*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto na kitaulo. Alianza kunikanda taratibu kichwani na mwisho akan
Wakati huo Elijah alikuwa amelala, hakuwa na wazo lolote kwamba nilikuwa mgonjwa. Alieniuguza na kunihudumia usiku huo alikuwa Elton.
Nilishangaa jinsi alivyokuwa akinajali, kama vile sio yeye mwenye kisirani. Alinijali hadi pale joto langu liliporudi kawaida, kisha akapanda kitandani, akakilaza kichwa changu kwenye kifua chake, akizichezea nywele zangu taratibu
Mnajua nilifurahia kiasi gani kulalia kifua chake? Nilifurahia sana, nikapata na usingizi ukiingia kwa sababu nilipenda namna alivyokuwa anacheza na nywele zangu. Tukajikuta Tunalala pale mpaka asubuhi.
Palipokucha tuliamka kwa kushtushwa na sauti ya mlango kugongwa. Elijah ndie alikuwa akigonga mlango. Elton kwa utulivu akaweka kichwa changu kwenye mto, kisha akainuka kwenda kufungua mlango. Akakutana na Elijah.
"Ginah simuoni! Nimeenda jikoni, sijamkuta. Mpaka storeroom pia hayupo! Atakua wapi?" Elijah alionekana kupaniki
"Gina alikuwa mgonjwa, ndio maana amelala chumbani kwangu"
"Nini?"
Elton alisogea kidogo ili Elijah aone ndani. Na kweli Elijah akaniona nikiwa kitandani, akahisi wivu kidogo. Ikawa wazi kuwa, Elijah naye alinitaka pia
Elijah kwa upole aliuliza "Anaendelea sasa ivi?" "Yuko sawa"
"Ok! basi nitaenda chumbani kwangu"
Elijah aliondoka ndipo Elton akafunga mlango na kurudi kitandani. Hakulala tena bali alinitazama usoni. Alipenda tu jinsi nilivyokuwa na sura nzuri, iliyomfanya asichoke kunitazama.
Niligundua ilo kwakua sikua nimelala. Nilihisi aibu kiasi cha kunyanyuka haraka.
"Unajisikia aje? Uko sawa?"
"Niko sawa sasa, asante" nilishukuru
Nikainuka kutaka kuondoka akaniuliza, "Unaenda wapi?"
"Nataka kwenda kufanya usafi"
"Hapana, leo hutafanya kitu. Lala hapa kwanza Nataka upumzike"
"Nitapumzika kwenye storeroom yangu kama ulivyo sema" Jibu langu halikumpendeza Elton.
Alisimama akanisogelea karibu zaidi "Unakwenda kwell storeroom? Ama usham mmiss Elijah unataka kwenda kumuona?"
"Una maana gani?"
"Wewe na Elijah mna uhusiano wa karibu na sipendi. Kumbuka, uko hapa kwa sababu yangu sio Elijah. Sitaki uwe karibu naye"
"Kwa nini? Elijah ni rafiki tu" nilishindwa kuelewa wivu wake ulitokea wapi
"Hakuoni kama rafiki. Anaanza kupata hisia na wewe"
"Nini?"
"Nadhani Elijah anaanza kukupenda"
"Sawa, kama anapenda siyo jambo baya. Nitakua jinsi ya kufanya"
Elton akakasirika "kitu pekee cha kufanya пі kuvunja urafiki wenu usio na maana"
Nilishangaa sana, "ayo ni maamuzi yangu! Huwezi kunichagulia marafiki....Niachie niende"
Elton hakutaka kuniacha. Alinivuta karibu,
Elton hakutaka kuniacha. Alinivuta akanishika kiuno, kisha akainama k kunibusu lispsi zangu. Ni Busu nikulitarajia ila kwa namna fulani nilifu
lakini subiri, utasikia kinachofuata
Episode inayofuata. Nakuja
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni