πΏππ£πππ‘πππ¦.....: ππππ ππππ ππ ππππππ ππ πππππ ππππ (ππππ£ππ πππͺπ£π€π£π) π©ππππ ππ πΊπππππππ SEHEMU YA 25
Baada ya nusu saa Ray na Nasma walikuwa kwenye basi la ARUSHA TO TANGA, Nasma alikuwa ameketi pembeni mwa jamaa ambapo jamaa alikuwa ameichomeka simu chaji kwenye basi hilo, akiwa ameishikilia huku akipiga hesabu kwenye kikokotoo cha simu
Alimaliza akamtazama binti kisha akatabasamu halafu binti naye akatabasamu βHUOGOPI?β binti aliuliza
βNiogope nini?β aliuliza
βMama yakoβ
βMh mimi mtu mzima, kiukweli nahisi nakupenda sana hadi nimeshuka kwenye gari daaah nikakufuata weweβ alisema mtaalamu
βJamaniβ
βUsiseme jamaniβ¦..sikiliza hapa napiga hesabu ninatakiwa nikatumie laki tano na wewe leo eti, yaani pale nyumbani si walikuwa wanatuzuia?β alisema jamaa, binti akatikisa kichwa kwa hisia halafu jamaa akapunguza sauti βLeo tutalala tanga, nakukwanyua mpaka asubuhiβ alisema Ray, hapo ndipo Nasma alipocheka kwa furaha huku akifurahia kauli ile ya kukwanyuliwa.
Saa ngapi Ray asiiname kidogo kwenye siti halafu akanongβoneza βinama nikuambieβ alisema
Binti aliinamisha kichwa, hata hajafika vizuri hivi, ndimi zishadakana wakanyonyana kama dakika mbili mule mule kwenye gari, yaani hapo ndo mapenzi yalianza kukolea sasaa.
Ray alibaki akijisifu kichwani βYaani Nasma alivyo mzuri, najua Rose akimuona lazima ata-blow mapigo naenda kumtunza wiki mbili tu atawaka kishenziβ aliwaza
βHivi Nasma wewe unajua kufanya kitu gani huku duniani?β alimuuliza
βKama nini?β
βyaani kama ushonajiβ¦ususiβ¦..au hata biashara yoyoteβ aliuliza Ray
βMimi sijawahi kufanya biashara yoyoteβ¦.ila napenda kusuka na sijawahi kujifunza kabisaβ
βMmmmh tuende Dar au kesho utaenda Singida nikupe nauli?β aliuliza Ray huku akimtazama binti
βMhβ¦..sijuiβ binti alibaki njia panda japo alitamani kupajua Dar βLakini kwani Dar nikafanye nini?β aliuliza
βtukaishi woteβ alisema
βWeeeβ¦β alishtuka kama vile hataki kumbe anatamani sana βKama nani et?β aliuliza
βKama mkeβ
βHahhaaaβ¦.bana mimi sijuiβ¦.amua mwenyeweβ¦ila nikiwa mke wako ntateseka maana mama yako hanipendiβ alisema
βUsijali, atakuelewa tuβ¦..twende ukajifunze mambo ya saluniβ
βSasa si bor tuende Dar moja kwa moja, tukishuka tanga tuchukue basi lingine ili usitumie pesa nyingiβ
βNo siwezi Nasma, lazima niingize kabla sijafika Dar, nimemiss japo tumefanya leo usiku, hafu kumbuka wewe ya kwako kadogo kanashika sana hii naniβ alisema kwa hisia
Nasma alimpiga kakofi βTulia bwana, mambo gani hayo unaongea hapa huoni watu?β alisema kwa hasira kidogo maana hayo mambo mwenyewe mgeni
Safari iliendelea kwenda tanga, na ikiwa saa kumi na mbili, walikuwa tanga mjini βUnajua nini?β aliuliza Ray
βSijuiβ
βSijawahi fika tanga mjiniβ¦..leo nimeamua na mimi nifike, sasa tufanye kitu kimoja cha maanaβ alisema na kumshika mkono wakaanza kutembea
βKitu ganiβ
βWe twendeβ
Walitembea wakavuka barabara na kwenda katika duka la simu lililokuwa limeandikwa JM MEMORIAL,wakaingia ndani.
βOi niaje bossβ walimsalimia muuzaji
βPoa, kaka karibuβ alisema kijana huyo aliyekuwa anauza
βNapata simu gani laki na nusu hapa?β aliuliza
βSmartphone au?β aliuliza kijana huyo
βNope, nataka ya bataniβ alisema Ray
βHahaaβ kijana yule alitabasamu βSasa broo kuna kitochi cha shilingi laki na nusu kweli?β aliuliza
βSasa mbona unauliza ni smartphone? Embu nipatie bwana simu nimnunulie mke wanguβ alisema huku akimtazama Naa, halafu wote wakatabasamu, cheo cha kuitwa mke sio mchezo
βMhβ¦..okβ¦.kuna hii hapaβ alisema kijana hyo akinyoosha mkono kugusa simu iliyokuwa kwenye kabati kubwa la vioo
βNataka Infinix au Oppo, au Samsungβ alisema
βKwa bei hiyo broo hamna hizo simu, hizo zinaanzia laki tatuβ alisema kijana huyo
βOk nipe Samsung ya bei rahisiβ
βIpo hii hapa, laki tatuβ
βNope nakupa laki mbili na nusu kama vipiβ
βHamna broo hailipiβ
βmmh, sasa itakuwaje, nafikiri ndo simu nzuri, haya infinix je?β aliuliza
βIpo ya laki mbili na nusuβ
βOk embuβ
Kijana alitoa simu na kumkabidhi mtaalam akaitazama halafu akamuonyeshea Nasma βHii inakufa??β alimuuliza
βyoyote tu mimiβ
βhamna mimi sijaipenda naomba yenye finger printβ
βza finger printβ¦β¦laki 3 na 20β
βJesusβ alishtuka kwanza
βnoope nipe ya laki mbili na nusu bwanaβ
βLabda tecno tena zilizopitwa na wakatiβ
βDoooohβ¦β¦hamna kampuni nyingine? Eeh haya nitafute basi nzuri bwanaβ
βKijana yule aliparangana, mpaka akachomoa infinixβ¦ yenye finger print βbroo, kwa hii simu nakupa kwa laki mbili na themaninii mwisho kabisa haiupungui nakuambia unataka nikose kazi nini?β aliuliza
βHahaaaβ¦.ok niwekee basi niondokeβ alisema Ray na kumshika na mkono huku akimkonyeza halafu akatoa wallet yenye shilingi nyekundu kutosha, akaanza kuhesabu huku akiuliza maswali βSamahani hapa kuna lodge gani kali boss?β aliuliza
βkuna Kabil Rah Lodge elfu thelathini usiku mmojaβ alisema
βIko wapi hiyo?β aliuliza
βIko hapa nyuma tu hivi, ukizunguka utaonda bango kubwa linawasha taa imeandikwa KABIL RAH LODGEβ
βOkβ¦.shika pesa yakoβ alisema Ray na kumkabidhi
Kijana hiyo alihesabu akaridhia kisha akaandika risiti akampa na simu yake kwenye box kisha wakatoka nje na kuelekea babarani.
Hawakwenda mbali, walimtembelea wakala wa kusajili laini, kisha wakasajili laini mpya ya binti kwa kutumia kitambulisho cha Ray halafu wakaelekea lodge kwa ajili ya kuweka mizigo na kuoga maana hawakuoga tangu asubuhi.
Walifika ndani ya lodge wakaweka mizigo halafu simu mpya ikawekwa chaji
βAsante kwa simuβ alisema binti
βNikumbatie basiβ alisema Ray, na Nasma akafanya hivyo
Walianza kupigana romβ¦..ance, huku wakipapasana, halafu nguo zinavuliwa zote, kisha Ray akambeba uc...hi uc...hi mpaka bafuni wakaanza kuogaβ¦β¦ITAENDELEAA
πΏππ£πππ‘πππ¦.....: ππππ ππππ ππ ππππππ ππ πππππ ππππ
(ππππ£ππ πππͺπ£π€π£π)
π©ππππ ππ πΊπππππππ
SEHEMU ya 26
Sabuni iliteleza katika mwili mzima wa Nasma, muda wote alikuwa anaogopa kwa sababu ya aibu
βSssssh jamani kakaβ alisema mtoto wa kike akificha uso wake kwa aibu, muda wote alikuwa anaogopa sana kwani alikuwa mchezo huo hajauzoea kivile
Ray alimwagia maji mwilini binti halafu alianza kumnyonya maziwa, ndo kabisa binti macho yaligeuka kama vile anataka kufa, alianza kujisikia tofauti na alivyozoea, alijihisi kuna kitu anataka ila sasa kinachelewa βAaaash babyβ alisema kwa hisia mtoto wa kike
Ray aliacha kumnyonya maziwa akaanza kupapasa kiuno na kumtazama usoni binti ambaye alikuwa amefumba macho na mkono akiuegemeza ukutani ili asidondoke
βMbona shanga hujajifungiaβ aliuliza mwamba huku akipeleka mkono Katikati ya mapaja ya mtoto wa kike halafu akaanza kupapapasa
Nasma aliinua uso ili amjibu kwa nini hajavaa shanga, lakini hakuweza kuongea badala yake alipiga kelele za mahaba βAaaaasss baby ssssh oohβ alisema kwa hisia maana dole la kati la Ray lilikuwa likipenya taratibu kitumbuani mwa mtoto wa kike, mpaka likaingia lote
βmke wanguβalisema Ray na kuuma mdomo
βAsssh mu,β¦me wanguβ alisema huku akiunyanyua mkono mmoja na kujaribu kuzuia kidole cha mtaalam kisizidi kumfanyia maajabu ya kumtekenya, hapo ndipo alipozidi kusikia utamu maana Ray alijua sana kutumia dole alimtekenya.
Mwili wote wa binti ulisisimka halafu akaanza kupiga kelele huku akilegea zaidi βAaaash aaaash ohβ¦β¦babyβ¦..sssssssh aaahβ aliongea kimahaba kisha akatetemeka kama mtu aliyepigwa shoti mwili mzima hapo ndipo kidole cha Ray kililowa chote maana binti alikuwa ameshafika mahali pake
Alikaa kama sekunde 10 binti akiwa anahema halafu aliutoa mkono wa Ray kwa nguvu βinatosha jamaniβ alisema huku akimtazama kwa macho ya kurembu rembua Ray akatabasamu na kuinuka halafu akamkumbatia.
Alifungulia maji yakawa yanatiririka katika miili yao, ambapo walioga mpaka wakaridhika na kutoka nje ya bafu wakaenda chumbani.
Walijifuta na kuketi kitandani. βRayβ aliita binti Ray akageuza macho na kumtazama βnina njaaβ
βUsijali unakula sasa hivi subiriβ aliongea na kuinuka halafu akavaa suruali na fulana yake, na kutoka nje. Alikaa kama dakika tatu, akarudi na kuketi pembeni mwa binti akamshika
βUsinishikeβ alimwambia maana mwili ulikuwa hauna mzuka wa kuguswa alihisi ni usumbufu tu
βMmmmh, ina maana hatufanyi?β aliuliza
βsubiri kwanzaβ alisema binti
Kwa sababu Ray alikuwa ni mtu mzima alielewa kwamba binti hamu hana, aliwaza akaona asubiri wale kwanza halafu ndo waendelee na shughuli.
Aliitazama ile simu mpya iliyokuwa chaji na kuitazama ilikuwa ilikuwa imeshajaa, maana alipoinunua ilikuwa na chaji asilimia kama 80 hivi. Aliitoa chaji akatia laini na kuiwasha akaanza kuipangilia na kumpa demu
βItabidi unifundishe kwanza maana sijawahi kutumiaβ alisema binti mara mlango ukagongwa
βUtajifunza haina ugumu wowoteβ alisema Ray na kuinuka akaenda mlangoni na kufungua alikuwa muhudumu kaleta chakula na vinywaji
βAsanteeβ alisema Ray na kupokea akarudi ndani na kufunga mlango
Aliweka chakula kwenye stuli kisha akaivuta na kuweka karibu βTuleβ alimuambia binti, ndipo binti akapata mshawasha fulani hivi βNilisheβ alisema
βmmmmh, ni jukumu langu, but kwa kweli nakulisha na mdomoβ alisema
βsawa tyuβ alisema binti
Ray alikamata kinyango cha nyama na kuweza kukitia mdomoni halafu akamsogezea binti, Nasma alikipokea na kurembua macho halafu akaanza kutafuna taratiiibu
Ray yeye alichota cha kwake akaanza kula mwenyewe hivi, kama vijiko viwili vya pilao halafu akamtazama usoni mtoto wa kike na kumfuta futa mdomoni βNasma wewe ni mzuri sana, yaani najisifu sana kuishi na wewe kipenziβ alisema jamaa na kuchota chakula akamtia binti mdomoni.
Wakiendelea kutafuna Ray alufunua soda na kuanza kunywa huku akimkonyeza binti wote wakacheka
βHivi?β alimuuliza
βM..hβ alisema Ray
βkumbe ndo hivi mapenzi yanakuwaga matamu?β aliuliza
βMkipendana wawili lazima mapenzi yawe matamu, ila kama mmoja akizingua tu, utamu wote huishaβ
βMmmh, naogopa ila nasikia raha kuwa na mwanaume wanguβ¦..Rayβ alimuita kwa sauti nzuri
βMnnhβ alimuitika kwa mguno
βnaomba usiniache, mimi nataka uwe mwanaume wangu wa kwanza na wa mwisho, sawa?β aliuliza
βSiwezi nikakusaliti, japo unaninyima naniliuβ
βNakupa, ngoja nishibe kwanza , ila usiin.....gize yote basiβ
βMmmmhβ¦. Haya kunywa sodaβ
βSanteβ alisema binti na kufunua soda akanywa
Baada ya kumaliza kula, Ray alichukua begi akatoa mswaki na dawa, akaanza kuswaki, huku akielekea bafuni, Nasma alijilaza kitandani na simu yake
βHivi Nasma umekuja na mswaki?β aliuliza akiwa bafuni
βHamna nimesahauβ
βMh inabidi utumie huu wa kwangu kwani unaogopa?β
βHamna shidaβ alisema binti
Wote waliswaki vizuri na kuruka kitandani na kuanza kumfundisha simu, katika kufundishana simu, mitek....enyo kwenye kwenye kwapa ikaendelea
βAhahahahahaβ¦..Bhanaa.aaaa achaβ binti alisema kwa hisia, huku akijip.....anua na kubaki uc...hi maana tau...lo lilifu...nguka.
Ray alimpanda kifuani,na kushusha sur.....uali yake, dakika mbili nyingi, chumba chote ni kelele tu
βAaaashβ¦..baby santeee ssssh tamu oooooh aaaahβ alisema mtoto wa kike kwa hisia, lakini akiwa anasuguliwa vizuri sana kwenye naniliu.
Ilibidi Ray amdake ulimi ili kelele zipungue japo zinaleta rahaβ¦β¦alizidi kumsugua huku akimpapasa sehemu tofauti za mwiliβ¦β¦β¦β¦..ITAENDELEA
πΏππ£πππ‘πππ¦.....: ππππ ππππ ππ ππππππ ππ πππππ ππππ
(ππππ£ππ πππͺπ£π€π£π)
π©ππππ ππ πΊπππππππ
SEHEMU YA 27
ASUBUHI TANGA MJINI
Ikiwa ni saa 12 asubuhi, tanga mjini, Ray alikuwa ameshapanda ndani ya basi, walisubiria mwendo tu waweze kuelekea jijini Dar.
Pembeni yake aliketi mtoto mzuri mweupe, aliyefahamika kwa jina la Nasma, alikuwa amejitoa sadaka ya kwenda kuishi naye japo alikuwa hajiamini kivile.
Kwenye gari kila, mmoja alikuwa akichezea simu yake, alimuwekea binti bando la kutosha na muda huo alikuwa YouTube anaangalia Americaβs Got Talent.
βVipi chaji?β
βIna asilimia sabiniβ Naa alijibu
βMh iko vizuri aiseeβ alisema mtoto wa kike na safari iliendelea.
Ikiwa ni saa saba mchana, walifika katika stand kuu ya mikoani jijini Dar, iliyoko Ubungo. Ambapo walishuka na kuanza kutembea huku mvua ikinyesha kali sana, walitembea mpaka kwenye stand ya magari yaliyokuwa yanaelekea katika eneo la Makumbusho alilokuwa akiishi mtaalam. Walipanda kwenye daladala na kuketi
βUnaonaje Dar?β aliuliza
βPazuriβ alisema binti na kutazama watu.
βOk twende nyumbani sasaβ
**
Baada ya dakika 40 walikuwa wameshafika katika nyumba aliyokuwa amepanga mtaalam. Waliingia ndani ya geti
βOhhhh Mungu wangu!!!!β Ray alishtuka
βVipi tena?β aliuliza
βSina ufunguo halafu mtu mwenyewe Dah sijui atakuwa wapiβ alisema huku akitoa simu mfukoni na kumpigia Karim
βKakaβ alisema Ray
βBwege kweli, ndo unanitafuta leoβ alisema Karimu
βDaaah ukiona hivi, niko na shida mzeeβ
βShida ya hela, mimi sina helaβ
βHahhaaaβ¦..sio hela vipi uko wapi?β
βNiko getini kwako hapaβ
βUtaniβ
βKweli mzee embu subiri nakuchekiβ alisema Karimu na kukata simu.
Ray alibaki ameduwaa, mara geti lilifunguliwa, akaingia Karimu akiwa na mtoto mkali, alitaka akamtindue kwenye geto la Ray.
βHuh Rayβ aliongea kwa mshtuko baada ya kumuona Ray
βHahahahaaaaaaβ¦β¦β¦.mzeeβ Ray alicheka sana maana alijua ashamuharibia mtu tayari
βMambo gani tena? Umekuja bila taarifaβ alisema Karimu huku akicheka, na kumsogelea Ray akampa tano
βMission impossibleβ alisema Ray
βNa kweli maana nakuona upo na mtotoβ¦..β alisema Karimu na kumgeukia Naa βMamboβ alimsalimia
βSafiβ
βYaapi, mama mwenye nyumbaβ¦.nimekuja nayeβ
βSerious?β
βYeah mzee, embu nipe key nipumzike, hayo ya kwenu mtajua wenyeweβ
βHahhaaβ Karimu alicheka na kutoa ufunguo halafu akageuka na kumtazama mpenzi wake
βChupi ya kuazima?β alimuuliza demu wake
βHaisitiri makalioβ
βHaya tuondoke sasaβ¦..kwa heri nina haraka kidogoβ Karimu aliongea na kusepa
βNtakushtuaaaβ
Ray alifungua nyumba na kuingia na mtoto ndani. Kweli walifurahia, maana ndo ulikuwa mwisho wa safari pale.
**
Upande wa nje, kuna jirani alikuwa amemuona Ray akiwa anaingia na demu mwingine, alitoka nje ya geti na kumpigia Rose simu
βHallooo shogaaβ alisema huyo binti
βNambiee Phinaβ alijibu Rose
βNaona tumeletewa mtoto mweupeeeβ alisema Phina
βkivipi?β aliuliza
βRay kaja na katoto kazuri, tena kabichiii mhβ
βUtani shoga anguβ
βKweli vile tena amemtoa kwao kabisa
βHamna shida, mimi mwenyewe nishamsahau kitambo sana, sina time naye nina mwanaume mwingine sa hivi mwenye pesa zakeβ alisema Rose
βPoa mwayaβ
βOkβ Rose alikata simu.
Ray na Nasma walianza kuishi kwa furaha katika chumba hicho huku wakiwa kama mume na mke kabisa japo hawakuwa na ndoa halali walipendana na kila mmoja aliridhia na mwenzake.
Ray alikuwa alimtafutia Nasma sehemu ya kujifunza kusuka nywele ndani ya wiki hiyo hiyo, na binti alianza mafunzo kwa ajili ya maisha yao ya baadaye, waliendelea vyema bila kusumbuliwa
NAAAAAAAAAAAAAAAM
Huu ndio mwisho wa SEASON ONE ya SIMULIZI YETU NZURI iendayo kwa jina la LAST-BORN NA BIKIRA YA HOUSE GIRL (Shanga Kiunoni)
SEASON TWO IPO NA IMEKAMILIKA
KUIPATA NI SH 1000 TU
WAHI WHATSAPP UJE UJISOMEE
NAMBA YA MALIPO NA WHATSAPP NI VODACOM M PESA 0743433005 JINA NI AGUSTINO UKISHALIPA TOA TAARIFA WHATSAPP UTUMIWE
Pale Facebook Follow Page ya Simulizi iitwayo π΄π π©ππππ ππ (πΊπππππππ)
Kisha jiunge na group letu la Facebook Liitwalo π©ππππ ππ πΊπππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni