MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ??
NO: 16
Tulipomaliza walikuwa wameshiba tuliwabeulisha baada ya hapo tuliwabembeleza wakalala
Tuliwalaza kisha mama Chris alikuwa anataka kujua uliwezaje kuja nao toka kwenu
Nilimwambia nilipanda tax kisha alinipeleka hadi stend niliomba msaada wa kupokewa mabegi na dereva wa tax hadi kwenye bas
Kisha nikamfuata nyuma nikiwa nimewabeba mwenyewe
Nilikuwa sitaki mtu anisaidie watoto nilikuwa naogopa kuibiwa nibora waniinie mabegi ila sio watoto
Hadi wenye kiti nawanangu niliposhuka mbezi pia niliwaomba makonda wanishushie nikachukua tax waliniwekea kwenye tax
Hadi naingia hapa kwanza nilianzia mahali tulipokuwa tunakaa sikumkuta na dereva wangu wa tax hakuniacha
Hadi chuoni nilipoambiwa Chris yupo ndio nikamruhusu anishushe
Chris pia alinipokea mabegi tu watoto hakuweza kuwagusa
Nilipofika hapa ndipo nikawaluhusu kwakuwa nilijua hapa ni nyumbani kwao
Mama Chris alifurahi sana na kunisifu kwa kuniambia wewe ndio mama bora unaweza kuwalinda wanao
Nilifurahi kusikia kisha Chris akaniambia twende chuoni kwenu tufuatilie
Nikamwambia sawa tulimuaga mama na kwenda chuo
Alihakikisha naludishwa chuo tena
Nayeye alikuwa fild tulikuwa tunapendana sana
Asubuhi ananipeleka chuo kwanza mimi kisha anaenda zake fild yeye
Na mamaake aliajili wadada wakuwatizama kina carita
Na ilikuwa na amani sana niliwasiliana na mama na kumuambia kuwa watoto wamepokelewa na mimi nimeludi chuo tena
Mamaangu alifurahia sana na nilimwambia wamepewa majiba kulwa anaitwa carena na doto carita
Mamaangu alifurahia sana na kuniambia mtakuwa na maisha bora sasa nashukulu mungu kwa hilo
Nikamwambia pia nimevishwa na pete ya uchumba
Mama aliniambia funga na ndoa ya kanisani ukija huku uje ukiwa umwfunga ndoa ila sio kwa sasa
Nikamuuliza kuwa ulisha mwambia kuwa hawa watoto sio wahuyo mbaba
Mama akanijibu hajui bado na sitaki ajue sasa
Nilifurahi nikamwambia ukinihitaji nipigie hii namba au kama unashida yeyote niambie
Mamaangu alifurahi sana na kuniambia naradhi nawewe mwanangu kuwa na maisha mazuri
Nilifurahi sana niliendelea na chuo na Chris alipomaliza fild
Endelea kufuatilia.....................