Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
02 Oct 2025
113 views
VYOTE NDANI GONGA94
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mwanamke niliekuwa nae ule usiku? Na
aliingiaje kwenye chumba changu cha hoteli?
Romex alijiuliza maswali mengi huku akiwa kwenye mshituko mkubwa sana.
Wakati bado inashikilia zile hereni mara Lilian aliingia na kusogea mpaka karibu yake lakini Romex kwakuwa alikuwa mbali kimawazo hakuweza kushirika mpaka pale Lilian aliposema.
Waoooo hereni nzuri sana bila shaka umenunua kwaajili yangu. Romex alizifunga kwenye kiganja chake cha mkono, Lilian alikaa pembeni yake
"Mbona inaonekana una mawazo sana?
"Sawa ila nataka kujua unachoweza.
"Mawazo ni kawaida kwa mwanadamu.
Ni mambo yangu binafsi. Romex alikuwa anajibu kwa mkato.
"Naomba nione hizo hereni.
"Sio zako niliokota kwenye lift hivyo natakiwa kwenda kumtafuta mwenye nazo pale kazini.
"Sawa, nilikumiss nikaona sio mbaya nikija
kuungana na wewe mpenzi wangu.
"Sawa ila utakaa hapa nilikuwa nataka kwenda kuongea na Domi.
"Sawa, nitakusubiri hapa.
Rainex alitoka mpaka sebleni akamkuta Domi anaongea na simu lakini alipomuona Romex alikata simu.
"Domi nina maongezi na wewe nifuate nje. "Sawa.
Romex alitangulia na Domi alimfuata nyuma wakaenda kukaa bustani. Domi alikuwa makini kumsikiliza Romex anachotaka kuongea.
* Domi unakumbuka siku ile ya sherehe pale silver hotel?
"Ndio nakumbuka vizuri sana boss wangu. Mtu wa kwanza kuingia kwenye chumba
changu cha hoteli alikuwa ni nani? Alikuwa ni Merry ambae uliniambia umkute
chumbani.
"Kabla ya Merry.
Domi alitulia huku akiwa anavuta kumbukumbu zake.
"Domi naomba ufikirie na unipe majibu maana kuna kitu kilitokea na siri nzito imekuwa ikijificha.
Alisema Romex na kumfanya Romex kuwa na wasiwasi na kuonekana mzembe kwenye kazi yake.
Baada ya kufikiria kwa muda flani Domi alikumbuka.
"Nimekumbuka boss....
"Eheee...
Nimekumbuka vizuri sana, mtu wa kwanza ambae alienda kuchukua funguo alikuwa ni salsa ambae alipeleka koti lako
Romex alishitika kidogo kisha akashuka kichwa chake kwa mikono yake miwili, huku akiwa
kafumba macho.
Domi alimshangaa boss wake akauliza
"Vipi boss kwani kuna tatizo?
Sasa kila kitu kipo wazi. Alimuangalua Dormi
usoni na kuendelea kusema "Tatizo ni kubwa sana Domi.
Romex alinyanyuka na kutembea hatua chache kisha akasimama na kumgeukia Domi.
"Usiku ule niliingia chumbani nikamkuta mwanamke kasimama kwa ajili yangu ya haraka nikajua ni Merry, siku fikiria mara mbili nikaanza mambo yangu, nilimbeba mpaka kitandani huku taa zikiwa zimezimwa nikafa ya
yangu, nikiwa pembeni nimepumzika kidogo yule mwanamke alikimbia na sikujua ni nani kutokana na giza baada ya muda Merry
aliingia....
Inamaana mwanamke ukielala nae hakuwa Merry alikuwa ni Salsa?
"Ndio.
Umejuaje kama ni yeye na sio mwanamke mwingine, labda muhudumu.
"Muhudumu afanye nini chumbani kwangu ikiwa mimi sipo chumbani? Pia nina uthibitisho kuwa ni Salsa. Niliokota hateni yake moja na leo nimeenda kwake nikakuta hii nyingine. Na isitoshe mara nyingi amekuwa akiniambia mimi ndio baba wa ile mimba lakini nilichukulia kama utani kutokana na jinsi alivyo mtu wa masihara. Domi alishusha pumzi kisha akasema
"Duuu pole sana boss, sasa itakuwaje?
"Sijui, sijui itakuwaje nilimkstisha tamaa pale aliponiambia na kunionyesha dalili za yeye kukipenda. Anajua kila kitu kuhusu mimi na Lilian.
Ni swala rahisi sana vipi msimamo wako? Lilian na Salsa nani yupo moyoni kwako?
Romex alitulia kidogo, Domi akasema "Usikilize moyo wako maana upendo na ndoa
sio kitu cha kubahatisha. Kama unampenda Lilian basi muowe na kama
unapenda mtoto basi utakuwa na bado utakuwa na nafasi ya kuwa baba.
"Domi wewe hujui tu, salsa ndio kila ...... Kabla hajamaliza kuongea akasikia Lilian akimuita,
alipogeuka alikuwa karibu yao kabisa.
Je Lilian atakuwa amesikia kauli Romex akiyoongea mara ya mwisho?
Full 1000
Whatsp 0784468229
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in ...
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sud...
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
mwanamke niliekuwa nae ule usiku? Na
aliingiaje kwenye chumba changu cha hoteli?
Romex alijiuliza maswali mengi huku akiwa kwenye mshituko mkubwa sana.
Wakati bado inashikilia zile hereni mara Lilian aliingia na kusogea mpaka karibu yake lakini Romex kwakuwa alikuwa mbali kimawazo hakuweza kushirika mpaka pale Lilian aliposema.
Waoooo hereni nzuri sana bila shaka umenunua kwaajili yangu. Romex alizifunga kwenye kiganja chake cha mkono, Lilian alikaa pembeni yake
"Mbona inaonekana una mawazo sana?
"Sawa ila nataka kujua unachoweza.
"Mawazo ni kawaida kwa mwanadamu.
Ni mambo yangu binafsi. Romex alikuwa anajibu kwa mkato.
"Naomba nione hizo hereni.
"Sio zako niliokota kwenye lift hivyo natakiwa kwenda kumtafuta mwenye nazo pale kazini.
"Sawa, nilikumiss...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-chapter-12-romex-alibaki-kaduwaa-huku-macho-yake-yakiwa-kwenye-zile-hereni-hil
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake-chapter
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13 Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake. *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15 Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea
ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3 Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
Maoni