?WE KULA TU BINAMU
?EPISODE 7
?
?Nikajikuta bado nimenasa kwenye ule mbuyu, kichwa chini miguu juu kama ndizi zilivyopangwa sokoni, huku nahema sana yaani jamani ata kujinasua nashindwa mgongo wangu jamani
?Aaaaaaah!!!!! naugulia maumivu sana ....
?
?Nilikuwa natafuta hewa, lakini hewa ndio ilikuwa inanitafuta, maana kiuno changu kilikuwa kimenin'ginia juu kujinasua siwezi yaaani daah
?
?Mara nikasikia sauti ya Asha ikikaribia,
?“Eeeh! Mungu wangu! Binamu nink hicho hapo kwenye mbuyu ?”
?Nikajifanya jasiri, nikiwa bado miguu juu nikahemea,
?“Hapana binamu, nafanya mazoezi ya yoga !”
?"Mmmmmh yoga huku mbuyuni duuh "
?
?Asha akacheka mpaka ndoo ya maji ikamponyoka na kujimwagia miguu yote.
?“Hahahaaaaa! Yoga gani wakati inaonekana umenasa niambie ulikuwa unafanyaje ?”
?
?Nikamwambia, “Nisaidie kutoka hapa kabla bibi hajaona akanipiga tena!”
?
?Asha akajaribu kunishika mguu kunivuta, badala yake akavuta kwa nguvu, nikadondoka kama kipeto cha mchele
?“PAAAAAA!”
?Nikazimia sekunde kama sekunde 10. Zilirudi fahamu nikisema,
?“Aiseee leo nimekoma jamani?”
?
?Watu watatu waliokuwa wanapita mtoni wakasimama wakasema,
?“Jamani huyu kijana kaanza kupagawa!”
?Mmoja akasema,
?“huyu kijana anatakiwa aombewe ”
?
?Asha aliposikia hivyo akasema,
?“Acha utani, jamani huyu si mgonjwa, alikuwa anafanya mazoezi!”
?Na hapo ndipo mama Mshamu akatokea na kusema,
?**“Yaani huyu ndiye kijana mlikuwa mnasema anasoma? Mmh! Anasomaa shule au shule ina msoma yeye !”
?
?Niliposikia hivyo nikasimama ghafla kama nimetiwa betri mpya.
?“Mimi nina akili mama Mshamu! Nilikuwa tu... nafanya mazoezi kwa ajili ya afya ”
?
?Wote wakaangua kicheko, mmoja akasema,
?“Tangu lini hiyo ikawa yogaaa?”
?
?Basi turiludi na binamu mpaka nyumbani tukapeleka maji kisha kila mtu akawa anaendelea na mambo yake lakini nilibadilisha mawazo baada ya kusikia binamu anaende kuoga ...
?Nilijitega kwenye chocho yangu nikiendelea kuchungulia mara nikaona binamu .....
?
?Katoa kataulo mapj yake meupe sana yalianza kunipagawisha a ghafla aliangusha sabuni ile kuinama jamani bakora iliinuka yenyewe kwa lile bombo claaat jamani daaah uyu binamu jamani
?Sehemu niliyojitega ilikuwa karibu na jiko muda nmekaaa kuangalia
?Niilimwagiwa makoko ya ugali usoni
? "pwaaaaah "
? nilikosa balance na kudondokea mferejini na kunywa maji machafu ......
?????????????????????????????ila hiki kitumbua.