Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI.

16th Jul, 2025 Views 107

USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI.

??USHAURI : Baadhi ya kauli unazopaswa kuziepuka unapokuwa umeumizwa na kujeruhiwa moyo wako.

1. Usiseme, "sitaoa/kuolewa tena " maana katika maisha ndoa inayo nafasi yake kukusaidia kutimiza ndoto za maisha yako, ndiyo maana mungu akasema "si vyema mtu awe peke yake na wawili ni bora kuliko mmoja "kuoa /kuolewa ni nguzo muhimu inayoshikilia maono yako.

2.Usiseme, "hautamsaidia tena mtu ",kwa sababu uliowasaidia wamekujeruhi. Kwa sababu wapo watu wema na wenye fadhili wanaouhitaji msaada wako ambao Mungu anapitisha maishani mwako uweze kuwafikia huko walipo, kuwafungia mlango ni sawa na kuwafungia mungu mlango.

3. Usiseme , "sitasamehe" maana mbinguni hauwezi kuingia kama haujamsamehe mtu, mbona mungu amekusemehe dhambi zako tena nyekundu sana, na pia kutokusamehe kunakufanya mungu akufungie mlango ya mbinguni.

4.Usiseme, "utakufa/ ueumbiwa mabaya tu " ,hata kama iweje usijitamkie kifo au mambo mabaya, kwa sababu maneno ya kinywa chako yatakufunga na ipo siku yatatimia.

5.Usiseme, "nitalipiza kisasi " kwa sababu kisasi huwa analipa mungu tu, wewe kutaka kulipa kisasi nikumwingilia mungu majukumu yake, mungu akikilipia ndiye atakaye kulipia vizuri a kikamilifu kuliko wewe ukilipa.

6.Usiseme, "namwombea yamkute mabaya", maana imeandikwa msichoke kutenda mema na waombeeni adui zenu, na wewe kama mkristo wa kweli, lazima ujifunze kuishi maisha ya ziada, yatakayo mfanya mkosaji ajue kosa lake na aseme ,hakika una mungu .Ushinde Ubaya kwa kutenda mema.

7.Usiseme, "sitapenda tena ", maana si kila mwanadamu ni mjeruhi /mkatili kama huyo aliye kujeruhi, cha msingi kaa magotini, Mungu atakupa atakaye kupenda,na utakaye mpenda kama kristo alivyolipenda kanisa.

#uamuzi_ni_mbegu

#maisha_ni_story
Jipe moyo mkuu maana Kuna ushindi kwakila anguko usiogope .
Endelea kujifunza nami Mambo mazuri yakukusaidia KUIMARIKA kwa kujiunga na magroup ya Wasp.

0769228130

Usife moyo rafiki mwema ????????.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI.  >>> https://gonga94.com/semajambo/ushauri-kwako-wewe-ambae-umeumizwa-na-mapenzi
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKAπŸ™ˆ3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest