Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMBA YA BESTMAN 9
Gonga94 · Stories

MIMBA YA BESTMAN 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MIMBA YA BESTMAN 9

Mara kwa mara Sameer alikuwa akimtembelea Mulky na walifurahia penzi lao bila mtu yoyote kujua kwani hata mlinzi hakuweza kushituka sababu tangia hapo mwanzo Sameer alikuwa akienda nyumbani kwa Yasini.
Siku moja wakiwa wamekaa sebleni Sameer alikuwa kajilaza mapajani kwa Mulky huku mulky akiwa anampapasa uso wa Sameer na waliongea mambo yao ya kimahaba kifupi ilikuwa ni furaha sana kwao.
Wakiwa wamejisahau walisikia sauti ya viatu ilimaanisha kuna mtu anaenda.
" Nahisi kuna mtu anakuja.
Alisema Sameer baada ya kusikia.
" Hakuna mtu ambae anaweza kuja kunitembelea muda huu.
Sameer alikosa amani alinyanyuka haraka akakaa.
" Hebu jitulize bwana hofu ya nini kama mlinzi hawezi kuja huku muda huu hata likitokea tatizo atapiga simu, Yasini bado sana kurudi.
" Niamini mimi kuna mtu yupo mlangoni.
Mulky aliamua kunyanyuka akaenda mpaka mlangoni akafungua kweli alimkuta Hamida kasimama mlangoni.
" Wewe umekuja saa ngapi?
" Mbona kama una wasiwasi , haujapenda mimi kuja kwako?
" Sina maana hiyo sio kawaida yako kuja kwangu bila kunipa taarifa .
" Basi ndio imetokea leo.
" Sawa Karibu ndani.
Mulky alimpisha Hamida akaingia ndani huku nyuma mulky alifunga mlango,Hamida alisalimiana na Sameer kisha akakaa.
" Nilikuwa na shemeji yangu ananichangamsha hapa. Mulky aliongea hivyo baada ya kumuona Hamida anamuangalia Sameer kwa jicho la kumtilia shaka.
" Sawa. Alijibu Hamida huku akitoa tabasamu.
Wakati huo Sameer hakuwa na amani alihisi hamida kawashitukia pale alipo anawachora tu akaamua kuaga.
" Sasa shem acha muda wangu wa kukaa hapa umeisha acha niwakimbie.
" Sawa.
" Ujio wangu ndio unakukimbiza? Aliuliza Hamida.
"Hapana nilikuwa hapa muda mrefu sana.
" Sawa.
Sameer alinyanyuka na kuondoka. Hamida alimgeukia Mulky na kumkazia macho usoni.
" Vipi mbona unaniangalia hivyo?
" Nahisi kuna kitu kinaendelea kati yako na huyo bestman wa .....
Kabla Hamida hajamaliza kuongea Mulky alimkatisha kwa kuuliza
" Kitu gani unachokihisi?
" Mulky sitegemei kama unafikiria kujificha kitu wakazi kuna kitu nahisi nimekoshuhudia kwa haya macho yangu mawili.
Mulky alishituka na mapigo ya moyo wake yakienda mbio.
" Umeona nini?
" Una mahusiano na Sameer.
" Unaongea nini wewe, Sameer ni rafiki mkubwa wa Yasini hivi kama mtu akija akasikia unaongea hayo maneno si itakuja kuleta shida na kwa upande wangu utakuwa umeniweka kwenye wakati mgumu sana unajua dhana sio kitu kizuri alafu mimi na Sameer tunaheshimu ana sana.
Mulky alilalamika ili kumuaminisha Hamida kuwa hakuna chochote kinachoendelea kati yake na Sameer.
" Sawa nimekuelewa shoga yangu.
" Naomba usije ukaingia tena kitu kama hicho.
" Nimekuelewa mama.
Waliamua kuachana na hizo habari wakaendelea kuongea mambo yao mengine.

Siku zilisogea Uhusiano wa Sameer na Mulky ulipamba moto muda ambao Yasini hakuwepo waliutumia vizuri sana hiyo nafasi walikutana hotelini kwaajili ya uhuru zaidi na kumaliza shida zao.
Siku moja wakiwa kwenye chumba cha hotel Mulki akiwa Kamlia Sameer kifuani alisema
" Si Unajua Yasini anarudi kesho ?
Sameer alishusha pumzi kisha akasema
" Najua . Sasa itakuwaje kuhusu uhusiano wetu ?
" Unataka kuniambia tutaachana?
" Sitamani hata kidogo iwe hivyo nakupenda sana Mulki na endapo ikatokea ukatoka kwenye ndoa yako basi nitakuwa.
Mulky alimuangalia Sameer huku akiwa anacheka
" Unacheka nini sasa kwani mimi siwezi kukuowa?
" Kumbuka una mchumba uneshamvalisha pete na unamalengo nae sasa usitake kunidanganya nikavunjika ndoa yangu kwa mikono yangu.
" Kwani uchumba si huwa unavunjika?
" Kwenye hilo swala hapana bora tuendelee tu kufanya siri na kila mmoja abaki kwenye mipaka yake.
" Unataka kuniambia utavumilia kwenye hiyo ndoa ?
" Kwa sasa wewe upo hivyo sina shaka nitakuwa napata kila nitakachokuwa nataka shida yangu imeisha sitaumiza tena kichwa .
Sameer akitabasamu na kukubaliana nae.
Waliongea mambo yao mengi kuhusu uhusiano wao baada ya hapo Mulki alinyanyuka akaingia bafuni kuoga kisha wakaagana akaondoka alirudi kwake na kumuacha Sameer pale kwenye chumba cha hotel.

Kesho yake mapema sana Mulky aliamka akiwa kachangamka na kuanza kufanya maandalizi ya kumpokea mume wake. Aliweka sawa mazingira ya chumba chake cha kulala na kuonekana na mvuto , harufu nzuri ya kuvutia . Alipomaliza aliingia bafuni akaoga alipomaliza alijifunga kipande kimoja cha kanga nyepesi na kwenda kusimama mbele ya Kioo cha dressing table alijiangalia kwenye kioo huku akisema.
" Anakuja sasa sijui nitaweza kujigawa vipi maana kumiliki na bwana wawili kwa wakati mmoja ni mtihani mkubwa sana kwangu na wote naona kila mmoja anafaida kwangu
Mume wangu Yasini japokuwa ana mapungufu lakini nampenda sana na Sameer ni mwanaume anaeniliwaza na kunipatia kile ninachotaka sasa hapa natakiwa kucheza kwa akili sana na siri mno.
Hivi nitaweza kweli tamaa ndio zinanihadaha?
Lakini Sameer ndio pumbazo la moyo na Yasini ni mume na ndio mwanaume aliyestahili kunipa kile ninachopata kwa Sameer sasa hapo nafanyaje jamani kwani hiki ninachofanya nitalaumiwa?
Mulky akiwa bado anawaza na kuwazua simu yake iliita. Aliekuwa anapiga alikuwa Sameer.
" Hallow.
" Habari yako asali wangu.
" Salama. Alijibu mulky huku akiwa anatabasamu.
" Uko wapi muda huu?
" Nipo nyumbani najiandaa kwenda kumpokea Yasini.
" Oooh sawa . Nimekupigia simu kukukumbusha kuwa ufute msg zote usiache ushahidi wowote .
" Nimeshafanya hivyo mapema sana.
" Safi sana nakupenda.
" Nakupenda pia.
" Ok bye.
Mulky alikata simu na kuanza kujiandaa kwaajili ya kwenda kumpokea mume wake.
Yasini alifurahi kuonana na mke wake.
" I miss you my wife.
Alisema huku akiwa kamkumbatia.
" Nilikukumbuka pia karibu tena nyumbani mume wangu.
" Asante.
Waliongozana kwenye gari yao na kuanza safari ya kurudi nyumbani kwao.
Walipofika nyumbani Mulky alifanya majukumu yake kama mke alimuandaa mume wake kwaajili ya kuoga alafu yeye akaenda jikoni kuandaa chakula .

Baada ya Yasini kutoka kuoga alitoka bafuni akakuta mke wake amemuandalia nguo za kubadili .
Alichukua zile nguo akavaa baada ya hapo alitoka na kwenda kuungana na mke wake kwenye meza ya kulia chakula.
" Vipi mke wangu kila kitu kipo sawa ? Usalama upo?
" Ndio usalama upo " "unauhakika hakuna ambae alikuwa ananisaidia majukumu? Aliuliza Yasini huku akiwa anamuangalia Mulky usoni.
Mulky alishituka, mapigo yake ya moyo yalifunga kwa kasi alihisi huenda Yasini anajua kitu kuhusu yeye na Sameer pale pale mawazo yake yalipelekwa kuwa Hamida anaweza akawa kamueleza kitu Yasini kwani hakuna mtu mwingine aliekuwa anawashuku zaidi ya Hamida.
" Inamaana Yasini kakutana wapi na Hamida mpaka akamwambia ......
Ukimya wa Mulki ulimfanya Yasini aulize
" Vipi mbona umeshituka inamaana ni kweli kulikuwa na mtu ambae ananisaidia majukumu yangu?

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMBA YA BESTMAN 9

MIMBA YA BESTMAN 9

Mara kwa mara Sameer alikuwa akimtembelea Mulky na walifurahia penzi lao bila mtu yoyote kujua kwani hata mlinzi hakuweza kushituka sababu tangia hapo mwanzo Sameer alikuwa akienda nyumbani kwa Yasini.
Siku moja wakiwa wamekaa sebleni Sameer alikuwa kajilaza mapajani kwa Mulky huku mulky akiwa anampapasa uso wa Sameer na waliongea mambo yao ya kimahaba kifupi ilikuwa ni furaha sana kwao.
Wakiwa wamejisahau walisikia sauti ya viatu ilimaanisha kuna mtu anaenda.
" Nahisi kuna mtu anakuja.
Alisema Sameer baada ya kusikia.
" Hakuna mtu ambae anaweza kuja kunitembelea muda huu.
Sameer alikosa amani alinyanyuka haraka akakaa.
" Hebu jitulize bwana hofu ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimba-ya-bestman-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimba-ya-bestman
MIMBA YA BESTMAN 13
MIMBA YA BESTMAN 13
MIMBA YA BESTMAN 7
MIMBA YA BESTMAN 7
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 15
MIMBA YA BESTMAN 15
MIMBA YA BESTMAN 14
MIMBA YA BESTMAN 14
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
MIMBA YA BESTMAN 05
MIMBA YA BESTMAN 05
MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06
MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06
MIMBA YA BESTMAN 10
MIMBA YA BESTMAN 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

204
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest