ONE NIGHT ONE MISTAKE๐ Chapter 3 Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua tax mpaka nyumbani kwao. Alipofika
akimsubiri. *Kheeee wewe sherehe gani imeisha mapema hivi?
*Sherehe bado haujaisha nimewahi tu kurudi Kwanini umerudi mapema au ndio unataka kuniambia haujatokea mambo hayo mtoto wa ustadh.
*Da Meena sitaki maneno yako.
Maneno gani lazima nikwambie ukweli umeshakuwa wewe sio mtoto, sasa hivi una maamuzi yako unatakiwa kujisimamia
mwenyewe. Salsa aliona anachoshwa na maneno ya Meena alitembea kuelekea ndani. Eeee... Wewe... Meneja alimuita na Salsa
alisimama na kumgeukia.
"Unasemaje?
"Mbona unatembea ukiwa umebana miguu? Salsa alishituka akajua cha kuropoka atakuwa amegundua kitu.
Salsa.... Naongea na wewe. Meena bwana mwenzio tumbo la kuharisha
limenishika nimekosana na vyakula vya kwenye sherehe. Alisema salsa huku alijikaza na kuondoka.
*Ushamba tu ukute umefakamia huko mpaka sherehe umeiona chungu.
Salsa alipoingia chumbani kwake alikaa kitandani huku akiwa kashika tumbo lake kwa chini. Alikuwa anafikiria mambo yote yaliyotokea hotel chumbani kwa Romex. Machozi yalimtoka hasa alipokumbuka maumivu ya kutolewa usichana wake. Hii ni aibu, hapaswi mtu yoyote kujua. Sijui kama ilikuwa ni kosa langu au ni mpango wa
Romex na mlinzi wake.
Baada ya kulia na kukilaumu sana alinyanyuka taratibu pale kitandani na kuvua nguo zake, wakati anavua ndipo akagundua kuwa nguo nyingine haipo mwilini mwake.
*Nimeacha chup* yangu?
Hakuwa na namna alienda bafuni kuoga kisha akameza dawa za maumivu na kulala.
Asubuhi Romex alikaa kitandani bado akili yake haikuwa sawa, bado akimfikiria mwanamke bikra. Alipopiga jicho lake chini karibia na pazia la dirishani aliona kitu kina nga'a. Alinyanyuka taratibu na kusogea mpaka kwenye hicho kitu, aliinama na kuokota alipoangalia vizuri aligundua ni hereni ya dhahabu.
*Lazima itakuwa ni yake yule mwanamke wa
Jana Aliendelea kuiangalia badae akaenda kuihifadhi vizuri kwenye mfuko wake wa suruali.
Siku zilienda Romex bado alikuwa akiiangalia ile hereni alikuwa anakumbuka siku ya tukio.
Na kuanzia siku hiyo Romex alianza kuachana kabisa na maisha ya anasa aliona ule ilikuwa kama njia ya yeye kubadilika, aliamini huenda akiendelea na tabia zake za ajabu anaweza kukutana na jambo lingine kubwa kuliko lilintokea mwanzo.
Baada ya wiki tatu kupita Romex akimpigia simu
Ivan.
Ivan nataka unichagulie wafanyakazi wanne
wachapakazi na wanaojituma nataka wahamie huku makao makuu kwaajili ya kuongeza ufanisi
wa kazi.
Sawa Romex nitafanya hivyo. Hautakiwi kuchelewa maana kuna tatu
wanatakiwa waripoti kazini.
*Sawa kila kitu kinaenda haraka sana.
Katika kuchagua wafanyakazi wa kuhamia jijini jina la Salsa lilikuwa ni moja kati ya hao watu
wanne.
Wafanyakazi walioteuliwa walifurahi sana lakini kwa Salsa ilikuwa tofauti kidogo maana alijua kwenda kufanya kazi makao makuu ni lazima atakuwa akikutana na Romex mara kwa mara. Kuhamia jijini napenda sana na nilikuwa
natamani sana hii Fulsa, sasa huko ndiko aliko. Romex, nitawezaje kuwa chini yake nitamuangalia vipi sura yake na je itakuwaje kama anajua kilichotokea ule usiku? Salsa aliwaza mengi lakini hakuwa na namna Ilibidi ajikaze aende kwaajili ya kazi.
Salsa na wenzie watatu waliwasili makao makuu ya kampuni, ilikuwa ni kampuni kubwa kuliko walikotoka, kulikuwa na wafanyakazi wengi tena walikuwa Bize na kazi, ofisi zilikuwa za kuvutia hasa ofisi ya boss ilikuwa ya kifahari na yenye vitu vyenye hadhi.
Lakini siku ya kwanza walioripoti Romex
hakuwepo kazini hivyo walipokelewa na msaidizi wake na kila mmoja alionyeshwa ofisi yake. Salsa ofisi yake ilikuwa ghorofa ya kwanza. Aliingia ofisini kwake na kuanza kupanua vitu
vyake, kabla hajamaliza alikuja kaka mmoja. Samahani miss Salsa ulipangwa hapa kimakosa ofisi yako Ipo juu ghorofa ya nne karibu na ofisi ya Mr Romex.
Baada ya salsa kusikia hivyo moyo wake ulipasuka paaaa, alisimama na kumuangalia
yule kaka.
"Tafadhali beba viti vyako nifuate.
Nifuate
Salsa alichukua viti vyake na kumfuata mpaka ghorofa ya nne wakaingia kwenye ofisi moja ambayo ilikuwa niya vioo lakini kulikuwa na uwezo wa kuziba mtu asikuone ila mtu wa ndani ana uwezo wa kumuona akiwa nje pia kulikuwa kuna mapazia
Salsa aliangaza macho kuangalia ile ofisi. *Vipi miss umeipendaa? "Ndio ni nzuri sana.
*Basi uwe na kazi njema
"Asante, nawe pia.
Yule kijana aliondoka na kumuacha salsa akiwa
mwenyewe Kweli ofisi ni mzuri, ya kisasa lakini hapa
kwangu ni mtihani kuwa karibu na Romex. Lakini natakiwa kujikaza kama vile hakuna kilichotokea.
Siku ya pili yake Romex alitembelea kila ofisi ya wake waliohamia pale, ofisi ya kwanza ilikuwa ni ofisi ya Salsa.
Salsa alipomuona anaingia ofisini kwake alipata mshituko na kusimama haraka huku mapigo ya moyo akidunda kwa kasi.
kwenye kiti kilichokuwa mbele ya meza ya Salsa. Salama miss Salsa, nimefurahi kukuona tena
*Habari Boss. Alijitahidi kujikaza na kusalimia. Romex aliachia tabasamu kisha akaenda kukaa
katika ofisi yetu kuu. Salsa akimeza fundo la mate kisha akaangalia pembeni.
*Kaa tafadhali. Romex alisema na Salsa alikaa kwenye kiti kama mzigo uliotupiwa.
Salsa sahau kile kilichotokea siku ya kwanza ilikuwa bahati mbaya. Romex aliposema hivyo alizidi kumpa hofu Salsa moja kwa moja alijua kuwa Romex alijua kilichotokea ule usiku na mbaya zaidi aliacha
nguo yake.
*Boss haikuwa dhamira yangu ni yule..... Kabla hajamaliza kuongea simu ya Romex iliita. Romex alitoa na kuangalia hakupokea wala
kuongea chochote alinyanyuka na kuondoka. Salsa alishusha pumzi huku akishika kifua chake.
*Bora nimwambie uk utua huu mzigo mzito unaniandama masna pieingependa chumbani ใ yule mlinzi wake
Full 1000
Whatsp 0784468229Chapter 3
Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua tax mpaka nyumbani kwao. Alipofika alimkuta dada yake amekaa sebleni

Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni