MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????
NO: 03
Nilienda bwenini kwetu nilijilaza kidogo baada ya muda alikuja Chris na kuniambia Irene sitochoka kuku fuata ila jua nimekupenda sana
Nikamjibu ondoka nitakupia kelele kuwa umeingia bweni la wanawake
Akajibu kuwa sawa naondoka ila tambua mimi nakupenda sana naomba utambue unanitesa sijawahi kuhisi hivi ninavyo jihisi tagu nawajua wasichana nikweli
Nikamjibu hebu ondoka hapa unajua nini kuhusu kupenda wewe
Huna hata moyo wa huruma umewaumiza watoto wawatu
Unavyodhani mimi sikujui nakujua sana Chris mimi sio hao wasichana mimi nimwengine
Nimekuja kusomatuu sijafuata mengineyo niache basi istoshe laiti ungejua hii nafasi ya kuwa hapa darasani nimepewa kwa mashart na nimeombewa sana
Siko tayari kumuangusha alieniombea hivyo niweke mbali nawewe tafuta wasichana wa aina hiyo unayotaka ila sio mimi
Tafadhari nielewe nitaumia sana nikiipoteza nafasi hii ya kuwa hapa shule kwa ajili ya maisha yangu ya baadae
Chris akajibu hutoikosa nafasi ya kuwa shule hata maramoja kwakuwa nipo hai nakuakikishia
Nikamuambia wewe hujui Chris naomba ondoka bwana
Chris akasema kuwa siondoki hapa mpaka kieleweke ukubali
Mwisho niliongea kwa hasira kuwa nimeililia hii nafasi mpaka nimedhaminiwa na mamaangu nikifanya kosa mishe ilikuwa niolewe sina faida
Nimeambiwa nikikosea naenda kuolewa tuu nitake nisitake sasa wewe ndio unataka nikaharibu maisha yangu sio ninandoto zangu namimi
Chris aliona huluma na kuja kunikumbatia kwa nguvu
Huku akiniambia basi basi ila amini sipo kwaajili ya kuharibu maisha yako nakupenda kwa dhati kabisa Irene nielewe basi mwenzio
Nilichukia nikawa naliatuu yaani Chris hutaki kunielewa wewe nimbinafsi sana
Chris akajibu kuwa siko hivyo basi nifanye nini ujue kuwa sina niambaya naww
Nakupenda kwadhati kipenzi changu sijawahi kuwa hivi nilikuwa nawadharau sana wanawake Irene ndio wakwanza kukupenda
Na wewe hunipendi sijui ndio adhabu gani hii mungu ananipa
Chris alikuwa anatokwa machozi kabisa na kusema niambie chochote nini nikufanyie labda utaniamini
Nitakufanyia chochote sema Irene nakupenda huku akinishika usoni nitizame machoni napitia adhabu gani hii
Kwani kupenda ni dhambi niambie eeh Irene
Nilimjibu haya basi sawa niache nifikilie kisha nitakujibu
Haya nenda sasa watu wasikukute maana sitaki kufukuzwa shule mimi au kuambiwa nimuite mzazi
Aliitikia basi sawa nimekuelewa ila usinisahau nifikilie mpenz
Akaondoka Chris na kuniacha nikiwa namawazo sana sijui huyu Chris nini nia yake je kweli ananipenda mmmh
Endelea kufuatilia...............