Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

MIMBA YA BESTMAN 14

23rd Jun, 2025 Views 15



Aliuliza Yasini huku akiwa kamkazoa macho Mulky ilimaanisha Mulky aongee ameota ndoto gani ambayo inamnyima amani mpaka muda ule.

Mulky alijing'atang'ata huku akiwa anatafakari adanganye kaota ndoto gani mara akasikia Yasini akisema.
" Kheeee yule si ni Sameer?
Mulky alishituka na kugeukia kule alikokuwa anaangalia kweli alimuona Sameer akiwa anaelekea walipokuwa wamekaa.
Mulky alihisi ganzi mwili mzima kijasho chembamba lilimtokea ghafla.
Sameer alisogea mpaka kwenye meza waliyokuwa wamekaa huku akiwa na tabasamu usoni kwake na kwa uchangamfu mkubwa alisalimia.
" Vipi mko poa wapendanao?
" Kama unavyotuona . Alijibu Yasini.
" Safi sana inapendeza .
" Mbona uko hapa? Yasini aliuliza wakati huo Sameer alivuta kiti cha pembeni na kukaa alafu akajibu.
"Nimekuja hapa kwaajili ya mambo yangu ya kikazi.
Yasini alicheka alafu akasema
" Dr mambo gani ya kikazi yake kuleta huku ? Au unekuja na shemeji ?
" Shemeji wapi acha mambo yako kuna shuhuri imenileta na usitake sana kujua kwa undani bro. Aliongea Sameer huku akicheka cheka na kuchukulia kama utani wakati huo Mulki alikuwa anamuangalia bila kuongea jambo lolote. Lakini moyoni kwake lile swala la Sameer kuwepo pale ilimchukua na kumtia hofu alijua Sameer kaenda kule kwaajili yake na nia yake waonane.
" Huyu mjinga kanifuata huku kweli ? Sijui nifanye nini kuepukana nae yani hakuna kosa kubwa nililowahi kufanya kama hili na sijui nitatokaje kwenye huu mtego wake.
Akiwa kwenye mawazo Sameer alimshika begani huku akisema
" Vipi shem , naona mnakula maisha na mzee na ukaondoka bila kuniaga best yangu.
Mulky alimuangalia bila kujibu chochote na hakuwa mchangamfu kama alivyokuwa akimchangamkia siku za nyuma.
" Vipi kuna tatizo, Yasini umemfanya nini shemeji yangu mbona yupo tofauti na siku zote?
Yasini alimuangalia Mulky alafu akasema
" Hayupo sawa. Baby nyanyuka turudi hotelini tukapumzike.
Mulky alinyanyuka haraka na kutangulia akamuacha Yasini aliagana na Sameer. Mulky alipofika mbele alisimama akawa anamsubiri Yasini, baada ya sekunde chache Yasini alimfuata wakashikana mikono na kupiga hatua kutoka nje , mulky aligeuka tena kumuangalia Sameer huku akiwa kakunja uso wake , Sameer aliachia tabasamu na kumfungia mkono. Mulky aligeuka haraka wakaendelea kutembea , wakapanga gari na kuelekea hotelini .

Walipofika kwenye chumba chako cha hotel Mulky alijizuia kitandani, Yasini aliweka vizuri mifuko iliyokuwa na vitu walivyonunua kisha akaenda kukaa pembeni ya kitanda.
Alishika kichwa cha Mulk huku akiwa anakata nywele zake kwa kwenda nyuma .
" Unajua sikuelewi kabisa hivi ndoto ndio sababu ya wewe kuwa hivi mke wangu au kuna jambo lingine linalokutafuna?
" Sio ndoto nzuri mume wangu ....
" Hata kama sio ndoto nzuri niambie mimi si ndio mume wako na mtu wako wa karibu sasa kama ukinificha mimi utamwambia nani?
" Nimeota tumeachana bila sababu hiyo ndoto imevuruga sana akili yangu.
Mulky alijikuta karopoka bila kufikiria.
Yasini alimuangalia kisha akajikuta anacheka , Mulky alikuwa anamuangalia kama vile anashangaa anacheka nini.
Yasini alicheka mpaka akalala mapajani kwa Mulky. Baada ya kumaliza kucheka akasema.
" Hiyo ndoto ndio inakufanya ukose furaha mke wangu?
" Unafikiri hilo ni dogo? Sitamani hata mara moja kupoteza Yasini .
"Hilo hakitatokea hata mimi namuomba sana Mungu asimamie ndoa yetu na hiyo ndoto ya kishetani tu kwetu hakitatokea hilo swala maana ndoa yetu ina baraka tangia siku tulipofunga ndoa yetu na nakuahidi tena na tena siwezi kukuacha wewe ni wangu milele kitakacho tutenganisha hapa duniani ni kifo tu na namuomba sana Mungu atujalie pepo na wewe ndio uwe hurulain wangu.
" Ameeen.
" Kuwa na amani mke wangu ,sahau kabisa hiyo ndoto ya kipuuzi.
" Sawa.

Baada ya mulky kusikia maneno matamu yakuliwaza kutoka kwa mume wake moyo wake ulikuwa na amani na kutoa tabasamu lililofanya uso wake uwe na nuru.
Hakutaka tena furaha yake iharibiwe na Sameer alivuta simu yake akazima na kuiweka ndani ya pochi yake alafu akamwambia Yasini.
" Tumezunguka sana utakuwa umechoka naomba twende tukaoge ili tupumzike.
" Sawa mama usemacho wewe nitafanya .
Mulky alimsogelea Yasini na kuanza kumvua tisheti yake , alimvua nguo zote kisha Yasini alifanya hivyo.
Yasini alionekana kuhitaji kitu kutoka kwa Mulky alisogeza Mulki na kutaka kumuangusha kitandani.
" Hapana Yasini twende tukaoge kwanza.
" Kidogo tu....
" Sitaki. Alijibu mulky huku akiwa anamkwepa na kukimbilia bafuni Yasini alimfuata alipoingia tu Mulky alimmwagia maji wakaanza kumwagiana huku wakicheza na kuotesha Mulky alikuwa na furaha .
" Napenda kukuona ukiwa hivi , ukiwa mnyonge huwa unaninyima amani kwenye moyo wangu.

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMBA YA BESTMAN 14  >>> https://gonga94.com/semajambo/mimba-ya-bestman-14
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 34

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 33

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_32

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_31

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _26 & 27

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_25

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_24

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_23

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_22

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _20 & 21

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_18 & 19

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _16 & 17

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 14 & 15

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 13

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 12

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 11

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 10

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 9

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 8

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 07.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 06.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 05.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 04.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 03.

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 38

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest