Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA (Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.) Sehemu ya 3

27th Jul, 2025 Views 56



Nilikuwa nimeduwaa, bado nikishikilia ile bahasha au kifungashio ambacho mume wangu kaleta lakini macho yangu yakiwa kwa mume wangu. Sauti yake ya

“nisamehe mke wangu...” ilinihisi kama sindano kali moyoni.maana mi nilifanya kwa hasira na kama namna ya kumkomoa yeye na kaja kuniomba msamaha

Alinisogelea na kuniambia:

“Najua sikuwa sawa, lakini nilifikiria sana… familia yetu ni muhimu. Nimerudi kwa ajili yenu.”Aliongea kwa uchungu kiasi kwamba ambacho kinaniuma sana ni kumsaliti yeye ningeweza hatakuomba chakula kwa mama Sarah lakini nimeenda mbali sana

Nilitabasamu kwa mbali lakini ndani ya moyo nilikuwa nimevunjika vipande vipande. Nilijisikia mchafu, mdanganyifu, na mwenye hatia isiyoelezeka. Lakini pia nilihisi huzuni kwa sababu alimrudia mwanamke ambaye usiku uliopita alilala na mwanaume mwingine kwa pesa.

Sikuwa na nguvu ya kusema chochote. Nilimkumbatia kwa upole, nikakumbatia uzito wa siri yangu mpya – ya maumivu, ya fedheha, na ya hali iliyonisukuma.Kisha nikajisemea kimoyomoyo " sitafanya tena ile ni ajali lkama ajali nyingine tu ....

Siku zikaanza kusonga...

Nilijitahidi kurudi kwenye maisha ya kawaida. Nilimpikia mume wangu, nilicheka na watoto, lakini usiku nililala macho wazi. Caren aliendelea kunitumia ujumbe:

“Shoga! Mteja wa jana kakutafuta tena. Anauliza utapatikana wikiendi. Maana ulichompa anasema hajawah pata kokote kule kakumis sana anasema uende pesa atakupa ya kutosha ikiwezekana atakujenga mpaka nyumba kama utampa vizuri......

Nilijifanya kimya. Nikamjibu baada ya siku mbili tu:
“Caren, acha kwanza. Kuna mambo najipanga...”
" Shoga yangu acha uzembe wewe ?
" Kwanini?
" Mtu anataka kukujengea nyumba unalinga"
" Nimepata na mume wangu hivyo sitaki tena hayo mambo yenu"
" Hivi una akili wewe ,yaani kupata na mume wako kunakufanya ushindwe kufanya kwa usiku mmoja kweli wewe ni zube!
" Sio hivo "
" Si hivo nini Wewe mwanaume huyu atakapokufukuza hutakuwa na kwa kwenda ".
" Basi tutaongea shoga mume karudi"

Nilikata simu baada ya kumuona mume wangu kwa mbali anakuja nilijifanya natandika sebule naye aliporudi alikuwa analalamika tu kuwa hela hana na mimi kuna pesa nilimuomba kwa ajili ya matumizi yangu binafsi.

Lakini aliposema tu hana nikaona sasa huyu mwanaume hawezi kunitimizia kila kitu kwenye masiha yangu ni lazima nijiongeze. Lakini nahitaji kuvumilia lakini pia nikikumbuka maneno ya yule mkongo
" Wewe ni mwanamke mzuri sana tatizo ni anayekutunza anakuvubaza lakini ukiwa naye lakini pembeni unasaidiwa na sisi utakuwa na thamani yako ile ile unayostahili"

Basi nilipokumbuka nilijihisi ni kweli mume wangu ananivubaza yaani hajuwi mkewe natakiwa niwe mrembo na mzuri sio kunovubaza hata shoga yangu caren alisema hivyo hvyo boda boda wengi wanasema hivyo hivyo na hata watu ambao nitawataja na mtashangaaa maana hata mchungaji wetu naye alinambia hivo hivo mimi mzuri...

Ukiunganisha matukio yote hayo ndio yanayofanya moyo uwake moto na kuhitaji kupata kile ninachokitaka. Mume wangu aliondoka nyumbani. Niliingia chumbani na kutoa kila kitu nikabaki mtupu . Nilipanda kwenye kitanda na kutanua mp nilikitazama kitumbua na kukipiga makofi nikiapa kwamba
" Nataka nikitumie kutumbua kama silaha ya mimi kuwa na maisha mazuri na nitafanya kwa siri bila baba watoto kugundua chochote na kwa sasa mimi sio Rebeka bali mimi ni lisa

Siku moja nikiwa jikoni, mume wangu aliniita kwa jina la upole nisilozoea:

“Mama wa Nyambura, mbona siku hizi umekuwa kimya sana?”

Nilishikwa na mshangao. Nikasema tu:

“Labda ni uchovu wa kulea watoto…”

Alinitazama, akanyamaza, kisha akaniambia:

“Nina imani nawe. Na hata kama kuna jambo gumu, unaweza kuniambia. Ili tutafute njia ya kulitatua kuliko kuhangaika pekee yako wewe ni mke wangu na mimi mume wako lazima tuishi kwa upendo.

" Sawa mume nimekuelewa" niliitikia kumfariji mimi kwa sasa nishapata jambo la kufanya na sitaki utani na mtu na hakuna wabkunirudisha nyuma niliamini maneno anayosema mume wangu hata kwenye kanga yameandikwa na hakuna jipya yote ni yaleyale .

Nilitoka nje baada ya simu kuita na mpiga alikuwa shoga yangi caren nilisogea mbali ili mume wangi hata asinisikie kabisa nilipokea baada ya kuona nilipokaaa hawezi kunisikia mtu yoyote yule
" Hello shoga yangu Caren"
“Shoga, kuna dili ya haraka. Laki tano unapata ndani ya saa mbili. yaani yule mkongo kakuelewa laki tano kwa masaa we ungeweza natamani bahati iniangukie mimi daaa?”

" Nakuja sasa hivi shoga mwambie boda boda aje anichukue na kweli nilijiandaa na boda boda akaja haraka haraka na kunibeba
" Lisa we ni mrembo sanana una mumeo mbona unajiuza " aliuliza boda
" Maisha tu mdogo wangu"
" Si ungevumilia tu na kuridhika na mumeo"
" Kausha dogo nipeleke sehemu husika"
" Sawa nimekuelewa "

Alinishusha na kuondoka zake nilipiga hatua mpaka getini nilizidi kupiga hatua mpaka ndani ambapo nilimkuta kashika kama kidude kidogo kina kama unga fulani ...

Nilishtuka sio mkongo huuuu?????
0699286085
Kelvin story.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA (Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.) Sehemu ya 3  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilikuwa-najiuza-bila-mume-wangu-kujua-maudhui-ya-watu-wazima-imeandikwa-kwa-tahadhari-ya-uelewa-na-
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 32💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest