Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

USIKU MMOJA TU ALIDATA   SEHEMU YA 18
Gonga94 Β· Stories

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA......

"Mke mwenza .....umesahau wadhifa wangu hata uniite mke mwenza" Malkia Shamsa alionesha hasira zake waziwazi.

"Furaha tu ndio imenifanya ni zungumze hivi, nakuomba unisamehe sana " Daktari alijitetea.

"Ni dharau, si wewe pekee yako tu...kuna watu sasa hivi nikipita mbele yao wananicheka kimtindo siku ya kesho kutakuwa na msako mkali juu ya watu hao. Sitakuwa na huruma na mtu yoyote yule.... hongera kwa ujauzito. Na hii ni zawadi yako " Malkia Shamsa alizungumza huku akinisogezea boksi .

Nilimpa ishara Kijakazi wangu alifungue tuone kilichomo.

Moyo wangu ulishtuka baada ya kukutana na panya waliokatwa katwa vipande.

"Hivi ndivyo itakuwa endapo utajitia kichwa ngumu, hivi ndivyo itakuwa endapo utajifanya unaijua Ikulu vyema kuliko hata Mimi uliyenikuta " Malkia Shamsa aliongea kisha akaondoka.

Si nilijikaza kupiga kelele lakini baada ya kuondoka kwake nilipiga kelele za kuogopa, hata Daktari alipiga kelele pia.

"Mnasubiri nini kutoa hilo boksi la panya " Nilifoka....

Vijakazi walikimbizana kama panya kutoa boksi. Sikuamini kama Mimi pia naheshimika...

"Ni muda wa Mimi kuvimba, ni lazima ni wavimbie pia. Ni lazima ni heshimike " Nilijisemea ndani ya moyo wangu kisha ni kapanda kitandani kupumzika kwanza.

Usingizi ulikuja basi, nilihitaji kuizungukia Ikulu yote nikiwa na Vijakazi wangu.

Askari walikuwa wanapita huku na kule kuwakamata watu wanaomchukulia poa Malkia Shamsa.

Mmmmh nilishtukia tu wamenifikia pia eti nipo chini ya Ulinzi.

"Naweza kujua kosa langu ni lipi " Niliuliza.

"Wewe pia ni miongoni mwa watu wanao muangalia Malkia Shamsa kwa kumkadiria na ndio sababu tupo hapa kukukamata "

Nilijikuta ni kiachia tabasamu kwa mashtaka nayopatiwa. Nilipiga hatua ni kamsogelea Kiongozi wa Askari.

"Endapo utaendelea kunizingua nitamueleza Mfalme kuwa ulikuwa unanitaka siyo kunitaka tu uliingia chumbani kwangu kwa lengo la kunibaka kama upo radhi kuhimili haya mashtaka fanya utakavyo" Niliongea.

Kiongozi wa Askari alinywea kwa mkwara niliomchimba.

"Ni muda wa Mimi kutafuta heshima " Nilijisemea kisha ni kaelekea malangoni kwa Malkia Shamsa.
Sikutaka kukaribishwa niliingia kibabe.

"Nini maana ya wewe kuingia bila hodi " Malkia Shamsa alinifokea.

Sikutaka kuongea badala yake nililwapua upanga kwa Askari ni kauzamisha tumboni kwa Kijakazi wake

"Hivi ndivyo kitakupata endapo utaendelea kunichukulia poa " Nilifoka.

"Mshenzi wewe ni kitu gani hiki unanionesha " Malkia Shamsa alifoka.

Niliuhamishia upanga wenye damu shingoni kwake.

"Kuanzia sasa unapaswa kuchagua maneno ya kuniambia tofauti na hapo tutakuwa na mgogoro usioisha " Niliongea kisha ni kautupa upanga chini nikasepa.

"Leo ni zamu ya Malkia Shamsa kuingia chumbani kwa Mfalme kwa bahati mbaya sasa nitaingia Mimi. Nahitaji kujua moyo wa Mfalme upo upande wa nani " Niliongea pekee yangu.

Vijakazi wangu waliishia kucheka.

"Kwanini mnacheka? "

"Ni kawaida kwa mtu kuongea pekee yake wanapokuwa Ikulu " Kijakazi wangu wa karibu aliongea
Nilijikuta ni kicheka pia.

Mida ya usiku nikiwa nimejiremba nilielekea langoni kwa Mfalme.

πŸ“’Mtukufu Mfalme, Malkia Shamsa na Malkia mdogo Sadia wako hapa. Nimruhusu nani aingie πŸ“’ Taarifa zilitumwa ndani.

Basi wote tulitulia kusikilizia majibu......

ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 18


ENDELEA......

"Mke mwenza .....umesahau wadhifa wangu hata uniite mke mwenza" Malkia Shamsa alionesha hasira zake waziwazi.

"Furaha tu ndio imenifanya ni zungumze hivi, nakuomba unisamehe sana " Daktari alijitetea.

"Ni dharau, si wewe pekee yako tu...kuna watu sasa hivi nikipita mbele yao wananicheka kimtindo siku ya kesho kutakuwa na msako mkali juu ya watu hao. Sitakuwa na huruma na mtu yoyote yule.... hongera kwa ujauzito. Na hii ni zawadi yako " Malkia Shamsa alizungumza huku akinisogezea boksi .

Nilimpa ishara Kijakazi wangu alifungue tuone kilichomo.

Moyo wangu ulishtuka baada ya kukutana na panya waliokatwa katwa vipande.

"Hivi ndivyo itakuwa endapo utajitia kichwa ngumu, hivi ndivyo itakuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usiku-mmoja-tu-alidata-sehemu-ya-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi usiku-mmoja-tu-alidata-sehemu-ya
USIKU MMOJA TU ALIDATA   SEHEMU YA 14
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 14
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 13
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 13
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 16
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 16
USIKU MMOJA TU ALIDATA    SEHEMU YA 19
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 19
USIKU MMOJA TU ALIDATA  SEHEMU YA 15
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 15
USIKU MMOJA TU ALIDATA   SEHEMU YA 17
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 17
USIKU MMOJA TU ALIDATA  SEHEMU YA 11
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 11
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 12
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 12
 USIKU MMOJA TU ALIDATA   SEHEMU YA 20
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 20
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 9
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 9
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 10
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 10
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 7
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 7
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 8
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 8
USIKU MMOJA TU ALIDATA  SEHEMU YA 6
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 6
USIKU MMOJA TU ALIDATA  SEHEMU YA 11
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 103

MY WANGU❀️ sehemu ya 103

760
MY WANGU❀️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❀️ sehemu ya 101 na 102

638
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜

516
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 54 na 55

512
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 53

412
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

326
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

316
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

174
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

171
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

118

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.42K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.31K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

πŸ‡§πŸ‡·β€οΈβ€πŸ©Ή Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
πŸ‡§πŸ‡·β€οΈβ€πŸ©Ή Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

β€œThe CBF stands in solidarity with VinΓ­cius JΓΊnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya VinΓ­cius JΓΊnior Post Mpya
🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya VinΓ­cius JΓΊnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. ⚠️🚫 Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! ‼️ VINI AKATAA KUCHEZA!! 😀❌

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa πŸ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

π†π€π‹π€π“π€π’π€π‘π€π˜ πŒπ€πŠπ„ πˆπ“ π…πˆπ•π„! β€οΈπŸ’›πŸ–πŸΌ  𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 π†π€πŒπ„! 🍿 Post Mpya
π†π€π‹π€π“π€π’π€π‘π€π˜ πŒπ€πŠπ„ πˆπ“ π…πˆπ•π„! β€οΈπŸ’›πŸ–πŸΌ 𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 π†π€πŒπ„! 🍿
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest