*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
Niliondoka nyumbani bila kutoaa taarifa officine kwamba nimeondoka au vipi watu walinishangaa mimi mwenyewe nilijishangaa sana,
Hii hali iliendeleaa kuniathiri mana kunamuda anakuja anamkumbatiaa tu huyu mdada nyie hamna haya afu anafanya ujinga mbele yangu nilikiw natamani siku boss amfukuze kazi yaani, hii siku nilirudi nyumbani huku naliaa sana yaani naliaa hasaa mpaka baba akawa ananishangaa kwanini nalia vile mana nilimpita bila hata salamu yaani nilitoka kwa hasira officine ni nisijue ni nini kinaendeleaa katika moyo wangu yaan kama nampenda sijuii mimi kabisa sielewi jamani hata robo baba alinifuata akawa ananimbembelezaa baaada ya hlo tukaanza kuongeaa sasa
"Binti yangu nini kinasumbua akili yako mpaka unashindwa kula kunywa, kulala mmni nakuona ni kama wiki sasa haupo sawa bado ni yule mwanamke anakusumbua?" Aliniuliza baba niliongeza kuliaa yaani baba akaamua kunikumbatiaa "baba naumiaa ila sijuii kwanini naumiaa yaani naumiaa sana ila sijuii kila nikimuona yule mdada na boss wangu roho inanipasuka yaani sielewi baba nisaidie" nilisem nikimwambia baba yangu maana nilikuwa nalia vibaya mnoo "mwanangu umependa?" Nilimtizama baba nikafuta machozi "sijui baba ila nahisi ni hivyoo baba yangu nimependa nahisi ni hivyoo baba sielewi"
Nilimuhadithia baba kila kitu ninachohisi kuhusu boss wangu, akiwa na Suzy ila sikumwambia mambo yaliyotokea Dubai kwakweli ni aibu siwezi kusema mbele ya baba "mwanangu ukisikia kupenda ndio hukoo mapenzi ni kitu kizuri sana kama ukikijua kama ni kizuri ila nikibaya sana kam ukiumizwa saaa mwanangu yasiqe mengi sana kwa jinsi ulivyonielezea huyoo msichana ndio anampenda huyoo boss wako ila boss wako hamapendi amini hiloo binti yangu" niliktizama baba kwa muda nikijaribu kuweka umakini wangu wote kwake baba yangu kipenzi
"Sasa baba mimi nitafanyaje sasa baba" "Usijali ujuee watu wengine hasa wanawake huwa ni wagumu kuleza hisia zao kwa mwanaume ila wanaume ni rahisi hivyoo kamuelezea ukweli wivu ni dalili kubwa kuonyesha kuwa unampenda tafadhari kuwa karibu naee kwenye hili umuelezee ukweli sawa binti yangu?, mimi naamini kupitia wewe siwezi kukufokeaa huu ni muda wako wakufanya mambo wewe ni mtu mzima tayari" nilimkumbatia baba kwa ushauri wake hakika baba yangu ni zungu na nusu yaani ni mtu poa sana sikuamini kama angenipa ushauri bomba kiasi hiki kuna wababa duniani afu kuna huyu wangu jamni, nililala nikiwa nasema kesho iwe mvua iwe jua ukweli utasemwa tu
Itaendelea.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni