*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
Nilipata hisia mbaya sana nylee niliumiaa mini duuh niliumia mnoonikajuaa kuna kitu kibaya kinaendelea hapa sio bure "Mama kuna tatizo kwani mama yangu baba alikuja akanishika began mama mkwe akanikumbatia "mwanangu mwananguu J wangu hayupo tena" wee nilishtuka nikabaki naganda machozi hayatoki wala mimi siongei nilijikuta naaanguka chinii
Nakuja kushtuka nimelazwa afu napewa taaarifa mpya kabisa yaani maskioni mwangu etyy nina mimba ina mwezi sasa nyiee nilizidi kuvurugwa yaani nilikuwa sina amani ya nafsi hata kidogoo kwahyo mwanangu nimzae bila baba nilikuwa nauliza maswali mpaka mama mkwe akawa anashindwa jibu la kunipa nilikuwa nina huzuni sana yani afu daktari alikuwa anasema nisiwe na stress nyie mtaacha kuwa na stress kwenyee hilii kweli?, machungu yangu yalizidi kichwani nilikuwa naliaa vikali yaani hili liliniliza sana ghafla sms ikaingia kwenye simu yangu sms "unaona sasa bora tumekosa wotee tuone huyo mtoto utamleaje peke yako by Suzy nyiee nilishtuka nikajuaa kifo cha mume wangu ni ch kusababishwa yaaani
Baada ya mazishi polisi walianza uchunguzi maan nilipeleka malalamiko polisi na muda huoo huyoo mjinga hata hajulikani yupo wapi yaani, mama mkwe alikuw aana huzuni sana baba ndio alikuwa ananihurumia mnoo yaani nimekuwa mjane mapema hivii kweli, na kwenye mazishi sikuruhusiwaga hata kwenda kuaga maiti ya mume wangu kutokana na hali yangu labda ingeniletea shida mimi na mtoto piaa, nyiee msiombe yakawakuta ni huzuni sana na kuhusu familia ya Suzy pia ilikiwa haijulikani kabisa ipo wapi
Mhh ulipita muda kama wiki mbili hivii ndio polisi wakaja kusema kuwa kwa mujibu wa cctv footage za pale officine maan zilikuwa zimefutwaa na Pale hivyoo walipata kazi yakuwaota wataalamu wa mitandaoo waje kutengenezaa hilii na walifanikiwa kujua kuwa ajali ilitemgenezwa baada ya kugundua kuwa waya wa break wa gari la mume wangu lilikatwa na aliekata ni Mary dooh kumbe yule Mary. alikuwa anashirikiana na Suzy niliumia sana basi alikamatwa na alisema mahala Suzy na familia yake ilikuaa imejificha walikuwa wapo huko Nje ya mji kabisa hukoo Mlandizi kwenye nyumba yao nyingine
Basi na wao walikamwatwa na kuwasilishwa mahakamani pia kwa kosa la mauaji maana kumbe alishirikiana na familia yake kukamilisha hili la mimi kuwa mjane nilitamani wapewe hata adhabu ya kunyongwa hadi kufa ila sasa walipewa adhabu ya maisha jelaa, Ila hawa wajinga wamenifanya nimekuwa mjane mapema sana sijapenda kabisa hili, afu walivyokuwa hawana haya hata kusema samahani hawajui yaani
Mimba yangu ina miezi sita sasa na ultrasound wapo bega kwa bega na mimi kuhakikisha wamesema niwakike mama mkwe na baba najifungua salama kabisa na biashara za mume wangu zote nasimamia mimi hapa na zinaenda mniombee nizae salama kabisa maaan nishajiandaa kiuthabiti kabisa mwanangu anazaliwa bila baba ila labda ataona pich a RIP mume wangu kipenzi Johnson ila usimuamini yoyote anaekuchekeaa sio wote huwa wanakupenda ni ushauri wangu tu
Tulikuwa wote kwenye simulizi za DARLING SMILE, kwaherini tutakutana tena vipenzi.
Mwisho.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni