MAPENZI NI HISIA TAAM SANA ????
NO: 18
Baada ya siku kadhaa Chris alinipigia na kunijulia hali
Tuliongea mengu na kuhusu watoto wetu
Ikawa ndio kawaida kila siku jioni tunaongea na Chris
Nilishangaa siku hiyo Chris hakunipigia sim nilipiga sana hakuwa online
Siku iliisha na siku nyingine tena iliisha
Baada ya siku kama nne anakuja kupatikana maramoja
Nikimuuliza anasema kuwa ninajisomea nakuwa bize sana mpenzi
Nikiongea na mamaake ananiambia kuwa nisihofu yukobize na kilicho mpeleka
Niliendelea kuwa mvumilivu hadi kunamuda nilikuwa nalia pekeangu
Sikumoja nilimpigia Chris video coll alipo pokea niliongea nae kwa kutazamana
Alikuwa kitandani yupo kifua wazi aliniambia yaani ninakuwa bize mno hivyo nakosa hadi muda wakuongea na wewe na watoto wangu
Gafla nilimuona mschana kwa pembeni alikuja bia kutarajia nae alikuwa kavaa kisidilia na kichupitu
Hivyo nilichukia nikakata ile sim na kutoka nyumbani nilienda nje na nyumbani nilienda kupungwa upepo huku nikilia sana kwa uchungu
Nilijifikilia kwa muda nikaona nitoke pale kwao niende nikapange mwenyewe kwanza tayari
Nilikuwa ninamshahara na nilikuwa ninajiweza kulipa kodi
Sikumwambia mamaake na Chris wala bibiake
Nilitafuta nyumba na nikahama bila kumtaarifu mtu niliwadanganya naenda morogoro nitarudi nikaondoka
Niliweka wadada kwaajili ya watoto na usafi walikuwa watatu
Niliwalipa vizurituu na tulikaa kwa amani na upendo nilikuwa na hasira sana na wanaume
Chris kila akipiga nakata na kwao wanamwambia nilienda kwetu kusalimia na watoto
Hivyo ilikatika miezi mitatu kimya sijaridi nyumbani hivyo aliona mama Chris aje ofisini kwetu kuulizia
Akaambiwa yupo kazini kilasiku lakini leo kaenda kriniki mpaka kesho
Kweli kesho yake alikuja kuniulizia akaambiwa nipo ofisini kwangu
Na akaja akanikuta nilipomuona nilisimama nikamkumbatia
Akaniuliza hujambo mwanangu
Nilimjibu sijambo shikamoo Mama
Aliitikia marhabaa vipi watoto wanaendeleaje
Nilimjibh hawajambo kabisa
Akaniuliza sasa mbona umetukimbia umtkimbia na watoto kweli Irene
Nilimjibh hapana mama nilienda kupumzika kidogi
Akaniuliza upumzike kwani pale kwetu kunashuguri nzito
Nilimjibu hapana mamaangu nilikuwa nimeboreka Chris alichonifanyia
Endelea kufuatilia........... .