Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake.  *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.
Gonga94 · Stories

ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake. *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Siku zilienda Lilian alikuwa akienda kazini kwa

Romex mara kwa mara, kuna muda walikuwa wakitoka pamoja kwenda lunch. Hilo swala lilianza kumtafuna Salsa aliona hathaminiwi muda mwingi wa Romex aliutumia akiwa na Lilian.

Siku moja Salsa alikuwa amekaa sehemu ajaeaxilia wafanyakazi wenzie wakiongea.

Nasikia yule mrembo anayetoka na boss ndio mievwaue mtarajiwa.

"Hata mimi nasikia hivyo lakini vipi kuhusu huyu mjamzito wa boss?

*Hapo sasa ndio sijui inakuwaje.

"Lakini inasemekana mimba ya siasa sio mimba ya boss, inawezekana ni mimba ya mtu wa

karibu na boss. Yake maongezi yalimfanya salsa atokwe na machozi.

Siku moja Salsa alikuwa anatoka ofisini kwake huku akiwa amebeba pochi yake mara akapishana na Salsa.

*Vipi unaenda wapi?

"Naenda clinic.

Ooooh nilikuwa nimesha sahau kama leo ndio siku yako ya clinic.

"Acha niwahi.

Uwahi wapi wakati mimi ndio nitakae kuwahisha?

Waliongozana pamoja wakashuka mpaka

ghorofa ya kwanza na kuelekea parking, Romex alimfungulia mlango wa gari salsa akapanda

kisha wakaondoka kuelekea clinic.

Baada ya kufanyiwa vipimo salsa alitoka na kumkabidhi Romex pochi pamoja na kadi yake ya clinic

"Niandikie mara moja.

"Unaenda wapi?

"Naenda kuchukua dawa.

Wakati Romex amekaa pale akimsubiri alianza kufunua kadi na kusoma maelezo ya ndani, alipokuja kuangalia jina la mume alikuta

ameandikiwa jina lake.

"What? Hii nini, mbona kama hii kitu ipo serious

? Huyu salsa anamaana gani kufanya hivi? Kumsaidia ndio anataka kunipa jukumu la kuwa baba? Akiwa bado kwenye mshangao Salsa

alirudi, Romex akamfunika kadi haraka. Tunaweza kuondoka sasa.

Walienda kupanda kwenye gari huku safari ya kumrudisha salsa nyumbani kwake ilianza

kimnya kilitawala kwa muda huku kila mmoja

akiwaza lake kichwani kwake.

Baada ya muda salsa aliamua kuvunja ukimnya.

*Romex

Naam.. Romex aliitikia huku akiendelea kuendesha gari.

*Hivi kama ingekuwa sio hii mimba ungeweza kuwa karibu na mimi?

Hilo swali lilimshangaza Romex lakini hakutaka kulikwepa. *Sijui Salsa, naona mambo yananiendea haraka

sana, yani sijui hata hisia zangu za kweli. Salsa alimuangalia kwa muda kisha akasema.

"Sijui niseme nini....

Sema chochote unachotaka kusema

Unajua ni mara ya kwanza najikuta nampa moyo wangu hata bila kujua kama ananipenda

au la. Unanifanya nijihisi salama pia unanifanya nijihisi mpweke.

*Salsa, sijakukataa ila bado nashindwa kuelewa hiki ni kitu kimetokea kwa bahati mbaya au kimetandikwa na Mungu.

Salsa alimuangalia kisha akashusha pumzi. "Kuna kitu nataka kukwambia Salsa.

"Nini tena?

Wazazi wangu wanataja niowe, tayari

wamenichagulia mwanamke ambae ni Lilian. Salsa aliachia tabasamu ambalo liliambatana na

chozi.

*Nilihisi kitu kama hicho

Kilipita kimnya kwa muda

Salsa akaendelea kuuliza.

"Unajihisi furaha kuwa nae?

*Pia sijui maana sijamzoea sana, sijajua vizuri

na mpango wa familia.

Salsa alikuwa na huzuni alijua ndoto ya kuwa na Romex imefurika sasa ni bora akisimamia mwenyewe aanze mapema kuzoea.

Walifika mtaani kwa Salsa, kabla Salsa hajashuka kwenye gari aligeuka kumuangalia, muda huohuo simu ya Romex iliita na aliekuwa

anapiga alikuwa Lilian. Romex alichukua simu yake akapokea.

*Hallow.

"Uko wapi Romex?

Kuna sehemu nipo ila tukutane kwenye ule mgahawa tunaokutana kila siku.

Baada ya Romex kusema hivyo alikata simu.

Salsa aliendelea kumuangalia huku machozi yakitaka kumtoka lakini bado alikuwa na kiburi

cha mwanamke mwenye roho ngumu. *Sikiliza Romex mimi sipendi kuonewa huruma endelea na mambo yako kuanzia leo

nitajusimamua mwenyewe. Nenda muwahi mwanamke wako.

Alifungua mlango akashuka kwenye gari na kuufunga mlango wa gari kwa hasira.

Romex alikuwa ameduwaa, alitamani kumuita lakini ulimi na mdomo ulikuwa mzito. Alijihisi mwenye hatia na mwenye kumkosea Salsa.

"Aaaaah najigawa vipi sasa, nichukue maamuzi gani na kwanini hakuwa nina hisia na Salsa ?

Kwanini haya yanatokea kwangu jamani? Baada ya kuumiza sana kichwa alipata jibu moja.

Mimi ni mwanaume natakiwa kuwa na maamuzi. Chenye umuhimu kwangu ndio kipaombele changu.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake. *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.

Siku zilienda Lilian alikuwa akienda kazini kwa

Romex mara kwa mara, kuna muda walikuwa wakitoka pamoja kwenda lunch. Hilo swala lilianza kumtafuna Salsa aliona hathaminiwi muda mwingi wa Romex aliutumia akiwa na Lilian.

Siku moja Salsa alikuwa amekaa sehemu ajaeaxilia wafanyakazi wenzie wakiongea.

Nasikia yule mrembo anayetoka na boss ndio mievwaue mtarajiwa.

"Hata mimi nasikia hivyo lakini vipi kuhusu huyu mjamzito wa boss?

*Hapo sasa ndio sijui inakuwaje.

"Lakini inasemekana mimba ya siasa sio mimba ya boss, inawezekana ni mimba ya mtu wa

karibu na boss. Yake maongezi yalimfanya salsa atokwe na machozi.

Siku moja Salsa alikuwa anatoka ofisini kwake huku akiwa amebeba pochi yake mara akapishana na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-chapter-9-baba-ake-romex-alikubali-na-ombi-la-mtoto-wake-sawa-acha-tukupe-muda

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake-chapter
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni.  Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13  Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13 Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15  Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15 Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
 ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa  Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
 ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea
 ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3   Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3 Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

868
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

730
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

524
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

129
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

107
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

76
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest