Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea
Gonga94 · Stories

ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Siku moja Salsa alitakiwa kupeleka ripoti ofisini kwa Romex. Alifika mlango wa ofisi ya Romex alisimama kwanza na kujiweka vizuri, alitaka kugonga akaacha na kusimama kama vile mtu aliekuwa anajishauri.

Kumbe Romex alikuwa akimuangalia kupitia kwenye kioo cha mlango lakini mtu wa nje hakuweza kuona ndani.

"Huyu msichana sijui ana shida gani na mimi.

Alisema Romex kisha akanyanyuka na kwenda kufungua mlango, Salsa alishituka.

"Vipi madam Salsa mbona umesimama hapa?

"Aaa.. nilikuwa nakuja ofisini kwako.

"Karibu. Romex alisogea pembeni akampisha njia Salsa akaingia na Romex akarudisha mlango.

Wakiongozana mpaka mezani.

Karibu ukae. Romex alimkaribisha huku yeye akienda kukaa kwenye kiti chake

"Samahani nimeleta faili.

Romex alimuandalia usoni, alihisi kuna uwoga

ndani yake.

"Salsa tafadhali kaa tuongee.

Salsa alikaa taratibu kwenye kiti na kumsikiliza.

"Inaonekana una hofu sana mbele yangu nataka tuweke mambo sawa, kilichotokea siku ile uliponimwagia rangi ni kitu cha kawaida ni kama ajali tu, yale yameshapita alafu mimi kuwa boss sio usiogope kiasi hicho.

Salsa alitambua kwa yake maongezi ya Romex

hakuwa ametambua chochote.

"Sawa nimekuelewa boss.

Vizuri sasa unaweza kwenda kuendelea na majukumu yako.

Salsa alinyanyuka tayari kwa kuondoka lakini

alipopiga jicho mezani aliona ile hereni yake. Alishituka na kuitolea macho. Romex aliishika na

wote wanaangaliana usoni.

"Mbona uneiangaoia sana hii?

Mmmm.... Hapana... Ni.. ni nzuri alafu

Inaonekana ya bei ghari.

Romex aliangalia kisha akasema

"Sio bei ghali sana, ni bei ya kawaida tu.

Salsa alitoa tabasamu la kulazimisha kisha akasema.

Kwa mtu kama mimi ni kitu cha gharama.

Alijibu salsa kisha akaondoka. Romex alichukua ile hereni na kuiweka kwenye bahasha ndogo kisha akaweka kwenye droo ya meza yake.

Wiki kadhaa zilikataa tangia Salsa tangia Salsa ahamie kwenye kwenye kampuni kubwa, maisha yakizidi kwenda lakini kuna kitu kilikuwa tofauti kwa upande wa Salsa alianza kuhisi tofauti kwenye mwili wake, alikuwa anachoka sana, kuna baadhi ya harufu za pafyumu alikuwa hataki kuzisikia.

Siku moja alikuwa amekaa nje anaota jua huku akilia kipande cha ndimu. Msichana mmoja anaitwa Nzela alimfuata na kukaa pembeni yake

akawa anamuangalia.

"Vipi mbona unaniangalia hivyo?

Na kushangaa siku hizi sijui upoje? Hivi upo sawa kweli?

Mimi nipo sawa labda macho yako ndio yanakudanganya.

"Mmmh.... Hivi ni sawa kula ndimu? "Mbona ni kitu cha kawaida sana kwanza tangia

hapo zamani nilikuwa napenda kula vitu vichache.

"Vipi midomo kukauka? "Hata yenyewe ni kawaida.

"Vipi kulala lala hovyo?

"Ni usingizi wa kawaida.

Majibu ya Salsa yalimkuta Nzela hakuona haja ya kuendelea kuuliza maswali alinyanyuka akaondoka.

Siku zilizidi kusonga mbele hali ilizidi kuwa mbaya kwa Salsa, alianza kutapika hasa nyakati

za asubuhi na usingizi ulikuwa mzito sana. Siku moja akiwa unafanya kazi ofisini kwake aliposema apumzike kidogo kwa kuegemea kitu alijikuta anapitiwa na usingizi mzito sana. Romex alifika ofisini kwake lakini hakuwa na

habari aliendelea kuichapa usingizi kama yupo kitandani.

Huyu ana tatizo gani hii ni mara ya pili sasa namkuta amelala kazini.

Romex alisogea karibu yake na kumshika begani huku akimuita.

"Salsa, Salsa...

Salsa alilisukuma mkono wa Romex na

kuendelea kulala. "Hey wewe unalala nini? Romex aliongea kwa

sauti ya ukali na kumfanya Salsa ashituke. Alipomuona Romex alikurupuka na kutaka

kukimbila, Romex alimshika mkono na kumrudisha kwenye kiti.

"Unaenda wapi?

anaenda wapi. Naenda........ Salsa hakujua hata aseme

" Kazi yangu umemaliza?

Salsa aliangalia kazi aliyopewa hakuwa amefanya hata nusu yake.

"Samahani boss.....

Samahani nini? Na unalala lala nini kazini,

huko kwako huwa haulali, kitanda kina kunguni?

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea

.

Siku moja Salsa alitakiwa kupeleka ripoti ofisini kwa Romex. Alifika mlango wa ofisi ya Romex alisimama kwanza na kujiweka vizuri, alitaka kugonga akaacha na kusimama kama vile mtu aliekuwa anajishauri.

Kumbe Romex alikuwa akimuangalia kupitia kwenye kioo cha mlango lakini mtu wa nje hakuweza kuona ndani.

"Huyu msichana sijui ana shida gani na mimi.

Alisema Romex kisha akanyanyuka na kwenda kufungua mlango, Salsa alishituka.

"Vipi madam Salsa mbona umesimama hapa?

"Aaa.. nilikuwa nakuja ofisini kwako.

"Karibu. Romex alisogea pembeni akampisha njia Salsa akaingia na Romex akarudisha mlango.

Wakiongozana mpaka mezani.

Karibu ukae. Romex alimkaribisha huku yeye akienda kukaa kwenye kiti chake

"Samahani nimeleta faili.

Romex alimuandalia usoni, alihisi kuna uwoga

ndani...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-chapter-4-siku-zilienda-na-kazi-ziliendelea-kama-kawaida-salsa-alijua-romex-ka

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake-chapter
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni.  Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13  Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13 Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake.  *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake. *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15  Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15 Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
 ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa  Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
 ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3   Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3 Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
 ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

868
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

730
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

524
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

134
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

107
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

76
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest