua geti,

Elton akaingia na gari lake. Kabla hata hajashuka nilikuwa kwenye mlango, nikapiga magoti, nikiomba msamaha. Lakini hakusema kitu, Alishuka kimya kimya, akaingia ndani

Elijah akaniangalia akasema kwa upole, "Haupaswi kupiga magoti. Hujafanya kubwa mbona

"Lazima nimwombe msamaha asinirudishe kituo cha polisi

Elijah akatabasamu kidogo, "Sidhani kama atakurudisha. We jitahidi tu kufanya mambo

vizuri Usijali

"Najaribu lakini kila nikifanya kitu naishia kuharibu tu. Na pia Sijui mambo mengi

"Usijali, nitakusaidia. Cha muhimu sasa, nenda ulale. Kesho anza upya"

"Asante sana"

"Ginah

Akauliza "Jina lako nani maana Elton anakuita tapeli?"

"Mimi ni Elijah. So Tutaonana kesho, byeee" Akaingia zake ndani na Nilirudi kwenye store nikalala Kabla sijalala, nikaweka alarm asubuhi niamke mapema.

Asubuhi sasa Nikaamka nikaaanza kusafisha nyumba. Wakati niko jikoni nikianza kuandaa kahawa ya Elton, Elijah alikuja

"Good morning Gina

Nikajibu "morning Elijah"

"Unapika nini?"

"Ninatengeneza black coffee ya Elton. Hawezi kuanza siku bila kunywa kahawa

"Lakini unajua kuipika vizuri?"

Nikashusha macho nikasema "Hapana, sijui"

"Sawa, siyo vibaya. Nitakufundisha

Nikashangaa, "Kweli?"

"Ndio"

Kwell Akanifundisha hatua kwa hatua. Nikafuata maelekezo yake. Mwishoni kahawa ikatoka bomba sanal Nilifurahi mpaka nikatamani kulla

"Sasa chukua hil kahawa, mpelekee Elton. Hapo

ndipo njia pekee ya kumuomba msamaha. Labda atakusamehe okay?" Alinammbia

Nikasema "Sawa"

Nikapeleka kahawa mezani nikisubiri Elton aje

kunywa. Baada ya mda Elton akaja, akaiona kahawa lakini hakuonyesha kama ana nia ya kunywa. Nikamwambia kwa upole

"Nimetengeneza kahawa yako"

"Naiona. Umeweka sukari tena? Au umeweka sumu ili ikolee vizuri??"

"Hapana, leo nimejitahidi kweli. Please jaribu

Elton alinyamaza kwa muda, akaangalia kile kikombe, akakinyanyua, akanywa kidogo. nikaona macho yake yamebadilikal Kahawal ilikuwa perfect kabisa

Akanitazama kisha akasema "Good job" Kisha akaondoka zake.

Kwa mara ya kwanza tangu tumefahamiana, Elton aliniambia neno zuri. Nilifurahi vibaya mno mpaka nika blush wapendwa

Je nini kitaendelea?

Nakuja

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira

"We unataka kunius?"

Nikamuuliza "Kwani unamaanisha nini?"

"Hivi chakula gani kile ulichopika? Unataka tule tufe? Una akili kweli wewe?'

Nikajibu kwa upole, "Lakini nilijaribu kadri ya uwezo wangu. Ukweli... Sijui kupika"

Elton akashangaa "nini? We hujui kupika? Msichana mzima. kama wewe? Kazi yako ni kutapeli watu na

kuongea ovyo, lakini hata chakula rahisi hujui kupika? Kwanza uliniharibia nguo zangu, pili ukaharibu kahawa yangu, tatu ukaharibu chakula chetu, then umenivunjia wine yangu ya bel Unadhani nitaendelea kuvumilia mpaka lini?"

Alipiga meza kwa hasira kidogo akaendelea

kusema, "Mimi nimechoka. Nitakurudisha selo. Sitaki tena kukulipia hilo deni lako. Mkataba wote tuliokuwa nao, umeisha, Leo nakurudisha kituo cha polisi

Weeeh Niliposikia hivyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-chapter-9-elton-alikuja-jikoni-pale-nilipokuwa-nimekaa-akanikamata-mkono-wang

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-chapter
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8  Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*   Chapter 7  Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 7 Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

793
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

570
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

484
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

332
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

293
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

90
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest