?WE KULA TU BINAMU
?EPISODE 6
?
?"Bibi, bibi mambo gani ..!" Nilisema huku bado nimeshika shavu lililokuwa linawaka moto kama sufuria ya makande.
?
?Muda huo nayumba yaani huwezi amini bakora ililala yeye kwa ule mkofi duuuh mpka sahizi network hazisomi yaani kama sisikii vizuri hivi . Nilisikia mpaka haja kubwa ilinishika ....masikio kuna kale kasauti " NZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"
?
?Bibi hakutaka hata kusikia, akawa ananiandama na kunisema
?"Wewe! Kijana wa siku hizi huna adabu kabisa! Unaangalia wanawake badala ya kufanya usafi, pumbavu mkubwa!"
?
?Nilibaki nimesimama, nashika kitambaa upande mmoja na shavu upande mwingine.
?Nyuma ya pazia, Asha alikuwa anacheka kimya kimya maana ule mkofi watu wote waliusikia kila mtu aligeuka wengi wao walikuwa wananicheka ... Nikuulize swali ushawahi chekwa na watu wengi wanakuwa kama wanakuzomea
?
?Lakini angejua kuwa fahari ya macho kuona sidhani kama angenipiga ule mubao ..maana nishaibika hapa !
?
?"Leo utasafisha mpaka choo mbwa wewe kazi kuwatumbulia macho mabinamu zako kama sijuwi umeona almasi kwenye shimo la chooo" ! Huna haya, binamu yako Asha anafanya kazi wewe unamkodolea macho kama kasuku aliyeona korosho!" bibi alifoka huku anapepesa mikono.
?
?Nilijua hapa sina pa kujitetea, nikaanza kufuta dirisha kwa kasi kama vile ninafukuzwa na mbwa mwenye kichaa. Lakini sio siri limenishuka sana .....
?.
?Na Asha naye hakunisaidia!
?Alikuwa anajifanya kupiga deki, huku kitenge kikipanda, kushuka, kupanda, kushuka… utafikiri bendera ipo kwenye mlingoti inafuata upepo
?
?"Kijana, nikikuona tena unachezea kazi nitakupiga na hiii fimbo hadi usahau jina lako!" Bibi alinitisha kwa kushika fimbo ya mpera.bibi kageuka mbogo bibi kawa nyambisi hacheki na wowote ....
?
?
?Nilifanya kazi kwa bidii, lakini moyo ulikuwa umejaa tamaa na ndoto tamu.
?Niliapa kimoyomoyo:
?"binamu lazima anionjeshe ule kopo lake la asali kutokana alivyo kwa macho ta nyama mtoto ni mtamu kama chocolate ."
?
?
?Nilingia ndani kisha nikashika meza nikawa nawekea mfano jinsi nitakavyokula kitumbua cha asha nisijuwe kuna mzee kakaa mbele nimefumba macho nachezea kiuno nikisema "yaani akinipa mimi humu tu,humu tu naenjoy "
?
?" kijana unashida gani? Yule mzee alisema huku akinitazama maana utoto wote kauona nilizuga
?" hapana nilikuwa nanyosha kiuno " huku najichekesha chekesha ili kuzuga
?
? saa ngapi bibi asitoke na kuanza kunikimbiza na mfagio huku na kule
? " mjinga wewe nahisi umechanganyikiwa.".
?Tulikuwa tunazungushana tu na bibi
?Watu wanacheka sana yaani nimekuwa kama channel ya vichekesho kijijini na ukichukulia hakuna Tv
?
?Baada ya a bibi kunikimbiza , bado moyo wangu haukuwa na adabu.
?Asha alitumwa mtoni kuchota maji, na mimi bila hata kujifikiria mara mbili, nikaamua kumnyemelea kama fisi anayemvizia mbuzi zizini.
?
?Nilipita vichakani kimya kimya, miguu yangu ikitembea kwa madaha , macho yangu kwa Asha tu, aliekuwa kashika ndoo anatembea kuelekea mtoni bomboclaaat makaliooooooooooo kushoto kulia kulia kusho mimi napiga hatua macho yangu kwake
?kitenge chake kikirindima kama bendera na kufanya niliona boooidi na umbo bamba nane ....
?
?Lakini sikujua mbele yangu kuna mitego ya nyasi wanayochezaga na kuitega watoto wanafunga nyasi za upande wa kushoto na wa kulia( rudi utotoni nadhani umenielewa kama hukucheza ni wewe )
?Katika ile ya kumkodolea macho asha sikuligundua hilo macho si yalikuwa juuu macho, sikuuangalia kabisa chini.
?Kumbe kulikuwa na mafungu hayo nyasi yaliyofungwa Na mbele kuna mteremko
?Saa ngapi nisikie miguu yangu ikinaswa na lile fungu kama ndoano ya samaki!?
?
?Nikajikwaa kwa nguvu
?"Paaaaa!"
?Nikaviringika kama mpira wa ndondo, huku nikishusha makelele ya aibu na maumivu.
?"Yeeeeeeh, mama yangu, mbona hivi jamani!" uwiiii jamani msaada mama weeeeeee
?
?nikaviringika kwa kasi kama pipa la mafuta lililopigwa teke, mpaka nikaenda kutua kwenye mti mkubwa wa mbuyu!
?nilitua kichwa chini, miguu juu kama bata aliyenyeshewa na mvua .
?Nikabaki nimenasa pale, naugulia kwa maumivu huku nahema kama jogoo aliyekula pilipili mbichi.
?
?"Oooooooh, kiuno changu! Mamaaaaa! Mbona dunia inanikatili hivi?"
?????????? lakini nitakapo kipata hiki kitumbua sio siri kwa haya mateso nitasimamia mpaka ukucha wallah!!!!!!!.