Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 11-15 ) MWISHO
Gonga94 · Stories

NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 11-15 ) MWISHO

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Chombezo: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI????????????11.

Usiku ule tulimpeleka kaka Sam tulimpeleka kaka Sam hospitali iliyopo Karibu, tulipokewa na wauguzi na manesi wenye zamu ya usiku????. "ana tatizo gani huyu?" daktari mmoja mfupi mwenye mustachi mkubwa kama wazee wa kihindi alimuuliza baba. "Doctor hata sielewi nashangaa tu hali ya mwanangu imebadilika ghafla akawa hivyo????" baba aliongea kwa kufichaficha. "mzee Masumbuko hapa unatakiwa uwe mkweli siku zote ukweli humuweka mtu huru, kwa maelezo yako unaposema unashangaa tu hali hii imemtokea kijana wako ghafla basi inaonyesha kijana wako amelogwa, kingine kumbuka hii ni Tanga usipofunzwa na wazazi wako ulimwengu utakufunza, huenda Kuna jambo kijana wako amelifanya huko mtaani walimwengu wakaamua kumkomesha ipo hivyo mbane vizuri kijana wako ataeleza ukweli" Doctor alimwambia baba.

Lakini hata hivyo licha ya kwamba baba aliujua ukweli hakutaka kuweka wazi????, ukizingatia hospitali ile ni ya mazingira tunayoishi lakini pia doctor yule tulifahamiana naye. "Kwahiyo doctor Nasir unamsaidiaje kijana wangu, baba alimuuliza Doctor. "Unajua mzee masumbuko sio kila ugonjwa ni wa kupelekwa hospitali huyu kijana wako kama kalogwa mpeleke kwa mganga au kwa mashehe akasomewe dua au hata kanisani lakini hospitalini huwezi kupata ufumbuzi wa tatizo lake mimi nakushauri hivyo tu"Doctor alimshauri baba. Basi usiku ule wa hekaheka hatukutaka kupoteza muda, tulimtoa kaka Sam pale hospitalini na kumpeleka nyumbani kwa shehe majini. Tulipofika tulimgongea mlango akaamka. "Salad waleykum shehe" baba alimsalim, "waleykum mslam vipi kuna heri" Shehe Majidi aliuliza.

"Ah si swalama sheikh wangu, kijana wangu Sam amepatwa na uzuru, tumbo lake limevimba ghafla na kuwa katika hali hiyo naomba msaada wako shehe" skinhead baba. "Ooh basi karibuni ndani niwasaidie kumsomea visomo kijana wenu Allah atamuaufu na kumrejeshea hali yake ya kawaida" alisema sheikh Majidi. Basi tukaingia ndani kwa shehe na kuketi chini kwenye zulia kubwa sana, shehe aliwaza moto na kuweka mkaa wenye Moro kwenye chetenzo kisha akachukua ubani na msahafu na kuketi palepale kwenye zulia kaka Sam akiwa mbele yake. Shehe alianza kusoma dua kwa muda mrefu sana huku akichofa ubani, mara ghafla???? tumbo la kaka Sam lilizidi kuongezeka mara dufu kiasi kwamba shehe akagiza avuliwe shati, tumbo lilikuwa kubwa na lilichora michirizi mithili ya puto Linalotaka kubasti.

"Mzee masumbuko huyu kijana wenu anaonekana ana kiumbe ndani ya tumbo lake"alisema Shehe Majid. "Kiumbe??? ????" baba aliuliza kwa mshangao. "ndio huyu kijana kafanyiwa shiriki inavyoonekana na hapa mimi nimemaliza kumfanyia kisomo kinachotakiwa apelekwe hospitali akafanyiwe oparation lakini nikisema tuendelee kumfanyia dua, tumbo linaweza Kupasuka na kupelekea kupoteza uhai wake mpelekeni hospitalini" aliagiza shehe majid ilibidi tumpeleke kaka Sam hospitali nyingine usiku ule huku tukiambatana na shehe Majidi. Tulipofika shehe majidi aliwaelezea madaktari na manesi kwamba kaka Sam amefanyiwa ushirikina lakini amemsomea dua hivyo kuna kiumbe ndani ya tumbo lake wamfanyie operation wakitoe, aisee ilikuwa ni ngumu kwa madaktari kukubali, kwanza walionekana kuwa na woga sana mpaka baba alipoamua kuwahonga pesa kubwa wafanye hivyo. Basi jopo la wauguzi waliingia Keene chumba cha upasuaji alipoingizwa kaka Sam na manesi. Walijifungia ndani ya chumba hicho kwa masaa kadhaa wakati huo mimi, Mama na baba tukiwa Tumekaa kwenye benchi nje ya chumba kile cha upasuaji. Tukiwa kila mmoja amezama kimawazo huku kila mmoja wetu akiwaza ni kiumbe gani hicho kitatolewa tumboni kwa Sam, Mara ghafla???? tukashanga madakatari na manes wakitoka kwenye Chumba cha upasuaji wakisukumana na kupiga keleke.....

"Hee kulikoni? Wameona nini? " Nilijiuliza huku moyo wangu ukinienda mbio balaa????

ITAENDELEA


Chombezo: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI????????????12&13

Tulishangaa???? madaktari wakitoka kwenye mlango wa chumba cha upasuji huku wakisukumana mlangoni mithili ya wanafunzi walioona nyoka darasi, walisukumana pale mlangoni wengine wakidondoka chini na wengine wakipita juu ya migongo ya waliodondoka chini. "Mh baba kulikoni mbona madaktari wanatoka kwa kukimbia kwenye chumba cha upasuaji? Wameona nini tumboni kwa kaka Sam" nilimuuliza baba huku moyo wangu ukinidunda balaa. "Hata sijui hebu tumuwahi huyo daktari anayepita hapo tumuulize" alisema baba. Tukamkimbilia yule daktari na kumsimamisha, alikuwa anahema kama bata jike aliyenusurika kukimbizwa ili achinjwe aliwe na wali. "Dokta kuna nini?" baba alimuuliza. "Ah subiri ninywe maji kwanza nitulize pre presha " aliongea daktari kwa sauti iliyosindikiwa na mhemo wa hali ya juu. Baba akaingiza mkono mfukoni kwake na kutoa noti ya elfu moja akasema nikimbie nikamletee daktari maji. Nilikimbia kama mtoto wa shule alichelewa vipindi darasani, haraka nikamletea daktari maji akanywa, baada ya hapo alitikisa kichwa chake kuashiria kwamba anasikitika sana.

"Enhee daktari nini kinaendelea". Baba alimuuliza huku akiwa ametoa macho ya woga????. "Mzee haya ni maajabu, tokea nimeanza kazi ya udaktari sijawahi kukutana na maajabu kama haya, mara ya kwanza tulimpima kijana wako tumboni tukaona kwamba ana uvimbe mkubwa tumboni hivyo tukaamua kumfanyia upasuaji, ajabu tulipompasua tumbo Lake tukashangaa kukuta katoto, hali iliyopelekea madaktari wote tukimbie maana sio hali ya kawaida kwa mtoto wa kiume kuwa na mimba" aliongea daktari huku akihema balaa. "Mh katoto????ni kasampuli gani?" baba aliuliza kwa mshangao. "mzee mimi hata sielewi akili yangu ishavurugika, yule ni kijana wako unaweza lends kwenye chumba cha upasuaji ukajionee mwenyewe maana kila mchuma janga hula na wakwao nahisi kijana wako sio binadamu wa kawaida na kama ni binadamu wa kawaida basi amelogwa maana Tanga inaongoza kwa matukio hayo ya kichawi, kuna mwanaume aliwahi kuoteshwa manyonyo makubwa baada ya kutembea na mke wa mtu lakini hili la kijana wako kupewa mimba hadi kujifungua katoto hii ni too much" aliongea daktari, wote tukawa tunaangaliana machoni huku tukiwa tumetoa macho bila kupepesa maana sio kwa taharuki ile.

"Baba Sam twende tu kwenye hicho chumba cha upasuaji nikamwangalie mwanangu???? jaman Mimi hadi tumbo la uzazi linaniuma eee Mungu wangu ninusuru" Mama alimwambia baba, baba akawa anasitasita tayari alishaanza kupata woga. "Jaman nendeni mkamuone kijana wenu muone namna ya kufanya maana hili suala likifika kwa waandishi wa habari ni aibu kubwa sana kwa familia yenu" Daktari alishauri kwa kusisitiza. Baba akapiga moyo konde, Na kusema "potelea mbali hebu twendeni".basi tukaongozana Mimi, baba na mama, sikutaka kutangulia nilikaa nyuma nyuma kama mkia, maana nilikuwa na woga balaa , nilitembea kwa kujihami kwamba endapo litatokea la kutokea ndani ya chumba cha upasuaji nitimue mbio na ndio maana nilikaa nyuma. Tulifika kwenye mlango wa chumba cha upasuaji????ajabu tukasikia katoto kachanga kanalia kwa ndani, mamaweee ile tunaingia kwenye chumba kile cha upasuaji ghafla tukashagaa......

N. B

Chombezo: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI????????14

.Tulifika kwenye mlango wa chumba cha upasuaji????ajabu tukasikia katoto kachanga kanalia kwa ndani, mamaweee ile tunaingia kwenye chumba kile cha upasuaji ghafla tukashagaa kuona kitoto kichanga kabisa huku tumbo la kaka Sam likiwa wazi lakini licha ya kwamba mipira ya kuvuta hewa safi ilikuwa imemzunguka kila mahali lakini ilionekana kabisa kwamba hana uhai, kwakweli ilikuwa ni kitendo cha kushangaza sana mwanaume kujifungua. Tuliwaita madokta tukapewa katoto na mwili wa kaka Sam ukapelekwa mochwari. "mh jamani haka katoto si binadamu wa kawaida kwasababu mwanaume hawezi kubeba ujauzito bali huu ni uchawi kijana wenu alifanyiwa ningewashauri mukapeleke haka katoto kwenye maombi mtapata msaada lakini mkisema muishi nako badae itawaletea shida sana".Nesi mmoja wa kike mnene kama mbuyu alimshauri baba.

"Nimekuelewa nesi nitafanya hivyo" alisema baby tukaondoka pale hospitali na kurudi moja kwa moja nyumbani. "baba sasa mbona hatukapeleki haka katoto kanisani mimi nakaogopa" Nilimwambia baba. "Zuu tena usiongee wewe unafikiri mchungaji akiuliza Mama wa huyu mtoto yuko wapi tutasemaje?. Yani usiongee kabisa kwasababu wewe na kaka yako ndio mmesababisha haya, mimi naona ili kusiwepo na maswali mengi ya kuulizwa na watu au makanisani au hata misikitini mimi naona tukaue maana hata tukikapeleka hospitali hatujui kutatokea kitu gani cha kutufedhehesha zaidi, huenda kakabadilika na kuwa kiumbe cha ajabu mwisho wazazi wako tukaonekana ni wachawi na kama unavyowajua watu wa hapa Tanga tunaweza kutengwa na jamii" alisema baba, kwa upande mmoja nikamuona kama yupo sahihi???? lakini nilipojaribu kuwaza kwa kina nikaona pia hayupo sahihi. "Sasa baba hata tukikaua huwezi kujua nini kitatokea pengine ndio tutazidisha matatizo" nilimwambia baba.

"Jamani mimi msinichanganye sitaki kuaibika hapa mtaani kwanza nipo kwenye mipango ya kwenda kuutoa mwili wa Sam mochwari tuzike na tunabahati tukio hili limetokea hospitali ambayo hatufahamiki habari zingesambaa sana japo madokta wanasema walikula kiapo cha kutunza siri za wateja ila ingekuwa ni hospitali ya karibu habari zingesambaa kama upepo, mimi naona tuzike kwanza hayo mengine yatafuta"alisema baba. Basi siku mbili baadae mwili wa kaka Sam ulifuatwa mochwari, masikini tulimzika Kaka yang Sam????, nilijilaumu sana kwa kitendo kiovu tulichokifanya maana ndio chanzo cha kifo chake. Katoto tulikanywesha maziwa ya ng'ombe huku tukiwaficha watu mtaani kilichotokea na kuwadanganya kale ni katoto kandugu yetu wa Dar amepata matatizo tumeamua kukachukua na kuishi nako. Basi siku zilisogea ajabu siku moja tuliamka asubuhi katoto kalikuwa kanacheka sana, Mama akasema akafuate chumbani akakaangalie, weeeee alituita wote mimi na baba tuone????. Tulipoingia chumbani na kukaangalia katoto mdomoni kalikuwa na meno yote kama mtu mzima, sijui yaliota usiku au saa ngapi?.. "mh jamani haya ni makubwa sasa tufanyaje jamani hii ni aibu" aliuliza baba. "baba mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo tu ndio kitamuumbua na msema kweli siku zote husaidika kuliko mtu wa kufichaficha mimi naona tukapeleke haka katoto kanisani tutasaidika" Niliwashauri baba na mama. Hatimaye tukaanza Safari ya kwenda kanisa la mbali kidogo na mtaani kwetu. Huko kanisani sasa????....

Acha nirudi?????????????maana nishidaaaaaaaa????????????????????

Chombezo: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI????????
MWISHO
"baba mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo tu ndio kitamuumbua na msema kweli siku zote husaidika kuliko mtu wa kufichaficha mimi naona tukapeleke haka katoto kanisani tutasaidika" Niliwashauri baba na mama. Hatimaye tukaanza Safari ya kwenda kanisa la mbali kidogo na mtaani kwetu. Lilikuwa ni kanisa kubwa sana mfano wa bwalo. Tuliingia kanisani Mimi, baba na mama tukakaa kwenye viti vya katikati huku mama akiwa amekabeba katoto na kukafunika na bebishoo mpaka usoni na kuacha sehemu ya macho tu wakati huo kanisani kulikuwa kimya sana huku ibada ya mahubiri ikiendelea. Mchungaji alipomaliza kuhubiri akasema "Kwa muda huu nitaenda kuwaombea watu wenye matatizo mbalimbali na wale wanaotaka kuokoka na kumpokea yesu kristo awe beans na mwokozi wa maisha yao, tafadhali kama unashida yoyote pits mbele madhabahuni kwa bwana ili uweze kupata uponyaji, basi wakati wenye shida na matatizo mbalimbali wakiwa wanapita mbele tutaimba pambio hili " alisema mchungaji na kuanza kuimba huku watu kibao wakipita mbele ya kanisa.

?????Nimeamua kumfuata yesu, sitarudi nyuma sitarudiiii????????baba na mama wakiniachaa sitarudi nyuma sitarudii" mchungaji aliimba wakati huo watu wakiitikia na baadhi wakipita mbele. "Mama na baba tupiteni mbele" niliwaambia Mama na baba baada ya kuwaona wanasitasita. Basi tukanyanyuka kwenye viti na kusogea mbele ambapo tulijipanga vizuri huku mchungaji akiomba sana wakati huo watu wote tukiwa tumefumba macho. Nilipoona maombi yamekolea kiasi kwamba mchungaji akawa anaomba kwa lugha ambazo sikufahamu tafsiri yake, nikasema nifungue nacho kwa kujiiba nikatazame katoto ambako Mama alikabeba kwenye bebi shoo. Weee???? ile kufungua macho na kukatazama katoto, niliachia ukelele mmoja wa nguvu baada ya kuona kichwa cha joka mkubwa mithili ya chatu kikiwa kimejitokeza kwenye bebi shoo. Mama na baba hawakuona kwasababu walikuwa wamefumba macho lakini kelele ile niliyopiga ilimshtua kila mmoja pale kanisani na kuwafanya wote wafungue macho????.

Kitendo kile cha mama kufumbua macho na kuona amelibeba joka, kilimfanya alitupe pembeni kisha miguu yake ikakosa nguvu akaanguka chini na kubamiza kichwa kwenye sakafu, damu nyingi zilimtoka puani na mdomoni, yani kanisani pakawa na hekaheka, mchungaji alipambana kulinyunyizia lile joka mafuta ya upako mpaka likauungua moto na kuteketea. Mama aliwahishwa hospitali lakini kabla hajafikishwa aliaga dunia????. Ilikuwa ni huzuni kwangu niliona kama Laana ya kutembea na kaka yangu inanitafuna taratibu kwasababu tayari ilishamchukua kaka yangu hatimaye ikamchukua mama????. Tulizika lakini baada ya mazishi nilienda kwa mchungaji na kumueleza ukweli wangu wote, aliniombea, nikaokoka, hatimaye ni mwaka wa pili sasa nimepanga kwangu naishi na mtoto wangu ambaye nilijifungua ila nimeokoka na mkasa huu nimeuandika kuwaelemisha kwamba tuwe na nguvu ya kuhimili hisia zetu kwani tunaposhindwa kuzihimili hisia zetu matokeo yake huwa ni mabaya mno, mfano mimi nilitembea na kaka yangu kwa kushindwa kuzuia hisia zangu lakini matokeo yake ni kama haya, hivyo yapo matokeo mbalimbali ambayo mtu anaweza kuyapata kama atashindwa kuzuia hisia Zake, mfano ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. ????????

MWISHO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 11-15 ) MWISHO



Chombezo: NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI????????????11.

Usiku ule tulimpeleka kaka Sam tulimpeleka kaka Sam hospitali iliyopo Karibu, tulipokewa na wauguzi na manesi wenye zamu ya usiku????. "ana tatizo gani huyu?" daktari mmoja mfupi mwenye mustachi mkubwa kama wazee wa kihindi alimuuliza baba. "Doctor hata sielewi nashangaa tu hali ya mwanangu imebadilika ghafla akawa hivyo????" baba aliongea kwa kufichaficha. "mzee Masumbuko hapa unatakiwa uwe mkweli siku zote ukweli humuweka mtu huru, kwa maelezo yako unaposema unashangaa tu hali hii imemtokea kijana wako ghafla basi inaonyesha kijana wako amelogwa, kingine kumbuka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilivyoanza-kufanya-mapenzi-na-kaka-yangu-kwa-mara-ya-kwanza-ilikuwa-ni-beach-ndani-ya-maji-11-15-mw

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyoanza-kufanya-mapenzi-na-kaka-yangu-kwa-mara-ya-kwanza-ilikuwa-ni-beach-ndani-ya-maji
NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 6-10 )
NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 6-10 )
NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 1-5 )
NILIVYOANZA KUFANYA MAPENZI NA KAKA YANGU KWA MARA YA KWANZA ILIKUWA NI BEACH NDANI YA MAJI ( 1-5 )
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

913
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

787
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

613
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

431
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

118
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

88
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

54
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

50
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.49K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest