Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 17
Gonga94 · Stories

𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Tulipoishia
“Asssssh….oh baby” alisema kwa hisia jamaa maana alifurahia lile gemu japo hakuingiza.

“Kaka….hapo hapo usiingize zaidi bhasi” kanasma kalisema kakiwa kanamkumbatia bila kujua kitakachofuata

Wakiwa wanazidi kupeana viutamu utramu walisikia michakacho, wote wakashtuka kidogo halafu sauti ikasikika nje “NASMA”…….wote waliachiana na Nasma alishuka kitandani akiogopa tayari

Endelea
“Nasma shika kanga yako” alisema mtaalam kwa uoga maana alijua akikutwa ndani mule na mama itakuwa kasheshe. Alimrushia ile khanga Naa akapokea na kujifungia akatoka huku akinyata na kuitika kwa uoga

“Abee” alisema binti

“Khaa…. Unafanya nini mbona nakuita huitiki?” alikuwa ni mama Elinami amekuja pale nyumbani akiwa ameshikilia biblia halafu akamkabidhi Nasma

“Samahani nilikuwa usingizini” alidanganya

“Ok, sikia hiyo ni biblia na vitabu vingine nimepewa na mama wa nyumba hii, atachelewa kurudi kaenda kwenye vikoba”

Mule ndani Ray alivuta pumzi kwa sababu hakuamini kama ni kweli. Alisimama na kuvaa nguo yake vizuri halafu akaketi kitandani huku akiwaza imekuwaje, tena ‘hiii halafu ni kabikira kweli’ alisema huku akitabasamu kidogo.

“Sawa mama” alisema Nasma

“Ok mimi ninaondoka” mama Elinami alitamka maneno yale kisha akaondoka, ilibidi Ray achungulie kwa dirishani, kuona kama ni kweli,

Baada ya mama yule kuondoka binti alipeleka vile vitabu mpaka sebuleni halafu alirudi chumbani kwake na kumuandikia Ray SMS “Vipi kaka?” alimuuliza lakini jamaa alikuwa ameacha simu sebuleni, hivyo alisikia mlio sebuleni akatoka na kwenda kusoma

“Sorry njoo uchukue shanga zako ukavae, huwa zinapendeza sana, halafu hizo nguo usivae mpaka nitakapokuambia sawa?” aliuliza Ray

“Sawa, niletee, mimi siji huko tena nishaogopa” alisema binti

“Poa”

Ray aliingia chumbani akachukua vitu vya binti vyote akatoka navyo halafu akamgongea mlango na kuweza kumkabidhi mtoto wa kike vitu vyake baada ya kufungua mlango. Ray aliondoka mpaka nje akaendelea kufua nguo zake kiuvivu halafu akaanika na baadaye alirudi ndani kukaa ili eti atafute mudi.

Naa yeye aliweza kuingia jikoni na kuwasha moto, halafu akabandika makande, na kuendelea kumalizia kufua nguo za kijana huyo huku akikumbukia lile tendoa na kutabasamu

“Nampenda Ray mimi…mimi ninampenda” alisema mtoto wa kike kwa furaha sauti ilikuwa chini, alichukua simu yake na kutuma message “NAKUPENDA” alimtumia jamaa makusudi Ray akafurahi sana kuiona ile message lakini alikausha kama vile hajaiona ila moyoni alitamani angalau amjibu akajisikia vibaya kidogo.

Akiwa anawaza mawazo fulani fulani pale ndani , alisikia simu imeita, akaitazama hivi ni Karimu anapiga alipoipokea
“Vipi kijana Karimu…. Kwa kifupi nikuite K” alisema Ray

“Hahaaa….acha use….” Alimtukana kidogo kama ilivyo kawaida ya vijana wa kiume wakiwa marafiki, tusi sio tusi ni kama kusifiana kawaida tu

“Nambie” alisema Ray

“Man, nimemaliza, nitumie mkwanja wangu,….unakopaje kipindi cha korona hiki?” aliuliza Karimu

“Na wewe unamdaije mtu kipindi cha kampuni imefungwa hiki?” aliuliza

“Mshahara umeingia, acha mambo yako nitolee hapo hiyo kilo”

“Mshahara umeingia???” aliuliza

“Yap”

“Oh basi kesho ntakutumia mzee baba sawa?” alisema

“Poa”
“poa” waliagana

*****
Baadaye ikiwa ni mida ya saa kumi na bili jioni. Wazazi walikuwa wamesharudi muda, sana, Ray alikuwa ndani kwake ameketi huku akiwa ameweka taulo mabegani kwani alikuwa amejiandaa kwenda kuoga bafuni muda huo.

Alikuwa akiwaza sana mambo yalivyokuwa yanamuendea. Alikuwa akikumbukia jinsi alivyotumiwa ujumbe na mtoto wa kike kwamba anampenda, akawa anachanganyikiwa maana alikuwa ameshampenda bila kutarajia.

Akiwa katika Lindi la mawazo alishtuliwa na message kwenye simu yake, ndipo alipofungua na kuisoma, akakuta ni ya Elinami

“UKANIDANGANYA” alituma Elinami

“NA NINI?” aliuliza

“KWAMBA UNAKUJA KANISANI”

“Hahahaaaa sorry” alicheka Ray halafu akatulia kusubiri majibu

Badala binti ajibu message alimpigia kabisa, na jamaa alipokea akawa anaongea

“Raymond” binti aliita kwa hisia kali sana na kwa mideko

“Nambie Eli”

“Umenisusa jamani, mbona hata haunitafuti?” aliuliza mtoto wa kike

“Hamna, mambo yamekuwa mengi kidogo”

“Ok powa njoo tukutane hapa barabarani kwenye ukuta mrefu hapa” alisema binti

“Ngoja nioge kwanza halafu nakuja”

“Poa” binti alijibu na kukata simu yake.

Ray baada ya kuona hivyo, alichukua mswaki akatia dawa halafu akatoka akiwa anaswaki akaingia bafuni na kuanza kuoga mdogo mdogo mpaka dakika 20 zilipopita alikuwa ameshamaliza kabisa.

Alitoka bafuni akaenda mpaka chumbani akajipaka mafuta, akavaa nguo safi halafu akachana nywele na kujipulizia marashi. Alipomaliza hivi alimtumia SMS Eli kwamba amemaliza kuoga, hivyo aonane naye

“Sawa utanikuta hapa” alijibu binti

Ray alichukua muda wake vizuri akaenda sebuleni alipomkuta mama amekaa “Mama, natoka kidogo” alisema
“Sawa, uwahi kurudi” alijibu mwanamama huyo

“Sawa” alisema Ray akiwa anakunja kitambaa na kukitia mfukoni mwake halafu akatoka nje ya nyumba, nje ya geti na kuwaacha wanafamilia wakiwa ndani.

Sauti ya Nasma ilisikika “bibi” alimuita mama Ray

“Nini?” mama alifoka

“Nyanya na chumvi hakuna” alimuambia

“nenda chumbani kwa babu, juu ya meza kuna elfu tano, kachukue ukanunue, nyanya za 1000 na chumvi kubwa” alisema mama

“Sawa”

Nasma alienda mpaka ndani ya chumba cha mzee, akachukua pesa mezani, halafu akatoka mule chumbani, ndipo alipochukua mfuko na kutoka nje ya nyumba ile akienda moja kwa moja dukani.

Alipokuwa anaenda alimuona Ray akiwa amesimama mahali, lakini kulikuwa hamna mtu mwingine, binti hata hakuongea naye akijua labda jamaa atamfuata nyuma, lakini baada ya kufika gengeni akanunua vitu hivyo, alirudi akamkosa Ray pale alipomuacha.

Zaidi ni kwamba alisikia minong’ono kwenye giza, akasikia moyo umempiga paah…..ikiwa ni wivu unmuandama, aliona bora aondoke lakini alijisikia vibaya akaamua kurudi kuweza kwenda kuona kama ni Ray yuko na demu mwingine

Kweli alipofika kwenye kona hivi, gizani alishuhudia, aliona Ray akiwa amesimama na Elinami huku wakiwa wameshikana mkono, wanaongea kwa sauti ndogo, ilibidi binti awasalimie maana wote walikuwa wakubwa kwake.

“Marahaba” Elinami aliitika lakini Ray alimuachia mkono Eli na kumuangalia Nasma

“Kaka, twende nyumbani” alisema Nasma

“Hamna tangulia nakuja” alijibu jamaa

Nasma alimrukia na kumshika mkono akamvuta kwa nguvu “Twende nyumbani bhanaa” alisema kwa wivu, usoni alionekana kama mtu ambaye anaona wivu………….ITAENDELEA

𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋
(𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞)
𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊
SEHEMU YA 18

“Mmmmh Nasma vipi?” aliuliza Ray, huku akisogea taratibu

“Twende” aliongea binti

“Kheeeee” Elinami alishangaa akijua hapo kuna siri kubwa inayoendelea kati ya watu hao wawili

“ok,…. Kama hutaki mi naenda” alisema binti akamuachia mkono halafu akaondoka akiwa analia kwa kwikwi

“Samahani Elinami, huyu mtoto ataenda kusema kwa mama kwamba niko na wewe yaani mbea sana” aliongea

“Makubwaaaa…..mtu mzima kama wewe ukashtakiwe?” aliuliza Eli

“mmh aah…hamna unajua..”

“Haya kaka wewe nendaaa” alisema Elinami kwa hasira.

“Poa bye” Ray aliongea na kutoka pale kwa mwendo wa haraka hara kidogo kisha akaenda mpaka akamuwahi binti kwa nyumba na kumkumbatia kwa nguvu “Wee Nasma” aliita Ray

“Sitakii mimi” alisema

“Mmmmh,,….sikiliza nikuambie kitu, usichukulie chochote kibaya….”

Nasma aligeuka na kumkumbatia jamaa akamuangalia usoni kimahaba “Kwanini nilipokutumia ujumbe kwamba nakupenda wewe haukujibu?” aliuliza

“Niliogopa” alisema Ray

“Unaogopa, kutuma message kwamba, basi nijibu kwa mdomo sasa” alisema binti huku akimpapasa jamaa mgongoni

“Haya niambie tena” Ray alisema huku akitabasamu na kumtazama usoni maana binti alikuwa ni mfupi mno kwake

“NAKUPENDA” alisema huku akimtazama, meno yalikuwa meupe sana

“mmmh” Ray aliguna na kumshushia mdomo, wakaanza kunyonyana ndimi ndipo binti alipojivuta shingo ndimi zikalia ssstha kwa sababu zilishikana midomo kwa kubadilishana mate

“Sitaki, mimi nataka unijibu kwanza” alisema binti kwa hisia

“NAKUPENDA PIA NASMA” alijibu Ray. Hapo hapo Nasma alilegea.

Alimkumbatia kwa nguvu Ray na kumpa busu la mdomoni, walinyonyana mate, kama dakika mbili nzima halafu Ray akamuachia, “Angalia usidondoke tena,…..wahi nyumbani mama atakuuliza ukichelewa sana ok?” aliuliza

“sawa byee” alisema mtoto wa kike huku akiyumba kama kanywa pombe vile.

Aliondoka akikimbia mpaka akafika nyumbani na kupika chakula vizuri kisha Ray alitokea baada ya robo saa, akiwa ameshikilia soda za take away, nne, akaingia nazo ndani.

Aliziweka mezani kisha akaketi kwenye sofa akawa anachezea simu na kuangalia taarifa ya habari “Nimekuja kuwa fala” alijisemea moyoni…... “nilijua nikija huku nitawala vibaya sana mh ila kinyume” alijisemea

*****
Ikiwa ni jumatatu asubuhi, mtoto Nasma aliweza kuamka akiwa mchangamfu sana, sasa katika nyumba ile kulikuwa na watu wanne, Ray akiwa na mpenzi Naa, na Baba akiwa na mpenzi mama.. yaani ilikuwa ni full shangwe.

Cha kwanza kabisa binti alimtext Ray, “Umeamka mpenzi” alimtumia ile message akaona haitoshi akaongeza nyingine “Nataka nioge nivae zile nguo”alituma

Ray alipoona zile message alishtuka na kufikiria ndipo akamjibu “Usivae kwanza, maana lazima watakuuliza umepata wapi, watatuhisi” alituma

Binti aliitazama ile message akafikiria kwa kina na kupata jibu “Juzi walinipa mshahara, wakaniambia nikanunue nguo, sasa si ntawadanganya kwamba nimeenda kununua nguo” alimtumia SMS Ray

“ngoja kwanza, leo,aga kama vile unaenda sokoni, uziweke hizo nguo kwenye begi ili ukirudi, uje nazo ujifanye ndo umenunua” alimtumia

“Asante sana kwa wazo zuri nakupenda sana mpenzi” alituma binti

“Nakupenda pia mke wangu” Ray alituma SMS ambayo ilipasua mawimbi moyoni mwa mtoto wa kike hakuamini kwamba yeye ndo ameitwa mke. Ilimpa hisia kali mpaka akajikuta amenza kulowa alichanganyikiwa

“Baby, hivi kwanini nikiwa karibu yako huwa naloa huku?” aliuliza

“Mmmh,subiri nitakuelezea baadaye, kapike chai nataka baadaye niende mjini tukakutane huko, nikuonyeshe kitu changu” alisema Ray

“Poa ngoja nipike chai chapu” binti alituma ujumbe na kuweza kuipeleka sebuleni halafu akafuata vitafunwa na kurudi ndani akaketi huku akitafuta gia ya kumuingia mama

“Bibi?” alisema huku akisugua sugua kucha zake kwa uoga

“Eee” alisema

“naomba baadaye niende sokoni nikanunue nguo”

“Nguo??” mama aliuliza

“Ndio mama”

“Umalize kazi zako zote, ndo uende, ufanye usafi, upike ndo uende sawa?” mama aliongea kwa hasira yaani yeye alikuwa ni mfokaji muda wote

“Sawa mama….kwani leo tunapika nini?” aliuliza kwa furaha

“Wali, kwa dagaa”

“Sawa maa” alisema mama huyo.

Binti alichacharika haraka haraka, usafi kama wote, alipika haraka haraka, akaosha vyombo, akadeki kila mahali pafaapo kudeki halafu akaenda kuoga na kuvuta pumzi.

Ray alitoka bafuni akaenda mpaka chumbani akavaa vizuri, na kutoka mpaka sebuleni, huku aking’aa
“khaaa….mwanangu mbona umependeza asubuhi hii?” aliuliza mama

“Samahani mama ninatoka, naenda mpaka Himo kuna rafiki yangu naenda kumsalimia na kurudi” alisema

“Asubuhi yote hii?” aliuliza

“Ndio mimi nasepa amenipigia mapema maana baadaye yeye anasafiri halafu nafanya naye kazi Dar” alidanganya

“Ok, kwa hiyo chai vipi?” aliuliza

“Sinywi, ntakunywa mbele ya safari”

“mmh…haya safari njema”

“Mzee yuko na mbuzi wake bila shaka” aliuliza

“Ndio”

“Ok nitamcheki humo humo haraka haraka” alisema Ray na kutoka nje.

Alipofika nje ya geti alimsalimia mzee aliyekuwa anachunga mbuzi wake, kisha akamuaga na kuondoka moja kwa moja hadi kituo cha bodaboda, safari ikaelekea.

Huku nyumba binti alimtumia SMS “Nivaeje?” aliuliza

“Vaa nguo yako ya kila siku, ila usisahau, ndani kuvaa zile shanga please” alituma Ray

“Mmmmmh….unanifurahisha…kwani unakuja kuziona?” aliuliza

“Of course ntakufunua nikuone”

“utanifunulia wapi?”

“Tutajua mbele ya safari ila ntafunua kidogo tu na kufunika, na kukigusa hicho kidude chako” alisema jamaa binti akafurahi sana

“Hahaahahaaa…..nakuja sa hivi ngoja, nikifika mjini nitakutafuta sawa mume wangu?” aliuliza maana alimiss kuitwa mke

“Sawa sawa”

“Sitaki”

“unatakaje jamani”

“Mi nimekuita nani mbona wewe hujaniita”

“Mmmmh basi nisamehe mke wangu”

“Asanteeeeee” alijibu kwa furaha na kuanza kuvaa nguo…………..ITAENDELEA
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 17



Tulipoishia
“Asssssh….oh baby” alisema kwa hisia jamaa maana alifurahia lile gemu japo hakuingiza.

“Kaka….hapo hapo usiingize zaidi bhasi” kanasma kalisema kakiwa kanamkumbatia bila kujua kitakachofuata

Wakiwa wanazidi kupeana viutamu utramu walisikia michakacho, wote wakashtuka kidogo halafu sauti ikasikika nje “NASMA”…….wote waliachiana na Nasma alishuka kitandani akiogopa tayari

Endelea
“Nasma shika kanga yako” alisema mtaalam kwa uoga maana alijua akikutwa ndani mule na mama itakuwa kasheshe. Alimrushia ile khanga Naa akapokea na kujifungia akatoka huku akinyata na kuitika kwa uoga

“Abee” alisema binti

“Khaa…. Unafanya nini mbona nakuita huitiki?” alikuwa ni mama Elinami amekuja pale nyumbani akiwa ameshikilia biblia halafu akamkabidhi Nasma

“Samahani nilikuwa usingizini” alidanganya

“Ok, sikia hiyo ni...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lovestory-last-born-na-bikira-ya-house-girl-shanga-kiunoni-burudan-simulizi-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lovestory-last-born-na-bikira-ya-house-girl-shanga-kiunoni-burudan-simulizi-sehemu-ya
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 15
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 15
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 20
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 20
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 07
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 07
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊  SEHEMU YA 21
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 21
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 12
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 12
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 25
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 25
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 19
𝐿𝑜𝑣𝑒𝑆𝑡𝑜𝑟𝑦.....: 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐁𝐎𝐑𝐍 𝐍𝐀 𝐁𝐈𝐊𝐈𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 𝐆𝐈𝐑𝐋 (𝙎𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙣𝙤𝙣𝙞) 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 SEHEMU YA 19
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest