Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMBA YA BESTMAN 13
Gonga94 · Stories

MIMBA YA BESTMAN 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MIMBA YA BESTMAN 13

Baada ya muda mulky alishituka baada ya kushikwa mabegani .
"Vipi mke wangu mbona umeniacha mwenyewe kitandani umekuja kusimama huku mwenyewe?
" Sina usingizi nikaamua kuja huku kupunga upepo. Alijibu mulky huku akionekana kuwa na wasiwasi.
" Vipi mbona kama una hofu?
Ni kweli mulky alikuwa na hofu lakini alificha kwa tabasamu alimgeukia mume wake na kuweka mikono yake juu ya mabega ya Yasini na Yasini aliushika kiuno cha mulky huku wakiwa wanaangaliana usoni.
Mulky akasema
" Unasema nina hofu? Kwani naonekana kuwa hivyo?
" Nahisi hivyo.
" Nawezaje kuwa na hofu ikiwa wewe upo pamoja nami hapa?
Yasini alitabasamu kisha akasogea karibu na shingo ya mulky na kumbusu kwenye ngozi yake nyororo ambayo ilimpa msisimko Yasini .
" Hivi ni kweli umekosa usingizi au kuna jambo lingine mke wangu?
Hili swali kilimshitua kidogo mulky mpaka akahisi huenda Yasini kamsikia alivyokuwa anaongea na simu.
" Unahisi nakudanganya?
Yasini alimuangalia vizuri kwenye macho alafu akasema
" Mbona kama ulikuwa unalia?
" aaaaah....
" Aaaaah nini mke wangu kipenzi? Aliuliza Yasini huku akiwa ameshika mulky mashavu.
Mulky alipata jibu la haraka akajibu
" Nilipata ndoto mbaya usingizi ukakata ,sikupata tena usingizi ndio maana nikaja hapa japo nipigwe na huu upepo.
" Umeota nini?
" Ndoto za ajabu tu.
"Pole sana mke wangu.
" Asante"
" Wakati mwingine ukijisikia vibaya , iliita ndoto mbaya , ikikosa usingizi basi usisite kuniamsha.
" Sawa.
Yasini alimshika mkono wakaenda kukaa kwenye kiti, Yasini alimgeukia mulky na kumshika viganja vya mikono yake kwa upendo mkubwa alafu akasema.
" Mulky Unajua wewe ndio ulimwengu wangu nahisi siwezi kuishi bila wewe mulky kila siku naomba Mungu uwe wewe tu sina ubavu mwingine na siwezi kubadili ubavu natamani unizike nikitokea na huo ndio uwe mwisho wetu.

Maneno ya Yasini yalikuwa mazito sana yaliugusa moyo wa Mulky na kufanya machozi yatililika machoni kwake. Yasini alimfuta kwa kutumia kiganja chake cha mkono , Mulky alishindwa kuficha hisia zake alimkumbatia Yasini na kumwambia kuwa anampenda sana.
Yasini alitabasamu huku akiwa anampapasa mgongoni na kumjibu.
" Nakupenda zaidi ya sana umenibimipia kwa mengi mke wangu na kuwaficha mapungufu yangu.
Hapo moyo wa Mulky ulimsuta alijihisi kufanya kosa kwani haikuwa kweli moja alisaliti pili akimsimulia kila kitu rafiki yake Hamida.
Yasini alivunja kumbatio na kumwambia
" Bado ni usiku twende tukapumzike mke wangu.
Walinyanyuka wakaelekea chumbani .
Walipanda kitandani wakalala huku Yasini akiwa kamkumbatia.

Muda ulienda walikuwa kimya na kila mmoja alikuwa macho, Mulky alikuwa kajilaza kifuani kwa Yasini huku akiwa anasikiliza mapigo ya moyo ya Yasini yalivyokuwa yanadunda .
" Baby...
Mulky aliita kwa sauti ya chini na Yasini akitikisa
" Naam, niambie mke wangu.
Mulky alinyanyua uso wake akamuangalia Yasini .
" Kwa mapenzi unayonionyesha nahisi nitakuwa kupagawa.
Yasini alitabasamu kisha akanyanyuka kidogo na kumbusu kwenye paji la uso huku mikono yake ikiwa imemkumbatia vizuri.
Mara simu ya mulky ilitoa mwanga Yasini akaona.
" Simu yako imewaka . Alisema Yasini huku alinyoosha mkono na kutaka kuchukua, mulky aliudaka mkono wa Yasini na kumzuia.
" Hapana achana nayo.
" Kwanini , itakuwaje kama umetumiwa ujumbe kuna mtu anashinda?
" Mume wangu huu ni muda wangu mimi na wewe sipendi kusumbuliwa hata kidogo hata kama kuna tatizo nitafanya nini muda huu? Alafu nahisi ni watu wa mitandao ni kawaida yao kunitumia messege usiku.
" Sawa .
Yasini alikubali , Mulky alisogeza midomo yake karibu na midomo ya Yasini wakaanza kukiss na kujikuta wamezama kwenye huba zito baada ya hapo walipitiwa na usingizi mzito kwaajili ya uchovu na hekaheka za kupeana burudani
[5/20, 10:43 PM] K. Hassan: Kesho yake asubuhi wahudumu wakiwaelekeza kifungua kinywa chumbani kwao walikula pamoja baada ya hapo Yasini alimtaka watoke wakazungumze kwaajili ya kuangalia mazingira.
Walikodi gari kwaajili ya kuwazungusha sehemu za kuvutia na kufanya manunuzi ya vitu vilivyowavutia.
Mulky alifurahia sana baada ya kuzunguka sana waliingia kwenye restaurant kwaajili ya kupata chakula .
Wakiwa wanakula chakula ghafla Mulky alikuwa mbali sana kimawazo mpaka aliacha kula akawa kazubaa tu.
" Hey... Yasini alimuongelesha lakini bado alikuwa mbali mpaka akaanguka ndipo Mulky akashituka.
" Una matatizo gani?
" Hapana.
" Hapana wakati nakuomba kabisa upo mbali sana kimawazo.
" Achana na hayo tuendelee kula.
Alijibu mulky huku akiendelea kula . Yasini alimuangalia akagundua mke wake hayupo sawa.
" Mulky kuna kitu unanificha?
Mulky alimuangalia kisha akasema
" Sijawahi kujificha jambo .
" Sasa mbona haupo sawa? Inamaana mimi ni mgeni kwako sijui kama upo sawa au una shida? Kumbuka tuna miaka miwili kwenye ndoa yetu nakujua vizuri sana.
Mulky aliacha kula alishusha kijiko kwenye sahani alafu akashusha pumzi na kusema.
" Jana nilipata ndoto ya kutisha sana labda ndio sababu ya mimi kuwa hivi
" Ni ndoto gani hiyo ambayo hutaki kuniambia

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMBA YA BESTMAN 13

MIMBA YA BESTMAN 13

Baada ya muda mulky alishituka baada ya kushikwa mabegani .
"Vipi mke wangu mbona umeniacha mwenyewe kitandani umekuja kusimama huku mwenyewe?
" Sina usingizi nikaamua kuja huku kupunga upepo. Alijibu mulky huku akionekana kuwa na wasiwasi.
" Vipi mbona kama una hofu?
Ni kweli mulky alikuwa na hofu lakini alificha kwa tabasamu alimgeukia mume wake na kuweka mikono yake juu ya mabega ya Yasini na Yasini aliushika kiuno cha mulky huku wakiwa wanaangaliana usoni.
Mulky akasema
" Unasema nina hofu? Kwani naonekana kuwa hivyo?
" Nahisi hivyo.
" Nawezaje kuwa na hofu ikiwa wewe upo pamoja nami hapa?
Yasini alitabasamu kisha akasogea karibu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimba-ya-bestman-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimba-ya-bestman
MIMBA YA BESTMAN 7
MIMBA YA BESTMAN 7
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 15
MIMBA YA BESTMAN 15
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 14
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
MIMBA YA BESTMAN 05
MIMBA YA BESTMAN 05
MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06
MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06
MIMBA YA BESTMAN 10
MIMBA YA BESTMAN 10
MIMBA YA BESTMAN 9
MIMBA YA BESTMAN 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

895
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

477
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

432
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

411
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

291
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest