VYOTE NDANI GONGA94
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??
NO: 04
Nilibaki najiiuliza mwenyewe hata sijui nimjibu nini eeeh
Mala akaingia Najma na kuniuliza vipi Irene unaendeleaje
Nilimjibu nibora ningekuwa darasani hata ningepata nafuu kuliko kuja huku ndio kwaanza nimekitibua kichwa
Najma kulikoni kivipi ulipaswa kulala upumzike dawa zifanye kazi
Nikamjibu sihuyo Chris alinifuata tangu naingia mpaka sasa hivi niyeyetuu nilie kuwa napigizana nae kelele nimbishi sana kuelewa
Najma ila kiukweli Chris safari hii naubabe wake woote umemteka hukweli tena
Maana hajuagi kubembeleza akikutaka hata umkatae yeye atawatuma watu wanakuja kukubeba kwa nguvu
Nawalimu kesizake wamezichoka hawamfanyi chochote
Navile ukizingatia ni mtoto wa kiongozi mmmh
Sasa umemjibu nini maana huyo sijui
Nimemwelezea mimi sitaki lakini haelewi mbona hadi kalia na machozi kabisa
Najma weeeh! Usiniambie kalia kabisaa?
Nikamjibu ndio kalia sijui nini kaona kwangu maana haelewi hata niongee luga gani
Najma mpe nafasi kisha utamjua ukiona anakuzingua mbwage
Naogopa kujihusisha na mapenzi najua mapenzi na kusoma nivitu ambavyo havishabiiani kabisa
Najma najua ila nduguyangu unataka kuniambia hutokuja kuwa na mahusiano
Nilimjibu muda hujafika ukifika sawa
Najma unapoteza bahati mtoto wa waziri amekupenda shogaangu wasichana wengi wanatafuta nafasi hiyo wameishia kuchezewa na kuachwa
Wewe unapoteza nafasi mpaka analia mbeleyako
Hakika kunausemi unasema ukiona mwanaume analia mbele ya mwanamke ujue kunajambo
Nilimuuliza sasa Najma unanishauli nini nifanye
Najma mkubalie utaona kama sio mkwelu utaachana nae
Nikamjibu basi sawa ila sitaki kuumia namkubalia tuu simuweki moyoni kwani sipo tayari kumuweka moyoni mtu
Najma akajibu safi hivyo hivyo ndio mpango
Hakika Irene alikuwa nibinti wakawaida kimaisha ila nimzuri sana na anaakili mno
Alikuwa anaipenda sana shule na alikuwa anamalengo na misimamo yake
Siku iliyofuata nikuwa nikobize najiandaa na mitihani hivyo nilikuwa najisomea pekeangu
Alikuja Najma na kuniambia kunamtu anakutafuta
Nikamuuliza nani huyo anae nitafuta muda huu ninasoma kwaajili ya mitihani
Najma akajibu huyu hapa alikuwa nyuma yake ni Chris
Nilimtizama kisha nikamuuliza vipi Chris hapari yako
Akajibu sio nzuri
Nikamuuliza kwanini
Akanijibu inategemea na majibu yako ndio nitakuwa sawa
Najma akaniambia naomba niwapishe ila akaninong'oneza kuwa nakuamini
Nikasmail kidogo
Aliondoka akatuacha wenyewe nikamjibu Chris kuwa nimekukubaalia ombi lako
Chris alifurahi sana akaja kunikumbatia kwa nguvu na kunibusu
Akaniambia Irene
Endelea kufuatilia................FULL 1000
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NAWACHUKIA MASHANGAZI, SHANGAZI YANGU ALISHIRIKI KUNIUMIZA KIHISIA NA KWA KUNIVUA UTU NA THAMANI YANGU
Nilikuwa nakaa kwa SHANGAZI YANGU baada ya mama angu kufariki na baba angu kuondoka kwenda machimboni. Shangazi yangu h...
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *19&20* Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop
ananipenda kwell, anantreat vizuri, ananipa kila kitu ninachotaka. Kila akiwa free, ananipeleka out, tunajirusha kama h...
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *1-5* *________________________________________* *SEHEMU YA : 01* Mapenzi ni kitu cha kijinga sana. Yaani yanaweza kukufanya ufanye ujinga ambao hata wewe hukuwahi kufikiria
unaweza kufanya. Na mimi ni mfano halisi wa ujinga huo. Ukiniuliza, nitakupa jibu simple kuwa maisha yangu ya mapenzi ...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
. Elton alianza kunifundisha mambo mengi hasa. mapishi. Akanifundisha kupika wali, pilau, ndizi pamoja na mchuzi wa nyam...
FATE TO LOVE YOU 💓 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
Walienda kukaa bustani na kuongea mambo mengi sana. Hali ya hewa ilianza kuwa ya kiubaridi lakini hakuna alietamani kwe...
MY HEART BEAT 🥰 1-----5 SEHEMU..1 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.
Ungana nami kwenye stor yangu utaburudika nakughadhabika najua yote ndio tumeumbiwa wanadamu sisi. Nilikua nikiota ndot...
BETWEEN SISTERS AND SECRET ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Okay, kaendelee na kazi, badae tutaongea vizuri." Mira alimkumbatia Gael kwa mapenzi yote lakini wa nyuma alimzomea
. Jioni Mira hakutaka kutoka na Gael, alisema anamgeni hivyo atawahi kurudi nyumbani. Gael aliamua kwenda dukani kwa mam...
BETWEEN SISTERS AND SECRET _____________________________________*6--7 *SEHEMU YA SITA* "Looh, msichana ana balaa yule! Kwahiyo anaona bora mapenzi kuliko undugu, na Mr. Gael wa watu alivyo mtaratibu na mu-handsome
vile. Ilikuwaje akaenda kuanguka kwa Mira? Mbona kazi anayo! Bora hata angempenda mrembo wangu Mia," Furaha alimtania M...
**Simulizi: Stuck With You (Mfungwa wa Mapenzi)** Amina alikuwa msichana mrembo, mwenye ndoto nyingi na moyo wa upendo.
Alikuwa amezoea maisha ya kawaida katika jiji la Dar es Salaam, akifanya kazi kwenye duka la maua la familia yao. Lakin...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
Skip Ad
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
share
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ?? NO: 04
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??
NO: 04
Nilibaki najiiuliza mwenyewe hata sijui nimjibu nini eeeh
Mala akaingia Najma na kuniuliza vipi Irene unaendeleaje
Nilimjibu nibora ningekuwa darasani hata ningepata nafuu kuliko kuja huku ndio kwaanza nimekitibua kichwa
Najma kulikoni kivipi ulipaswa kulala upumzike dawa zifanye kazi
Nikamjibu sihuyo Chris alinifuata tangu naingia mpaka sasa hivi niyeyetuu nilie kuwa napigizana nae kelele nimbishi sana kuelewa
Najma ila kiukweli Chris safari hii naubabe wake woote umemteka hukweli tena
Maana hajuagi kubembeleza akikutaka hata umkatae yeye atawatuma watu wanakuja kukubeba kwa nguvu
Nawalimu kesizake wamezichoka hawamfanyi chochote
Navile ukizingatia ni mtoto wa kiongozi mmmh
Sasa...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no-04
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle
Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn Share on Pinterest
 
Show Text
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ni-hisia-taam-sana-no
Maoni