Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
Gonga94 Β· Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Huyu ni mwanaume aliyenitesa, aliyenifanya nilie kila dakika, lakini eti naenjoy kiss lake. Na cha ajabu zaidi, nilitamani aendelee ila jamaa aliniachia

"Nenda kalale tena, mimi naenda kukutengenezea breakfast"

Nikamuuliza "Breakfast?"

"Yes breakfast. Subiri kidogo, narudi

Mimi nikajipumzisha tena kitandani kama

alivyonambia kisha yeye akatoka kwenda jikoni

kuandaa breakfast Nilidhani utani lakini Baada ya muda kidogo, alirudi akiwa na tray mkononi. Akanigusa bega kidogo kuniasha niamke

"Amka, ule"

Nilipoangalia kwenye tray, niliona mayai, pancakes, sausage, chai ya maziwa na juisi pembeni. Nikamwangalia pasipo kummaliza

"Mbona umeandaa vyote hivi?"

"Kwa sababu wewe ni mgonjwa, unapaswa kuta vizun. Ukimaliza kula tunaenda hospitali

"Kwani Hauendi kazini leo?"

"Nol nabaki home, nataka kuhakikisha uko

sawa

Nilijiskia vizuri si uongo basi Nikala nikiwa najisikia aibu kidogo kwa sababu alikuwa ananiangalia muda wote. Nilipomaliza kula akachukua tray akaenda nalo jikoni.

Kwakua alisema tutaenda hosppitali, Mimi nikaingia bafuni kuoga. Nilivaa kagauni kangu keupe hako kanani kaa hatari Utadhani si hospitali tulikua tu tunaenda. Hadi Elijah alipo tuona alituangalia pasipo kutumaliza

"Mnaenda wapi nyinyi wawili?" Aliuliza

Elton akajibu haraka "Namsindikiza Gina hospitali

"Hiyo ndo poa. Naweza kuja nany?"

Elton akamkatia "nol tutarudi mda sio mrefu"

"OK"

Niliona wazi Elijah hakupenda majibu yale, kama

vile alitaka twende wote lakini Elton hakuwa na hiyo mood. Basi hao tukasepa zetu kwenda hospitali. Njiani tulikua kimya ila Elton kila

dakika aligeuka kunitazama kama nipo sawa

Na Tulipofika hospitali, alinifungulia mlango nikashuka kwa madaha kama vile Mrs Elton mwenyewe. Alafu uzuri Elton alikua anamfahamu daktari mmoja pale, kwaiyo

mambo yalikwenda chap chap

Elton Hakutaka kabisa nikae kwenye foleni, eti aliogopa naweza kuzidiwa. Hata kwa dokta tuliingia pamoja! Alikaa karibu yangu kana kwamba hakuta niwe peke yangu

Baada ya maelezo yangu, daktari akaniambia

niende maabara kupima damu na mkojo. Hata huko nako Elton alinisindikiza. Nilijisikia albu sana kwa sababu watu walikuwa wanatutazama

kama vile sisi ni mke wa mume wakati ukweli

tullujua wenyewe. Yaani hata kwenda chooni, alikuwa nyuma yangu Nikamgeukia

nikamuuliza,

"Mbona unanifuata kila sehemu?"

"Na kama nikikuacha ukatoroka je? Kumbuka bado wewe ni mtuhumiwa

Nikacheka kwa upole "Kama ningetaka kutoroka

ningeshatoroka toka siku ya kwanza. Nimebaki kwa sababu nataka kumaliza makubaliano yetu

"Sikuamini kirahisi hivyo. Nitakufuata kila. unapokwenda

Na kweli alifanya hivyo. Alikaa nami mpaka majibu yalipotoka. Daktari akaniambia nina typhoid, na nimekuwa kwenye baridi muda

mrefu. Akanishauri nile vizuri, nilale kwa muda wa kutosha na nizingatie dawa. Kabla sijasema kitu Elton akawai kujibu kabla yangu

"Usijali daktari, Nitahakikisha anameza dawa kwa muda unaotakiwa"

Ndipo Daktari akaridhika na majibu ya Elton,

akaniandikia dawa tukaenda kuzichukua famasi

Nikadhani baada ya pale sasa tungeelekea nyumbani, wala haikua ivyo. Elton alinipeleka kwenye mall kubwa akadai eti anataka aninunulie mahitaji yangu.

Sikuamini mnajua?? Mimi nilibaki namshangaa Jinsi alivyo chagua viatu, saa, pafyumu hata kuna gauni moja jekundu ambalo lilikuwa zuri sana akaninunulia. Duuh! Nikasema Elton ni mzima

kwell??! Mbona kama naota

Na Baada ya pale tukaenda kwenye mgahawa Akaninunulia chakula kizuri sana. Tukakaa, tukala, ila hakua hata akiongea. Angekua Elijah pale angesha ongea mpaka kero. Ila Elton yeye sio mtu wa stori sana lakini hamuwezi amini

hata sikujalil Nilipenda alivyo

Tulipomaliza kula ndo tukarudi nyumbani,

tukakuta Elijah ameandaa msosi mezani. Kwalyo mchana mzima alikua akiandaa chakula cha mgonjwa

"Yooh mmechelewal Nimepika hadi chakula cha mchana aka smile

Nilipoangalia mezani kweli nikaona kuna hotpot mbili kubwa pamoja na sahani Hakua akitania kakaa wa watu. Bahati mbaya sisi tayari tulikuwa tumeshiba

Elton akatabasamu "Asante bro, lakini tumekula huko nje"

"Basi sawa, nitakula mwenyewe" Elijah Akaenda mezani akajipakulia chakula na kuanza kula mwenyewe.

Dakika iyo iyo Elton alipokea simu ya dharura kutoka kazini, ikabidi aondoke haraka. Kabla hajaenda aliniambia nisisahau kumeza dawa,

nikamjibu sawa

Baada ya Elton kuondoka ndo nikapata nafasi ya kuzungumza na Elijah maana Elton hakutaka

niongee naye kabisa, wivu ulimsumbua. Nikasogea taratibu pale mezani nikakaa

pembeni yake.

"Sorry, hatukujua kama umepika"

"Its okay! sina shida"

Akanitazama kwa muda kisha akauliza "Unaendeleaje sasa?"

"Niko sawa, ingawa mwili unauma uma bado

"Wewe na Elton kuna nini kinaendelea? Maana tabia yake imebadilika sana kwako"

"Sijui Tangu nimeanza kuumwa, amekuwa

tofauti. Ananijali, ananipikia, ananunua nguo, leo tumeenda hadi luch pamoja. Sijui nini kinaendelea, lakini am happy

"Chunga sana Gina. Elton si mtu wa kuaminika. Anaweza kukuonyesha anajali kwa sababu tu

unaumwa.. Usianze kufikiria kuwa anakupenda, maana hakupendi

"Unamaanisha nini? Elijah

akacheka kidogo "Ameshasema mwenyewe kuwa hakupendi! Kwalyo

alichokufanyia chochote kile leo nikwasababu unaumwa na sio vinginevyo

Nilihist moyo wangu unaniuma sio mchezo Nilishaanza kumpenda Elton, na life busu la

asubuhi ndo lilibadilisha kila kitu. Nikajiuliza kama hanipendi, mbona alinibusu? Mbona ananijali hivi? Nilijisikia vibaya sana karibu

nianze kulia

Unajua nini kilitokea baada ya hapo? Subiri kidogo nakuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"



Huyu ni mwanaume aliyenitesa, aliyenifanya nilie kila dakika, lakini eti naenjoy kiss lake. Na cha ajabu zaidi, nilitamani aendelee ila jamaa aliniachia

"Nenda kalale tena, mimi naenda kukutengenezea breakfast"

Nikamuuliza "Breakfast?"

"Yes breakfast. Subiri kidogo, narudi

Mimi nikajipumzisha tena kitandani kama

alivyonambia kisha yeye akatoka kwenda jikoni

kuandaa breakfast Nilidhani utani lakini Baada ya muda kidogo, alirudi akiwa na tray mkononi. Akanigusa bega kidogo kuniasha niamke

"Amka, ule"

Nilipoangalia kwenye tray, niliona mayai, pancakes, sausage, chai ya maziwa na juisi pembeni. Nikamwangalia pasipo kummaliza

"Mbona umeandaa vyote hivi?"

"Kwa sababu wewe ni mgonjwa, unapaswa kuta vizun. Ukimaliza kula tunaenda hospitali

"Kwani Hauendi kazini leo?"

"Nol nabaki home, nataka kuhakikisha uko

sawa

Nilijiskia vizuri si...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-chapter-13-ile-busu-lilifanya-tujihisi-tupo-kwenye-dunia-nyingine-kwa-dakika-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending πŸ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-chapter
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8  Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*   Chapter 7  Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 7 Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

349
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

241
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

162
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

101
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.92K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.88K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe β€œBoss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu β€œsitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema β€œkamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice β€œkusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18 Post Mpya
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏑. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani β€œniondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest